TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

Ww kichwa mbumbumbu kwani N.Korea Iran hazikuwepo na tawala zao kipindi yupo hai, kashavuna alichopanda kmamake aende akaongopee na huko
North Korea na Iran walikuwepo ila walikuwa na heshma. Leo Iran anashambulia kambi za Marekani afu hakuna hatua zinachukuliwa, kuishambulia Marekani ilikuwa criminal, majibu yake lazima yawe fire and thunder.
 
Mwenzako anahangaika huko kutokana na mauvu ya kusababisha maeflu ya watu kuuwawa ww unaleta ngonjera zako hapa, kila nafsi itaonja umauti na kila mchuma atavuna alichokichuma, wale wenye viburi na kusababisha ufisadi hapa duniani hukumu zinawasubiri huko, endelea kumpigia ngonjera zako [emoji23]
Ulikuwa naye huko anakohangaika?
 
North Korea na Iran walikuwepo ila walikuwa na heshma. Leo Iran anashambulia kambi za Marekani afu hakuna hatua zinachukuliwa, kuishambulia Marekani ilikuwa criminal, majibu yake lazima yawe fire and thunder.
Fuatia vizuri history
 
Hata ukileta mapichapicha haiondoshi bakora zipo palepale mbwa huyu anatamani kutubia huko aliko damu za watu zinamtafuna huko aliko
FB_IMG_16346518402216645.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes he did but because he was suffering from other healthy complications he was due to receive the booster shot but very unfortunately he passed away before receiving his 3rd Pfizer shot.
very convenient indeed, not for everyone though.
 
Vipi kama alitubu kabla ya kufariki??
Hahaha... ndgyangu, toba ni kati ya mja na Muumba wake tu!!
Since alisababisha au kuamrisha au kushiriki ktk mauaji au kuangamiza umati...basi ana kesi na lazima awajibishwe yeye na kundi lake genge la mauaji binaadamu wasio na hatia ya kikatiliii.
 
Back
Top Bottom