Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Aibu.Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.
Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.
Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.
Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
Ipo wazi sasa.