Ignore list ni haki ya kila mtu anaweza kutumia muda wowote.Na wala haina masharti ukishindwa kudhibiti lugha ya nidhamu na heshima katika mijadala usilalamike mtu akikuweka huko.
Afu kwa nn unarudia kila siku swala la
Kiranga kukuweka Ignore list.Ilikuuma sana?.Kama hivyo mbona hujabadilika?.Kwa nn unashindwa kujadili mada kwa heshima?.Mbona wenzako wanauliza na kujibu kwa nidhamu!.Unadhani kumu-attack mtu personal ni kwa matusi ni ujanja?.hujui kwamba kuna watu humu wanakuheshimu na wanafikiri una kitu kichwani!.kwa nn unalazimisha nami nifikirie kukuweka kule?.Badilika kijana mambo mengine hayahitaji PhD.
Umewahi fuatilia mijadala yangu na
Samaritan ?.Huyu jamaa naweza sema ana kitu kichwani na uzuri kitu kama hajui huwa anakuwa wazi na kuomba msaada,hajawahi kuandika lugha za kebehi wala matusi humu.Huwa najifunza vitu vingi sana katika majibu yake na huwezi kukuta sijamjibu swali lake na kama sijui ama sikuelewa huwa nakiri na anafafanua.Hiyo ndio mijadala ya watu makini.
Sio mtu hakubali kushindwa,yaani unaona kabisa huwezi kujibu swali badala yake unaanza kuuliza vimaswali nyemelezi mara ohh eti Evidence maana yake nn?.
Yaan uko jukwaa hili hujui maana ya Evidence ?.kwa nn usiseme tu huwezi swali?.Halafu hakuna anayeweza kujibu kila kitu kwa hiyo sio lazima ujue kila kitu.Kuwa kama jamaa yako yule mwingine akishindwa hasemi ila anaalika watu, hiyo ni bora kuliko kutukana
Ni hayo tu,ukijirekebisha tutajadili kwa marefu na mapana mada yoyote.