Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Eiyer una alergy na karanga? au kambale?
ushawahi kuona mtu aliyepata side effects za blood transfusion?
sikuhizi watu wengine tunakula dozi za malaria mara mbilimbili. kutakuwa na nguvu ya ziada kwa wanaopona mara moja sio?
mimi nina sinusitus. nikaambiwa a daktari, tukiwaweka watu fit kabisa kwenye chumba ambacho hakina hewa, wewe utazimia wa kwanza. kutakuwa na nguvu za ziasa sio?
watoto huwa wanaanza kuongea/kutambaa/kutembea katika muda tofauti. kutakuwa na nguvu za ziada sio?
kuna wanariadha walikimbia from Dar to Moro. wamefika, wamekunywa maji, mmoja akafa right after. kutakuwa ba nguvu ya ziada.
kuna wamama hawasikiagi uchungu wakati wa labour.
etc etc
kwakweli kumuingiza Mungu on such medical issues shows Ignorance...and too much faith....hata Yesu alisema imani kama mbegu ya haladari tu inatosha kuamsha mlima.
but i'll leave u guys to it..
Aisee .......
Hebu slow down kwanza maana naona una speed sana na unataka kuandika mambo mengi sana kwa wakati mmoja
Nilichokiandika hujakielewa na huenda ni kwasababu hujajua msingi wa kilichonifanya niandike,nilichoandika nimeandika kutokana na swali ambalo limeulizwa na sijaona mtu akilijibu
Nafahamu kuwa watu wanaweza kutopona ugonjwa unaofanana kwasababu tofauti tofauti kama vile kuchelewa kutibiwa au kupata dawa tofauti n.k
Lakini swali lililoulizwa ni tofauti sana kwani linazungumzia watu wa ugonjwa ule ule na mazingira yote ya maradhi yanafanana na wote walitinbiwa na daktari mmoja kwenye mazingira yale yale
Kwa kifupi vitu vyote vimefanana kwenye kesi zote mbili lakini mmoja anapona na mwingine anakufa
Hapo ndipo tunahoji sababu,hakuna aliyejibu hili kisayansi tofauti na kupiga kelele tu hapa
Mifano yako uliyotoa ya watu na watoto sijui wanaotambaa au wanariadha haifai kwenye aina ya swali lililoulizwa!