Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Watanzania siyo watu wa kufanya nao compromise, even if you are intentions are good or giving people a chance to redeem themselves.

Wao akili zao ni one dimension any compromise kwao ni weakness. Na ukiwa kwenye uongozi ukitaka upendwe na kila mtu inakula kwako labda kama ujali kuacha alama katika muda wako.

Mama harudi kwenye mstari without intimidation watanzania awaendi. Bila ya vitisho vya wazi wazi na kutoa mifano watu hawafikirii mara mbili kabla ya kuamua kuiba.
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Hii habari ni kama ina walakini au ni uongo moja kwa moja.
 
Wanategemea Nani aamini huu ujinga wa kitoto.
Kila cashier anajua kwamba makusanyo yote lazima yapelekwe banki na pesa ya matumizi itoke banki.
Peleka cashier na accountant jela Tena Segerea Kuna wahuni wanawasubiri wawasulubu.
Ina maana Hilo boya meneja wa hapo na wakubwa zake huku Dar walikua wanapeana ripoti gani kila siku?
Ofisi Ina 2 b haina ulinzi Wala cctv.

Nipewe Hilo faili jamani. Upelelezi naumaliza ndani ya masaa 2
 
Unataka kusema hizo ofisi za ATCL huko Comorro zilikuwa zinalindwa na masai na rungu.
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
kuna bima italipa, always cash lazima ikatiwe bima
 
Aliyekuwa anatunza hizo fedha ni nani? Watz sisi tunapenda ujanja ujanja na upigaji, ukute wahusika ndio wamechora picha lote, hapo tu ndio Magufuli anakumbukwa
 
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera...Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.

View attachment 1756511

View attachment 1756512

View attachment 1756513
1. Hapo hakuna mwwizi aliyetoka nje ya wahusika
2. Hakuna uwezekano wa mauzo ya kiasi hicho kuhifadhiwa kwenye ofisi yenye miundo mbinu mibovu kiwango
3. Haiwezekani ofisi ya shirika la ndege la nchi ambayo haina ulinzi (mtu, mitambo na kamera)
4. Kuvunjwa kwa ofisi ni utekelezaji wa hujuma ya namna jinsi mali za umma zinavokuwa zinatekezwa na waliopewa dhamana pindi panapotokea mabadiliko ya ghafla ya uongozi
5. Wizi haujatokea siku hiyo ulishafanyika na waliochukuwa ndio hao waliobuni mpango huo kuficha utambulisho halisi wa mharifu (This is an absolute cover story to conceal a huge funds embezzlement that it involved bigwigs and agents)

Wakala na mhasibu wake wakamatwe na wazitapike hizo hela ni nyingi mno.

*Her execellence president Samia Hassan is advised to aggressively contain this criminal acts aimed to sabotage the service provision continuity.
 
Mh Rais akiendelea kuongea kiupole hivyo Mambo hayatoenda kabisa hii nchi
 
Shirika la jiwe hilo,mambo ya kijiwe kijiwe.
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
 
Hilo shirika liuzwe, ni hasara tupu
 
Kwanini kila siku Comoro.

Habari kumbukizi za Comoro 10 Februari 2016

Tanzania yafichua wizi wa milioni 700​

10 Februari 2016
Rais Magufuli

CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Rais Magufuli
Serikali ya Tanzania imebaini wizi wa takribani shilingi milioni 700 sawa na dola laki tatu za marekani ($320,000 )katika shirika lake la Ndege (ATCL) kupitia kampuni ya wakala wa ukatishaji tiketi ya Salama World Travel iliyopo visiwa vya Comoro.
Hii ni moja ya harakati za serikali kulifufua Shirika la Ndege Tanzania.
Kufuatia upotevu huo wa fedha, mkurugenzi wa Fedha wa ATCL Steven Kasubi amesimamishwa kazi.
Shirika la ndege la Air Tanzania

Maelezo ya picha,
Shirika la ndege la Air Tanzania
Uchunguzi umeanza chini ya kikosi cha polisi kitengo cha usalama mitandaoni ili kubaini mtandao mzima wa wote walivyohusika
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Hizo bilioni 2.2 jumlisha na zile bilioni 60 hasara ya kila mwaka unapata hasara ya mwaka huu.
 
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?

Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?

Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Tungejua nauli ya kwenda comoro ni kiasi gani, kuna route ngapi kwa wiki na wastani wa pax tungeweza guess ni pesa za muda gani (japo kuna cargo pia) lakini nafikiri zilikua humo zaidi ya mwezi mmoja. Hamna bank comoro siku hizi? Si exim ya hapa tz wana branch kule?
 
Back
Top Bottom