Complete heart transplant; rethink your faith!

Kwa nn nijifunze,""who is god""?,Mungu (kama yupo) hahitaji kujifunza tungemjua tangu alipotuumba kusingekuwa na haja ya kujifunza. Kwa sababu hayupo na hakutuumba ndo mana inabidi tujifunze kuhusu mungu,huu ndo nilikwambia ni uoga.

Lets say yes sisi ni waoga kwa mwenyezi Mungu (fair enough). Lakini kwako wewe bila kujifunza Mungu ni nani, how can you establish grounds to debate that he doesn't exist? Shouldn't you understand at least the basics in order to realize what you are arguing about?

1. Wewe mswahili (unayejua lugha ya kiswahili) Unaenda kwenye mtanange kubishana kwamba Icelandic language(islenska) ni lugha nyepesi zaidi ya kiswahili ilihali hujawahi kusoma, kusikia, kuzungumza lugha hiyo hata msingi wake! On what comparison measures?

"Kwa sababu hayupo na hakutuumba ndo mana inabidi tujifunze kuhusu mungu,huu ndo nilikwambia ni uoga."

2. Ukihalisiwa(adopted) tangu mtoto mchanga, ukaishi na wazazi waliokuhalisi mpaka ukafikisha umri wa miaka 21, sasa unashangaa hufanani nao biologically unataka kujua asili yako, basi unajifunza kwamba ulihalisiwa na unapewa picha za wazazi wako na labda baadae ungependa kuwaona(kama wapo). Kutowajua wazazi wako wa asili (biological parents) does not mean they didn't conceived and give birth to you or doesn't exist, or they never was.

Ni mifano rahisi isiyo ya moja kwa moja lakini yenye kufikirisha na kujibu hoja zako.

Ndio maana from the start, nilikwambia ukajifunze from other atheists ili wakupe mwongozo mama sivyo utaonekana mwendawazimu na hata wao watakushangaa. Ukiitwa mbumbumbu unadai watu wana ID mbili mbili 🙂
 

We ni bure kabisa,hujasikia neno moja lina maana zaidi ya mbili kilinhana na sehemu ?.Mfano,neno ,,malapa,,lina maana nyingine kanda ya ziwa lakini ukanda wa pwani lina maana nyingine pia

.
 
Any theist,try this..

1.Anyone from you, Prove to me the Existence of God out of Faith(msichanganye maana nimesema out of Faith ili kuwarahisishia).

2.Is GOD a Spirit or a Physical figure ?

3.What is CHRISTIAN/ISLAM without JESUS & MOHAMMAD respectively ?

4.May you mention At least 3 problems which has been solved by Religion in this World ?

5.Y did God communicated only with the Middle Eastern people ?.Or warum sind alle Prophets von Mittel Ost gekommen sind?,(Kwa nn manabii na mitume wote walitoka Mashariki ya kati),

6.Nambien kwa nn mtoto mdogo anazaliwa kilema nawakati mungu hakuumba vilema?,Na mnambie mahala ambapo vitabu vya dini vimeongelewa vitu kma mtoto kuzaliwa kilema,appendix,sikoseli ,ukoma,kwamba vinatokana na nn.(msinambie n laana kama enzi zile za ujinga walivoamini)

7.Nahitaji evidence kwamba Yesu alitoka kwa mungu(sio imani please),pia kwamba Mohammad alitokewa na mungu pangoni.

8.Kisha mnambie If we were created by him,kwa nn aliaxha watu waabudu miungu ya kuchonga,mawe ,jua ,mwezi(kumbuka Hata Ibrahim aliabudu jua,mwezi kabla hajapata idea ya mungu asiyeonekana aliyoitoa kwa jiraNi zake waliochoka kuchonga kila siku munhu mpya).Kwa nn atuache tumtafute badala ya yeye kututafuta?.Naanisha kwa nn watu wa zamani hawakumjua moja kwa moja?,kwa nn baadae?
...

...jibuni. hayo kwanza maana mko wengi.. mkinijibu sahihi Nabatizwa,ama naslim ten nafunga mwez mtukufu,,kila la kher watu wa mungu.Mnaweza kugawana maana mko wengi,
 

hata mimi nitaanza kwenda tena kanisani ama nitasilimu!!
 
We ni bure kabisa,hujasikia neno moja lina maana zaidi ya mbili kilinhana na sehemu ?.Mfano,neno ,,malapa,,lina maana nyingine kanda ya ziwa lakini ukanda wa pwani lina maana nyingine pia

.

So Kiranga alimaanisha nini? We umemuuliza nini? umejijibu nini? na umechekeleshwa na nini?

Naona maana moja tu ya mataptap kanda zote pwani na ziwa.
 

We will not take you seriously, unless you do these:


  1. Make sure your questions have not been answered in the previous posts in this thread to avoid repetition. (I can see many are). Someone else even set those questions in a more profound way than you did now and we have responded accordingly. It is a waste of time and energy to return on the very identical queries every time. Your indolence or laziness to read and understand should not be encumbrance to us.
  2. Separate your questions from Christians and Muslims, we don't share belief/standards and faith thus we can't be set as one group.
  3. Theist? Use specific name e.g. Christians instead of grouping us in a invented word that began during the scientific revolution of the seventeenth century.
  4. Use proper language to avoid misunderstanding (mostly you are using something like this "nn, cc" it suits for facebook, and lots of spelling errors). Take your time to type, no hurry we are waiting for you.

NOTE: You getting baptized or accepting Christ is for you own good, so do not pronounce it like some kind offer to us.

Twende sasa...
 
So Kiranga alimaanisha nini? We umemuuliza nini? umejijibu nini? na umechekeleshwa na nini?

Naona maana moja tu ya mataptap kanda zote pwani na ziwa.

Heee!,Nilidhani najadili na timamu kumbe la!.Hicho umeandika nn sasa?.We nilikuuliza yesu kazaliwa wapi mpaka sasa hujajibu.
 
Nakubaliana na Ishmael kwamba, nnatambua na kuheshimu sana mchango wa Madaktari kwenye suala zima la uponyaji. Lakini, hawana uwezo asilimia 100 kwamba kila wanachokifanya kitafanikiwa.

Uwezekano huo ungekuwepo, pasingekua na vyumba vya kuhifadhia maiti mahospitalini, ina maaana kila anayepelekwa hospitalini angetibiwa na kupona.
 
Last edited by a moderator:

  1. Sort out by yourself the Questions you have answered.But according to me none of them has been answered.
    [*]Separate your questions from Christians and Muslims, we don’t share belief/standards and faith thus we can’t be set as one group.
    You just play your part.
Okay got you my sister
NOTE: You getting baptized or accepting Christ is for you own good, so do not pronounce it like some kind offer to us.

Okay
 

Tatizo unaemuambia hawezi kukuelewa kabisa!
 
Mbona yule jamaa mwengine hakujibu? Just curious kama na wewe umeingizwa kwenye lile kundi lake la siri. Ignore list.
 
Tumpe sifa zote Yesu Kristo aliye hai. Amen.
 
Heee!,Nilidhani najadili na timamu kumbe la!.Hicho umeandika nn sasa?.We nilikuuliza yesu kazaliwa wapi mpaka sasa hujajibu.
Acha lugha za vichochoroni zilizo jaa mataptap, ooops,
 
Samaritan hapa point yako hasa ni nini,?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…