Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwahiyo unasema westbank hakuna wayahudi? au vipi?Unapopasemea wewe ni maeneo ya mipaka ya Jenin mkuu.
Sio central Westbank.
Na kutokea hapo mwaka huu August wakajaribu kutaka kuongeza tena eneo ili watanue makazi zaidi na wayaingize katika mipaka ya Israel.
Ndipo Hamas wakakiamsha.