Naanza kutilia mashaka uwezo wako wa kuelewa
Wewe ulisema kuwa nilichokisema mimi hakiko kwenye uhalisia bali kiko kifikra zaidi
Nikakupa mfano wa mambo ya watu wawili tofauti kufanana
Unakuja na kuanza kusema ni mangapi,
housegirl ,hebu acha mambo yako bana,ishu hapa sio mangapi au ya akina nani bali ni kama yameshawahi kuitokea au hayajawahi,umeshindwa kuelewa hili?
Nilipokuambia kuwa hili swali linahusu watu wenye ugonjwa ule ule yaani wanafanana kwa kila kitu lakini mmoja anakufa na mwingine anapona hukuelewa?
Kilichopelekea watu kushindwa kujibu swali hili ndicho hicho hicho kinachokufanya wewe ujaribu kutafuta justification ya kukana kile ninachokuambia hapa
Hata kama kungekuwa hakuna mfano wa kukupa bado isingekuwa ni sababu ya kukana jambo hilo kuwepo
Wewe huna mfano hata wa uongo wa ku back up madai yako na sio kweli yenyewe ni self evident kwakuwa hakuna kitu kama hicho bali unatoa madai na unaweka na ushahidi
Kitendo cha watu kupata matibabu na mmoja akapona mwingine akafa hakiwezi kukusaidia kwakuwa naweza kukupa mifano ambayo umeitoa hapo kuwa watu wanaweza kupata tatizo lile lile lakini kuna mambo kama muda wa kuugua na aina ya dawa walizopata
Lakini mimi nazungumzia jambo ambalo wagonjwa wote wawili wanafanana kwa kila kitu na mfano nimekupa ambao wewe uliniambia nikupe na ulidai mfano wa mambo kufanana bila kusema ni aina gani ya mambi hayo
Nakushangaa sasa unabadilika!