STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Hata ukileta mapichapicha haiondoshi bakora zipo palepale mbwa huyu anatamani kutubia huko aliko damu za watu zinamtafuna huko aliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukileta mapichapicha haiondoshi bakora zipo palepale mbwa huyu anatamani kutubia huko aliko damu za watu zinamtafuna huko aliko
Huyu mwamba ni kigezo gani kinatumika kumwita mweusi?
North Korea na Iran walikuwepo ila walikuwa na heshma. Leo Iran anashambulia kambi za Marekani afu hakuna hatua zinachukuliwa, kuishambulia Marekani ilikuwa criminal, majibu yake lazima yawe fire and thunder.Ww kichwa mbumbumbu kwani N.Korea Iran hazikuwepo na tawala zao kipindi yupo hai, kashavuna alichopanda kmamake aende akaongopee na huko
Ulikuwa naye huko anakohangaika?Mwenzako anahangaika huko kutokana na mauvu ya kusababisha maeflu ya watu kuuwawa ww unaleta ngonjera zako hapa, kila nafsi itaonja umauti na kila mchuma atavuna alichokichuma, wale wenye viburi na kusababisha ufisadi hapa duniani hukumu zinawasubiri huko, endelea kumpigia ngonjera zako [emoji23]
Fuatia vizuri historyNorth Korea na Iran walikuwepo ila walikuwa na heshma. Leo Iran anashambulia kambi za Marekani afu hakuna hatua zinachukuliwa, kuishambulia Marekani ilikuwa criminal, majibu yake lazima yawe fire and thunder.
Hata ukileta mapichapicha haiondoshi bakora zipo palepale mbwa huyu anatamani kutubia huko aliko damu za watu zinamtafuna huko aliko
Hata wewe ukiwa na hela ukala vizuri,free stress kuna watu watahoji kuwa wewe ni Mswahili au Mzungu.Huyu mwamba ni kigezo gani kinatumika kumwita mweusi?
Wazungu ndio wanasema wao ni weupe,wahindi,waarabu, walatini etc hawa huitwa coloured, wanaobakia ni blacks, wale wanaitwa "white" huku wakifika huko wapo kundi la blacksHuyu mwamba ni kigezo gani kinatumika kumwita mweusi?
Ni kitabu kizuri sanaRIP Powell nitakukumbuka daima kwani nimesoma kitabu chako kiitwacho. "It worked for me in life and leadership" ulichoandika na Tony Koltz.
very convenient indeed, not for everyone though.Yes he did but because he was suffering from other healthy complications he was due to receive the booster shot but very unfortunately he passed away before receiving his 3rd Pfizer shot.
The killer..
Kwani huyu na Obama unaona wanafanana?
Hahaha... ndgyangu, toba ni kati ya mja na Muumba wake tu!!Vipi kama alitubu kabla ya kufariki??
Men aged over 80 had an overall 10% chance of surviving over it.Very true myeloma disease suppresses immunity therefore even the person is fully vaccinated the effects of vaccination to protect this person is very low.