Complete heart transplant; rethink your faith!

Nimempa heko kwa sababu ameonesha ukomavu kwa kujui udhaifu wako katika mijadala kama hii.
How did you know that?,Who told you about someone/something you haven't seen.?

2. God is above logic

Can you comprehend Him? FURTHERMORE, SIO LAZIMA UONE KITU NDIO UKUBALI KUWA KIPO.

What do you mean by,,Above logic ""?
3. God is above reasoning
Try to use logic and see if you will comprehend Him? Logic imeshindwa vibaya sana kuelewa Mungu kama yupo au hayupo.

Yes!,because he/it is only an idea not a reality

In fact, those things exists because of HIM.
What is the reality and "not a reality"? Tell me how did you come to that conclusion? Give me your findings.

Are you sure or you believe ?

When I use the Name of Jesus and someone's demons and/or cancer vanishes, tell me, how can science comprehend that?
Wewe niambie upo wapi, nitakuja na kukutoa masheitwain. It is the empirical fact.

When i use my Tv to see what is happening at Rio de Janeiro in Brazil while sitting on my sofa in Rwanda,tell me the difference.!

My prior reply was dismiss intellect and or science by showing them that, "If Doctors heals", why do we have dead people.
Go ahead and enjoy Rio, mimi nilienda kabisa Rio wakati wa ile World Cup. Nilikula Samaki wa Kupaka, watamu kuliko wa pale Nangurukuru.

Doctors(human being) try their level best to help the patient get well.But your god has nothing to do with us!,ndo mana hata wewe hujui yuko upande gani!
Sasa huyu Mpinga Yesu na Mpinga Mungu Free ideas kakupa heko, kwangu mimi naona ni msiba kwake, maana hajui wapi tulianzia kuzungumza.

Naona sasa umeanza kuelewa kuwa Madaktari niwakusaidia tu, lakini hawakuponyi. Sasa siku zote hizi ulikuwa unabisha nini?

Leo namaliza kwa kusema

YESU NI MUNGU
 
Basi tumia hizo mbinu kushinda mjadala huu kwa kunipa uthibitisho kuwa mungu yupo.

Tatizo sipo hapa kushindana kama yule jamaa na bingwa wa Ignore List na mpenzi wa ligi. Nipo hapa kumweleza Mungu na Raha yake kama utabahatika kuwa Mtoto wake.

Ukinijibu hili swali nitakupa ushaidi wa kuwepo kwa Mungu.

SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?
 
Acha mkwara bwana.We siku zote umekosa ushahidi wa kuwepo mungu uupate leo?.

Lazima ujue kwamba,wengi wenu ndio huwa mnaanzisha mijadala kama hii.Sisi wengine huwa tunaitwa kuchangia chochote.Tunapokuja huwa tunawaomba ushahidi wa kile mkisemacho,lakini cha ajabu hakuna ushahidi umewahi kutolewa hapa kwamba mungu yupo.

Jibu:Nikisema kwamba mimi nataka kufahamu kwamba mungu yupo ntakuwa siko sahihi.Kwa kuwa sio kweli kwamba mi nataka kufahamu kama yupo, bali nyie mnaosema yupo mtupe ushahidi ili tujue kwamba yupo.
 
Wewe unapo kwenda kumboa kitu, unaye muomba anayo haki ya kufahamishwa, kwanini unaomba hicho kitu. Hilo si jambo ambalo lipo nje ya context. Hata kwa wale wanao omba kazi, huwa nao wanaulizwa, why do you want to work with us/our company.

SASA NARUDIA SWALI, USIOGOPE KUNIJIBU HILI SWALI SIO MTEGO.

SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?
 
SASA NARUDIA SWALI, USIOGOPE KUNIJIBU HILI SWALI SIO MTEGO.

SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?

JIBU: Mi Sitaki KUFAHAMU bali NAOMBA/NAHITAJI USHAHIDI KWAMBA MUNGU YUPO.!
Nahisi unakosea kuuliza swali. Mi nahitaji ushahidi kwamba yupo sitaki kufahamu.
 
Kumbe upo kwenye ligi na HUTAKI KUFAHAMU. Sasa ushahidi si ndio kufahamu? Kwani Ushahidi kwenye Kesi si ndio unafanya watu wafahamu nini kilitokea? Sasa WEWE unataka ushahidi ambao hauto kupa ufahamu, huo si utakuwa ushaidi wa uongo?

Hivi, kwanini huwa unaogopa kunijibu? WEWE umeweka maswali zaidi ya saba, na nimeyajibu yooote bila ya hiana. Mimi kaswali kamoja tu, teyari hutaki kujibu, how are you/we going to learn without answering questions?

SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?
 
Hivi, kwanini huwa unaogopa kunijibu? WEWE umeweka maswali zaidi ya saba, na nimeyajibu yooote bila ya hiana. Mimi kaswali kamoja tu, teyari hutaki kujibu, how are you/we going to learn without answering questions?

SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?

Sijawahi kuogopa kukujibu!,mbona jibu langu limeeleweka ila kwa kuwa haliko kama ulivotarajia ndio maana haulikubali?.Kesi yoyote inahitaji kwanza ushahidi kisha kila kitu kinajulikana baadae.

Hakimu akikamilishiwa ushahidi basi hata mwenendo wa kesi utakuwa wazi.Hakimu hawezi kuhukumu bila kuwa na ushahidi kwanza.Sasa wewe nipe ushahidi wa kuwepo mungu kisha kutaka kumjua kutakuja baadae.

Nitatakaje kujua kitu/mtu wakati sina ushahidi kwamba kipo/yupo?.Nipe ushahidi na kama nikiridhika nao ndio ntakwambia sasa nataka kumjua !Nadhani umenielewa
 
Sijawahi kuogopa kukujibu!,mbona jibu langu limeeleweka ila kwa kuwa haliko kama ulivotarajia ndio maana haulikubali?.Kesi yoyote inahitaji kwanza ushahidi kisha kila kitu kinajulikana baadae.

Hakimu akikamilishiwa ushahidi basi hata mwenendo wa kesi utakuwa wazi.Hakimu hawezi kuhukumu bila kuwa na ushahidi kwanza.Sasa wewe nipe ushahidi wa kuwepo mungu kisha kutaka kumjua kutakuja baadae.

Nitatakaje kujua kitu/mtu wakati sina ushahidi kwamba kipo/yupo?.Nipe ushahidi nabkamabnikiridhika nao ndio ntakwambia sasa nataka kumjua !Nadhani umenielewa

Kesi huwa inapo funguliwa lazima kuwe na sababu ya kuifungua hiyo Kesi. Sasa mimi nataka sababu ya wewe kufungua kesi. Sasa basi, you are a petitioner you have to tell me why do you want to know if God does exists? Lazima ipo sababu inayo kusukuma ndani yako, kiasi hiki, hiyo sababu ndio nataka "kuifahamu" KWANINI UNATAKA KUFAHAMU KAMA MUNGU YUPO?
 
Mimi nahitaji ushahidi,kutaka kujua nitaamua
 
Mimi nahitaji ushahidi,kutaka kumjua nitaamua ukisha leta ushahidi.
 
Mimi nahitaji ushahidi,kutaka kujua nitaamua
Kumbe haujui kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo na haufahamu kwanini unapinga Mungu. Am I correct? Unapo taka ushaidi, lazima kuwe na complaint, that is inescapable. Wewe unaleta Summons without a complaint. A complete Summons must have either indorsed complaint or a separate complaint annex to it. Now, I as a defendant will either cross move your complaint and or file a verified answer with affirmative defenses.
 
Huo ndio ushahidi?.Mbona umeuliza na kujijibu mwenyewe?.Kwa nn huzingatii majibu unayopewa badala yake unataka iwe kama utakavyo!.Mi nimekwambia sitaki kujua bali nahitaji ushahidi.Hivi neno KUTAKA KUJUA na KUHITAJI USHAHIDI kwako yana maana sawa?.
 
Same thing. Kuhitaji ushaidi na kutaka kujua ushahidi is the same thing.
 
Ok sawa,kuna siku nilisema kama ukitaka kujadili mambo haya na kupata japo mwanga,basi weka imani pembeni.Tofauti na hapa ni vigumu kujua tunamaanisha nini tukisema mungu hayupo.Nanyi mkisema yupo lakini haonekani hatutafika mwisho.Wenzako huwa wanajaribu kujadili kwa facts pia lakini baada ya muda hurudi kule kule kwamba ",Naaamini yupo!"

Mbona kuna siku tulikua kwenye mjadala na wewe vizuri tu tena kuaanzia kwenye tofauti ya kujua na kuamini, hadi leo hii naweza kukuhakikishia kwamba kuna vitu unaviamini lakini wewe unafikiri unajua. Sitaki kurudi huko kwa sababu kama nilivyoweka wazi mwanzo, sipo kubishana.

Na sijui kwa nini tunapishana lugha au ni mimi sijui kuelezea vizuri. Nimeshaweka wazi kabisa kwamba Madaktari wanafanya kazi nzuri sana, na natambua umuhimu wao tena kwa eneo moja wanatoa huduma kitu ambacho hata Mungu usiyeamini kuwa yupo hana tatizo nalo.

Nnapokuja kupishana na wewe ni pale unapopinga kuwepo kwa nguvu iliyo kuu kuliko madaktari. Kama unaamini kwamba Mungu hayupo na Daktari ndio mwisho wa mambo yote, kwa nini wagonjwa wengine wasipone, wengine wapone, wengine wafe na wengine wasife?

Nikiumwa ntaenda hospitali kutibiwa lakini bado nna amini kwamba Mungu anawatumia madaktari kuleta uponyaji kwangu.
 
Mkuu.kwenye hii ishu ya mgonjwa mmoja kupona namwingine kutokupona sikuwa nimewahi kujiuliza
Nimejiuliza sana siku kadhaa hizi na nazidi kuona tu kuwa hatuna namna ya kukwepa uwepo wa nguvu kubwa kuliko sisi

Kama kuna mtu anaamua tu kukataa kwasababu hana uwezo wa kutafakari au anaogopa majibu kama akiamua kutafakari au hataki kutafakari au ameshatafakari na kupata majibu na anaamua tu kubisha huyo tunaachana nae

Msingi wa hoja uko wazi kabisa,kama wanaweza kulielezea hilo kisayansi mbona hawajafanya hivyo?Kwanini watu wawili ambao tukio zima nla kuugua na aina ya ugonjwa unafanana mmoja afe na mwingine asife?Hebu watueleze hili linakuwaje kisayansi ili tutafakari pamoja

Cha kusikitisha hawa ndugu wameshindwa kabisa kulielezea hili na wamebaki kupiga soga zisizo na mashiko!
 
Maybe you are missing something.
1. God is above intellectual
2. God is above logic
3. God is above reasoning

In fact, those things exists because of HIM. When I use the Name of Jesus and someone's demons and/or cancer vanishes, tell me, how can science comprehend that?

My prior reply was dismiss intellect and or science by showing them that, "If Doctors heals", why do we have dead people.

Sasa huyu Mpinga Yesu na Mpinga Mungu Free ideas kakupa heko, kwangu mimi naona ni msiba kwake, maana hajui wapi tulianzia kuzungumza.

Whoah!!! whoah!!! whoa!!! God is above logic? Are you saying the laws of logic dont apply to God?

and Unfortunately sijawa kushuhudia mtu akiponywa....umeshawahi? Kapona cancer, what type of cancer? wangapi?

and hopefully you are aware of the placebo effect. hali ya mtu ya kiakili ina uhusiano mkubwa sana na physical health yake. some find that supernatural. I have no prob with that.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kuna siku tulikua kwenye mjadala na wewe vizuri tu tena kuaanzia kwenye tofauti ya kujua na kuamini, hadi leo hii naweza kukuhakikishia kwamba kuna vitu unaviamini lakini wewe unafikiri unajua. Sitaki kurudi huko kwa sababu kama nilivyoweka wazi mwanzo, sipo kubishana.

Na sijui kwa nini tunapishana lugha au ni mimi sijui kuelezea vizuri. Nimeshaweka wazi kabisa kwamba Madaktari wanafanya kazi nzuri sana, na natambua umuhimu wao tena kwa eneo moja wanatoa huduma kitu ambacho hata Mungu usiyeamini kuwa yupo hana tatizo nalo.

Nnapokuja kupishana na wewe ni pale unapopinga kuwepo kwa nguvu iliyo kuu kuliko madaktari. Kama unaamini kwamba Mungu hayupo na Daktari ndio mwisho wa mambo yote, kwa nini wagonjwa wengine wasipone, wengine wapone, wengine wafe na wengine wasife?

Nikiumwa ntaenda hospitali kutibiwa lakini bado nna amini kwamba Mungu anawatumia madaktari kuleta uponyaji kwangu.

kama Mungu ndio nguvu ya mwisho, mbona wengine wapone na wengine wasipone? utasemaje? kuna nguvu ya juu kuliko Mungu?

mtu hajui kwanini mgonjwa huyu wa malaria kafa na yule kapona. so anasema ni Mungu.

Hivi tuna tofauti gani na watu wa kale walioamini kuwa vilema walikuwa wameadhibiwa na Mungu?

Dah. Hii thread imenishangaza kweli.
 
Mkuu.kwenye hii ishu ya mgonjwa mmoja kupona namwingine kutokupona sikuwa nimewahi kujiuliza
Nimejiuliza sana siku kadhaa hizi na nazidi kuona tu kuwa hatuna namna ya kukwepa uwepo wa nguvu kubwa kuliko sisi

Kama kuna mtu anaamua tu kukataa kwasababu hana uwezo wa kutafakari au anaogopa majibu kama akiamua kutafakari au hataki kutafakari au ameshatafakari na kupata majibu na anaamua tu kubisha huyo tunaachana nae

Msingi wa hoja uko wazi kabisa,kama wanaweza kulielezea hilo kisayansi mbona hawajafanya hivyo?Kwanini watu wawili ambao tukio zima nla kuugua na aina ya ugonjwa unafanana mmoja afe na mwingine asife?Hebu watueleze hili linakuwaje kisayansi ili tutafakari pamoja

Cha kusikitisha hawa ndugu wameshindwa kabisa kulielezea hili na wamebaki kupiga soga zisizo na mashiko!

Eiyer una alergy na karanga? au kambale?

ushawahi kuona mtu aliyepata side effects za blood transfusion?

sikuhizi watu wengine tunakula dozi za malaria mara mbilimbili. kutakuwa na nguvu ya ziada kwa wanaopona mara moja sio?

mimi nina sinusitus. nikaambiwa a daktari, tukiwaweka watu fit kabisa kwenye chumba ambacho hakina hewa, wewe utazimia wa kwanza. kutakuwa na nguvu za ziasa sio?

watoto huwa wanaanza kuongea/kutambaa/kutembea katika muda tofauti. kutakuwa na nguvu za ziada sio?

kuna wanariadha walikimbia from Dar to Moro. wamefika, wamekunywa maji, mmoja akafa right after. kutakuwa ba nguvu ya ziada.

kuna wamama hawasikiagi uchungu wakati wa labour.

etc etc

kwakweli kumuingiza Mungu on such medical issues shows Ignorance...and too much faith....hata Yesu alisema imani kama mbegu ya haladari tu inatosha kuamsha mlima.

but i'll leave u guys to it..
 
Last edited by a moderator:

:hail:I bow to the docs, hands down, thats pure science! Inasikitisha sana mtu ana mgonjwa kwenye critical condition, daktari akiokoa maisha yake shukrani anapewa mungu, how does he even come into this?!!...:wacko:

hao madokta walifanya bure?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom