Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Kidogo niweke kule kwa watani zetu ili tuwaringishie
:high5:
Peleka tu siku hizi wamejikatia tamaa na maisha tangu Uhuru ashinde hawana uzalendo tena...:shut-mouth:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo niweke kule kwa watani zetu ili tuwaringishie
:high5:
Mimi hapo naona picha tu, najua serikali haina hiyo hela kijana. Hapa sisi tukubaliane tu kuwa hizo picha/plan ni nzuri??? Natahadharisha sana matumizi ya neno "mradi", mm naona picha ambayo inasuggest tumeibiwa tayari kwa kumlipa mchoraji mabilioni ya pesa zetu za kodi zaidi ya hapo ni kuwa tutakuwa tumeshaingia kwenye mkataba wa Chief Mangungo style. Ujenzi wa Mlimani City umetutoa kamasi tutalipa lile deni had tuishe ndo itakuwa mradi huu??? Nasisitiza, hapa tukubaliane hizi picha ni nzuri au mbaya. Wakamalishe kwanza Kigamboni.Siasa hizi tu, unajua eneo hilo nani anajenga? Unadhani nani ataukwamisha huu mradi? Hapa sio NSSF mkuu wangu. Taratiiibu, tuweke kando siasa. Mradi huu unafaa au haufai?
BTW, wale wenzangu na mimi toka Temeke kuna kitu kinakuja huko Temeke Mwisho.\
Check hapa https://www.jamiiforums.com/major-p...coming-soon-temeke-mwisho-satellite-city.html
Mradi wa mtu binafsi kwenye viwanja vya serikali??? Tuombe uhai, ila tutakutana hapa kutoa povu kuwa tumeibiwa. Unatakiwa udoubt everything b4 hujakubaliana nacho, hasa kwenye nchi ambayo udokozi ndio order of the day.Mkuu,
Nadhani huu ni mradi wa watu binafsi..
Wakati tunamchagua JK, akiwa na zaid ya 50 years, tulimwita kijana. kwa criterion hiyo na wewe unaqualify kuitwa kijana.Kama 49yrs naitwa kijana, sijui 30 aitwe vipi? Taratibu dogo
Mkuu,
Si ndoto. Na nikufahamishe ni kuwa tayari eneo la Kawe pale Tanganyika Peckers pamesharejeshwa ardhi kwa asilimia nadhani zaidi ya 50.
FYI, kuna project nyingine inakuja. Tanzanite Mall na itakuwa inaonekana kama inavyoonekana hapa chini (nimefuatilia Brela, naona kuna kampuni imesajili 2011 inaitwa "Tanzanite Mall Ltd" nahisi ndio wenye hii project):
Boy, I seriously mean it when I say, 'Get a life'we pia ni mmoja wa hawa "connected", now unajfanya kuckilizia kama inshu imevuja kitaa. Au umejgundua mapema kama haumo kwenye ten percent nw unalinkisha dili?
Mkuu,na hili pia? Ndio maana nikakuuuliza: WEWE SIO MMOJA WAO?
Mradi wa mtu binafsi kwenye viwanja vya serikali??? Tuombe uhai, ila tutakutana hapa kutoa povu kuwa tumeibiwa. Unatakiwa udoubt everything b4 hujakubaliana nacho, hasa kwenye nchi ambayo udokozi ndio order of the day.
Shukrani kwa serikali ya awamu ya nne. Stay tuned! Mambo mazuri yanakuja na yataendelea kuja chini ya serikali ya CCM.
Kama hutaki maendeleo wewe utakuwa ni mchawi na ukatafute nchi ya kuishi.
Adamjee alipewa eneo la kiwanda tu, eneo jingine lipo chin ya kiwanda mfu cha TP ambacho ni mali ya Serikali. Hadi leo waliokuwa wafanyakazi wa TP wapo kwenye nyumba za TP hawajalipwa mafao yao. Kimsingi ni kama wametelekezwa, so nadhan ujio wa picha hizi utaibua hisia mbalimbali kwa washahafishwa wale.Kwani hilo eneo la TP si lilishabinaifsishwa tokea enzi za Tyson ka sikosei?