Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe.
Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu.
Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku hizi mbili kama shahidi, ametoa kauli zifuatazo:
1. "Kati ya wewe na Jaji, nani ni Jamaa?"
2. "Nina akili kuliko wewe na mabosi wako wote"
3. "Fujo ni Fujo"
PS. Kesho itakuwa siku ya tatu wanamfanyia dodoso shahidi mmoja tu halafu walikuwa wanamkimbiza na kumuharakisha Lissu katika utetezi wake wa masaa kadhaa.