Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Hata hivyo kwani hiyo ni ofisi ya wakala wa kukatisha ticket za ATCL Comoro au ni ofisi ya ATCL

Manaake sidhani kama ticket zinakatishwa na kampuni husika ila wakala

Kama ni wakala ndo kaibiwa mabilion hayo hayatuhusu 😂😂
Tunataka chetu sisi
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Duhh!! Wanaume wamesanuka..
 
Yaani hata thamani ya pesa ya comoro inatuzidi? Uchumi wa kati
 
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera.

Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.

View attachment 1756511

View attachment 1756512

View attachment 1756513
Huyu ni COMAIR, ambaye anamilikiwa na Serikali ya Comoro, ni wakala wa mashirika ya ndege mbalimbali yanayofanya safari zao hapo Comoro sio ATCL pekee yake. Tayari ATCL wametoa ufafanuzi kupitia Azam Tv kuwa kwa upande wao ni mauzo ya Jumamosi dola 3200 yaani kama shilingi 7,400,000 na tayari ziko benki.
 
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera.

Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.

View attachment 1756511

View attachment 1756512

View attachment 1756513
Kungekuwa na mawasiliano na marehemu angeambiwa nadhani angekufa tena
 
Huo ni mpango uliotengenezwa na uongozi wa ATCL.
Haiingii akilini kwamba hela nyingi kiasi hicho zinawekwa kwenye kasiki ofisini badala ya hela kuwekwa benki.Ufisadi bado unaendelea kwa kasi.
Serikali iangalie hili kwa jicho la pili.
 
kwa hiyo ijumlishwe kwenye hasara ile bilions 60
 
kuna bima italipa, always cash lazima ikatiwe bima

Unapoingia mkataba na Bima, kuna kiasi cha ku-insure, ambacho mara nyingi ni average ya cash collections za siku moja, kwamba ulisokusanya leo utazipeleka benki kesho.

Hivyo wana assume ukiibiwa usiku utaibiwa zile ulizokusanya siku hiyo.
 
Back
Top Bottom