Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Habari kumbukizi kuhusu ATCL​


10 February 201​

Serikali yabaini Wizi wa Shilingi Milioni 700 Katika Shirika la Ndege la ATCL​

Unknown Biashara, Habari, Habari za Kitaifa
Na Lorietha Laurence-Maelezo
Serikali imebaini wizi wa fedha takribani shilingi Milioni 700 katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kupitia kampuni ya Wakala wa ukatishaji tiketi ya Salama World Travel iliyopo visiwa vya Komoro.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ,Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa ameeleza kuwa wizi huo umefanywa kwa kushirikiana na wafanyakazi wa shirika hilo.

“Kufuatia upotevu huo Serikali imechukua hatua thabiti ikiwemo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa ATCL Bw.Steven Kasubi ili kupisha uchunguzi utakaofanywa na kikosi cha polisi kitengo cha usalama mtandaoni ili kubaini mtandao mzima uliohusika ” alisema Prof.Mbarawa.

Aidha aliongeza kuwa kwa utaratibu wa kawaida wa shirika hilo wakala anapewa ruhusa ya kuuza tiketi za ndege kuanzia kiasi cha shilingi milioni 15 tu na pale anapomaliza mauzo anarudisha fedha kwa shirika na baadaye kupewa ruhusa tena.

Prof.Mbarawa anasema kwa sasa wameanza na shirika la Ndege la Tanzania kwa kwa lengo la kulifufua kwa kununua ndege mpya na kuwa na wafanyakazi wachapakazi na waadilifu.

“Siku mbili zilizopita nilifanikiwa kukutana na menejimenti ya ATCL na kubaini mapungufu mengi na hivyo kuamua kuyafanyia kazi kwa kuhakikisha shirika hii linarudi kutenda kazi kwa udhabiti kwa kuwashughuikia wale wote wanaoenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma” alisema Prof.Mbarawa.

Vilevile aliongeza kuwa Serikali imemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kufanya uchunguzi kwa mawakala wengine wote wa Shirika hilo kubaini kama fedha za uuzaji wa tiketi hizo zinarudishwa kama inavyotakiwa.

Prof.Mbarawa ametoa wito kwa wananchi kuachana na wizi kwa njia ya mtandao kwa kuwa sheria ya mtandao iliyoanzishwa mwaka jana inatumika katika kuhakikisha kuwa watuhumiwa wanafikishwa katika mkondo wa sheria na kuchukuliwa hatua stahiki.
 
Kwahiyo baada ya CAG kubaini hasara wameamua kufanya kweli ili iwe hasara "kweri kweri"
 
Sitoshangaa kusikia Shirika limeanza kunyofoa spea za Ndege na kubadilishana na AIR BURUNDI
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Utoto mtupu pesa zaidi ya billion 1 haziwezi kuwekwa ofisin

Habari ya kipumbavu sana hii
 
Inasikitisha.

Kisicho riziki, hakiliki na mbuzi wa masikini hazai, na akizaa, anazaa dume.

Tuna bahati mbaya wabongo.
 
Hao itakuwa vijana wa ufipa mioyo yao itatakata shirika hilo likifa kabisa.
 
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera.

Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.

View attachment 1756511

View attachment 1756512

View attachment 1756513
Dah Kwahiyo kampuni ya ndege inatumia mfumo wa kibubu kutunza fedha zake
 
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera.

Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.

View attachment 1756511

View attachment 1756512

View attachment 1756513

Kwa Kawaida Uwizi kama huu ( huo ) ukitokea katika Ofisi za Kitaasisi au Kampuni au Shirika kama hili ukiwawahi tu Watumishi wake wa Kiume ( ukawabana Pumbu vizuri ) na wa Kike ukabinya Matiti yao na Plaizi ( huku ukiwaangalia Kibandidu ) Usoni watatajana wenyewe Mmoja baada ya mwingine.
 
Haya ni mauzo ya muda gani? Huu ni mpango kabambe. Serikali iondoe uongozi mzima wa ATCL. Ndege zenyewe zinapigwa vita na anti Magufuli bado wanafanya mchezo huu.
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Hapa inapikwa show watu waanze kudemka demka nayo!
 
Back
Top Bottom