Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
240
Reaction score
267
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2021 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera.

Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.

PHOTO-2021-04-19-14-49-08.jpg


PHOTO-2021-04-19-14-49-07.jpg


PHOTO-2021-04-19-14-48-58 2.jpg
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
 
Back
Top Bottom