Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

Kidogo niweke kule kwa watani zetu ili tuwaringishie

:high5:

Peleka tu siku hizi wamejikatia tamaa na maisha tangu Uhuru ashinde hawana uzalendo tena...:shut-mouth:
 
Siasa hizi tu, unajua eneo hilo nani anajenga? Unadhani nani ataukwamisha huu mradi? Hapa sio NSSF mkuu wangu. Taratiiibu, tuweke kando siasa. Mradi huu unafaa au haufai?
Mimi hapo naona picha tu, najua serikali haina hiyo hela kijana. Hapa sisi tukubaliane tu kuwa hizo picha/plan ni nzuri??? Natahadharisha sana matumizi ya neno "mradi", mm naona picha ambayo inasuggest tumeibiwa tayari kwa kumlipa mchoraji mabilioni ya pesa zetu za kodi zaidi ya hapo ni kuwa tutakuwa tumeshaingia kwenye mkataba wa Chief Mangungo style. Ujenzi wa Mlimani City umetutoa kamasi tutalipa lile deni had tuishe ndo itakuwa mradi huu??? Nasisitiza, hapa tukubaliane hizi picha ni nzuri au mbaya. Wakamalishe kwanza Kigamboni.
 
Mkuu,
Nadhani huu ni mradi wa watu binafsi..
Mradi wa mtu binafsi kwenye viwanja vya serikali??? Tuombe uhai, ila tutakutana hapa kutoa povu kuwa tumeibiwa. Unatakiwa udoubt everything b4 hujakubaliana nacho, hasa kwenye nchi ambayo udokozi ndio order of the day.
 
Kama 49yrs naitwa kijana, sijui 30 aitwe vipi? Taratibu dogo
Wakati tunamchagua JK, akiwa na zaid ya 50 years, tulimwita kijana. kwa criterion hiyo na wewe unaqualify kuitwa kijana.
 
we pia ni mmoja wa hawa "connected", now unajfanya kuckilizia kama inshu imevuja kitaa. Au umejgundua mapema kama haumo kwenye ten percent nw unalinkisha dili?
 
hili somo la 'COMING SOON' nilipata supp hatimae nikashindwa kuchomoa supp nikacarry over...
 
uchumi gani wenye kuwezesha miradi kama hiyo? wa foleni tulizokuwa nazo , wa reli iliyo kufa, wa umeme wa vibaba, bado hatujawa na uchumi wa ku managa miradi kama hiyo.
 

na hili pia? Ndio maana nikakuuuliza: WEWE SIO MMOJA WAO?
 
we pia ni mmoja wa hawa "connected", now unajfanya kuckilizia kama inshu imevuja kitaa. Au umejgundua mapema kama haumo kwenye ten percent nw unalinkisha dili?
Boy, I seriously mean it when I say, 'Get a life'

Acha kuwa brainwashed. Haya, tembelea hapa Architectural, Engineering Consultants & Master Planners | PHILS International

Kisha, grow up! Acha kumeza kila kitu anachotafuna mwanasiasa ili akumezeshe (usinielewe vibaya, nataka kutumia nguvu kwako ili ujue next time unatakiwa kuwa makini).

Si kila anayeongelea jambo kalipwa, katumwa etc. Read all my threads on JF, have been here for 5yrs boy!

:amen:
 
Mradi wa mtu binafsi kwenye viwanja vya serikali??? Tuombe uhai, ila tutakutana hapa kutoa povu kuwa tumeibiwa. Unatakiwa udoubt everything b4 hujakubaliana nacho, hasa kwenye nchi ambayo udokozi ndio order of the day.

Kwani hilo eneo la TP si lilishabinaifsishwa tokea enzi za Tyson ka sikosei?
 
Haya sasa NHC imeamua kubadili mji. Nashauri pia wayaangalie na majengo yaliyopo yanakarabatiwa ili yadumu. Wataalam watumike majengo yasijeanguka tena
 
Shukrani kwa serikali ya awamu ya nne. Stay tuned! Mambo mazuri yanakuja na yataendelea kuja chini ya serikali ya CCM.

Kama hutaki maendeleo wewe utakuwa ni mchawi na ukatafute nchi ya kuishi.

Yahya Husein mwingine weye kwani umemtabiria vyema Mr Dhaifu sehemu ya kupata hifadhi, query nyingi mfano Mwangozi nk.
 
Hii project ni nzuri sana. After 100 years ndo mradi utakamilika kwa tz, kama ingekuwa Rwanda au Kenya unge malizika mara moja. Kwa tz hapana. Kila kitu usanii.
Kitu cha msingi ni kujiuliza nani mlegwa kwa hii miradi?
 
Kwani hilo eneo la TP si lilishabinaifsishwa tokea enzi za Tyson ka sikosei?
Adamjee alipewa eneo la kiwanda tu, eneo jingine lipo chin ya kiwanda mfu cha TP ambacho ni mali ya Serikali. Hadi leo waliokuwa wafanyakazi wa TP wapo kwenye nyumba za TP hawajalipwa mafao yao. Kimsingi ni kama wametelekezwa, so nadhan ujio wa picha hizi utaibua hisia mbalimbali kwa washahafishwa wale.
 
Swali ambalo kila siku najiuliza kuhusu hii nchi yetu, ni lini hii miradi ya kitaifa itawekwa wazi, mfano ni huu wa kawe kama kweli hupo.

Pia, nikitizama kwa makini hayo maghorofa ni either office/commercial spaces or residential. Sasa imefika wakati tuanze kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda pia, kuendelea kujenga hizi appartment hakuta saidia kukua kwa uchumi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…