Lisa Valentine
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 317
- 519
Let us see if the person will answer your prior posts. I bet you are invisible to her/him.
Pisha niongee na watu wanojua nidhamu ya mijadala,sio wewe
UNaifahamu nidhamu wewe au ndio milugha ya ajabu tu unafikiri ndio nidhamu? Si nilikwambia na wewe utaingia kule kwenye ile option yenu? Sasa wewe na yule mna tofauti gani?
Umesha maliza kujitetea na kumtetea mdini mwenzako? Naona unalalamika tu kama vile mtoto mdogo anaonewa na kaka yake. Pole sana kwa maumivu.Ignore list ni haki ya kila mtu anaweza kutumia muda wowote.Na wala haina masharti ukishindwa kudhibiti lugha ya nidhamu na heshima katika mijadala usilalamike mtu akikuweka huko.
Afu kwa nn unarudia kila siku swala la Kiranga kukuweka Ignore list.Ilikuuma sana?.Kama hivyo mbona hujabadilika?.Kwa nn unashindwa kujadili mada kwa heshima?.Mbona wenzako wanauliza na kujibu kwa nidhamu!.Unadhani kumu-attack mtu personal ni kwa matusi ni ujanja?.hujui kwamba kuna watu humu wanakuheshimu na wanafikiri una kitu kichwani!.kwa nn unalazimisha nami nifikirie kukuweka kule?.Badilika kijana mambo mengine hayahitaji PhD.
Umewahi fuatilia mijadala yangu na Samaritan ?.Huyu jamaa naweza sema ana kitu kichwani na uzuri kitu kama hajui huwa anakuwa wazi na kuomba msaada,hajawahi kuandika lugha za kebehi wala matusi humu.Huwa najifunza vitu vingi sana katika majibu yake na huwezi kukuta sijamjibu swali lake na kama sijui ama sikuelewa huwa nakiri na anafafanua.Hiyo ndio mijadala ya watu makini.
Sio mtu hakubali kushindwa,yaani unaona kabisa huwezi kujibu swali badala yake unaanza kuuliza vimaswali nyemelezi mara ohh eti Evidence maana yake nn?.Yaan uko jukwaa hili hujui maana ya Evidence ?.kwa nn usiseme tu huwezi swali?.Halafu hakuna anayeweza kujibu kila kitu kwa hiyo sio lazima ujue kila kitu.Kuwa kama jamaa yako yule mwingine akishindwa hasemi ila anaalika watu, hiyo ni bora kuliko kutukana
Ni hayo tu,ukijirekebisha tutajadili kwa marefu na mapana mada yoyote.
Samaritan hapa point yako hasa ni nini,?
Okay,hata sisi tunatambua pia mchango wao,ndio maana mleta uzi alisema wanastahili kusifiwa wao.Nnachomaanisha ni kwamba, natambua mchango wa madaktari na kuheshimu sana nafasi au sehemu ya kazi wanayoifanya linapokuja suala la kutibu ugonjwa.
Hapa yuko sahihi,maana ikiwa mgojwa yule asingetibiwa na daktar ni wazi kwamba uwzekano wa yeye kuendelea kuendelea kuishi ni asilimia chache sana.kwa maneno mengine mgonjwa angekufa.Sasa mleta mada akahoji uwezo wa mungu wenye upendo wote uko wapi?.Ukishawahi kujiuliza tiba ya appendex kiimani ni ipi ama mungu kasema nini kuhusu Hilo ?.Hakika hajasema chochote na njia pekee ya kumnusuru mgojwa wa appendix ni operation (sayansi) sio maombi.Kama umemuelewa mleta thread anasema madaktari wanapaswa kusifiwa na kupongezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya (Sina tatizo na hilo). Tatizo langu ni pale anaposema mgonjwa akipona anayesifiwa ni Mungu wakati Daktari ndio kafanya kazi yake.
Nakubali ndio kwamba kuna wakati mgojwa anashindikana na kufariki,kwa maelezo yako hapo juu unamaanisha kwamba hapo ndio uwezo ama uwepo wa mungu wako unapothibitikaNikahoji kwamba, pamoja na kazi nzuri wanayoifanya madaktari, wana kikomo chao. Kama sio hivyo tungekua na Nyerere, Mandela, Mama Theresa, ongezea na orodha ya watu wengine mashuhuri unaowafahamu wewe ambao walikua na uwezo wa kutibiwa na madaktari bora duniani lakini bado hawakupona.
Najua hapo ndio tofauti inapoanzia baada ya suala la imani kuingizwa kwenye mjadala. Binafsi kama naumwa nikaenda hospitali nikatibiwa na daktari, ntashukuru kwa Mungu aliyenipa neema ya kupona wakati huohuo nikitambua mchango wa daktari kwangu. Nnachoamini ni kwamba, kama wakati wangu wa kuishi hapa duniani umefika, hata kama ntapelekwa hospitali gani, ntakufa tu. na kama bado madaktari watanitubu ntapona.
Okay,
Je unapokufa ukiwa katika matibabu nani kasababisha?.Mungu kapenda ufe ?ama daktari kashindwa?.Je nani yuko responsible na vifo?ni mungu ama shetani maana maelezo yenu yanatofautiana.Wenzenu husema shetani ndiye mtoa roho za watu lakini wewe kwa maelezo yako ni mungu ndiye anapenda tufe.
Karibu........
Okay basi kili kwamba daktar anahusika kwa 100% katika. mauji ya wagonjwa!Kubaliana na mimi ili tufunge mjadala maana naona tunakaribia kuwa pamoja.Majibu umesha yapata kutokana na imani yako kuwa Daktari anahusika kwa asilimia mia katika mauwaji ya watu.
Okay basi kili kwamba daktar anahusika kwa 100% katika. mauji ya wagonjwa!Kubaliana na mimi ili tufunge mjadala maana naona tunakaribia kuwa pamoja.
Okay,hata sisi tunatambua pia mchango wao,ndio maana mleta uzi alisema wanastahili kusifiwa wao.
Hapa yuko sahihi,maana ikiwa mgojwa yule asingetibiwa na daktar ni wazi kwamba uwzekano wa yeye kuendelea kuendelea kuishi ni asilimia chache sana.kwa maneno mengine mgonjwa angekufa.Sasa mleta mada akahoji uwezo wa mungu wenye upendo wote uko wapi?.Ukishawahi kujiuliza tiba ya appendex kiimani ni ipi ama mungu kasema nini kuhusu Hilo ?.Hakika hajasema chochote na njia pekee ya kumnusuru mgojwa wa appendix ni operation (sayansi) sio maombi.
Nakubali ndio kwamba kuna wakati mgojwa anashindikana na kufariki,kwa maelezo yako hapo juu unamaanisha kwamba hapo ndio uwezo ama uwepo wa mungu wako unapothibitika
!,Hili ni tatizo pia.Ndio mana huwa namuita god of gaps(sio tusi ni sifa yake kutokana na mnavyomtambulisha).Kwamba pale tatizo linaposhindikana ndipo anadhihirika kwamba yupo na yeye ndiye mwenye jibu.Kwa maana nyingine ni kwamba yuko responsible na vifo vinavyotokea nikirejea ulichosema kwamba daktar wakati mwingine hawezi na inabidi mgonjwa afe.Lakini hiyo haimaanishi mungu yupo.
Je unapokufa ukiwa katika matibabu nani kasababisha?.Mungu kapenda ufe ?ama daktari kashindwa?.Je nani yuko responsible na vifo?ni mungu ama shetani maana maelezo yenu yanatofautiana.Wenzenu husema shetani ndiye mtoa roho za watu lakini wewe kwa maelezo yako ni mungu ndiye anapenda tufe.
Karibu........
Utaratibu gani huo?.Mkuu tatizo hapa ni ukuu,utukufu na upendo wa mungu mkuu.Sidhani kama hii kauli inamaanisha hasa maana ya ukuu na upendo.Mungu mwenye upendo hawezi kuacha viumbe wake waishi namna hii.Vilema,walemavu,maskini,matajiri!.Ukuu wake uko wapi?.Nashukuru kwa uchambuzi wako mkuu, naomba nijumuishe jibu langu rahisi kwamba, hautambui uwepo wa Mungu lakini wakati huohuo unataka uweke vigezo vya Mungu wako, Mungu nnayemwamini mimi anafanya chochote kwa jinsi na utaratibu wake.
Kwa nn mpaka imani?.Kwa nini nihangaike kumjua mungu wangu alieniumba kwa upendo wote?.Kwa nn nimsome kwenye vitabu!anashindwa nn kujidhihilisha kwangu(kwetu) tukamwona na hata tusioamini tukamwamini.Kwa nn aongee na watu wake kwa kutumia vitabu wakati uwezo wote anao?.Ulishawahi kujiuliza vipofu,viziwi na mataahila tangu utoto wanamjuaje mungu/?.Na uzuri iko wazi kabisa kwamba binadamu wanakufa na hilo limeelezwa wazi kabisa kwamba duniani tunapita ni makao ya muda tu. Kwa muktadha huo, kifo sio kitu cha kushangaza kwa Mungu. Unachotakiwa kujua ni huyo Mungu usiyemwamini taratibu zake zikoje na zinafanyaje kazi. Ila kwa kuwa wewe na imani hamkai chungu kimoja, inakua shida kwa sababu pasipo imani hauwezi kumpendeza Mungu.
Kifo asili yake katika vitabu vya dini ni nini?.Sio kitendo kile cha kula tunda?.Je mungu hakujua jambo hilo kabla hata hajaumba ulimwengu?.Hakika alijua sasa iweje kifo kiwe adhabu kwa jambo alilolipanga/alilolijua kabla?.Kwa nini uite kifo kama ni ishara ya kushindwa kwa Mungu ambaye hajakataa uwepo wa kifo na taratibu zote ziko wazi? .
Kifo ni asili ya viumbe hai wote.Hakuna nguvu inayokontro kwamba huyu afe na yule asife.Kama nnachokiongea ni uongo, au uelewa wangu hauko sawa jaribu kutafuta kifo kimeelezewaje katika Biblia takatifu, ukiona Biblia haijakitaja kabisa, njoo useme kwamba Mungu hatambui kifo na mtu akifa Mungu ameshindwa.
Utaratibu gani huo?.Mkuu tatizo hapa ni ukuu,utukufu na upendo wa mungu mkuu.Sidhani kama hii kauli inamaanisha hasa maana ya ukuu na upendo.Mungu mwenye upendo hawezi kuacha viumbe wake waishi namna hii.Vilema,walemavu,maskini,matajiri!.Ukuu wake uko wapi?.
Kwa nn mpaka imani?.Kwa nini nihangaike kumjua mungu wangu alieniumba kwa upendo wote?.Kwa nn nimsome kwenye vitabu!anashindwa nn kujidhihilisha kwangu(kwetu) tukamwona na hata tusioamini tukamwamini.Kwa nn aongee na watu wake kwa kutumia vitabu wakati uwezo wote anao?.Ulishawahi kujiuliza vipofu,viziwi na mataahila tangu utoto wanamjuaje mungu/?.
Kifo asili yake katika vitabu vya dini ni nini?.Sio kitendo kile cha kula tunda?.Je mungu hakujua jambo hilo kabla hata hajaumba ulimwengu?.Hakika alijua sasa iweje kifo kiwe adhabu kwa jambo alilolipanga/alilolijua kabla?.
Kifo ni asili ya viumbe hai wote.Hakuna nguvu inayokontro kwamba huyu afe na yule asife.
There are so many of such cases and in fact, wakati mwingine anaye fariki ni mwenye afadhali.
1. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubaliana nami kuwa Dawa sio inayo ponya.
2. Kutokana na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa Daktari anacho fanya ni kutibu tu.
3. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa uponyaji wa mgonjwa si tegemezi katika Dawa.
Kumbe ndio maana tuna kuwa na vifo ingawa mgonjwa amepewa dawa. Uponyaji sasa unaanza kuonekana sio kutoka kwa madaktari wanao toa treatment na au kunywa dawa but upo kwa mwengine ambaye haonekani.
Tunaweza kuweka two cases za heart transplant na cha kushangaza.
1. Wote wanaweza kupona.
2. Wote wanaweza kuto kupona
3. Mmoja anaweza kupona
Ndio maana science bado inabakia tegemezi kwa asiye onekana.
Read between the lines my dear.Ishmael I'm dissapointed by your reasoning here. Were you serious?
Read between the lines my dear.
Turahisishe mambo ndugu yangu. Hatuwezi kufikia muafaka kwenye hili jambo kwa sababu msingi wa tofauti zetu ni imani na hasa kuhusu Mungu. Na kwa sababu lengo langu sio kuibuka kidedea ila, kujifunza, ntaishia hapa kwa leo.
The only thing I see between the lines is too much faith which turns into intellectual laziness and illogical reasoning.
I dont think, you admitting to biological laws, lowers God's glory. Dont you think they infact praise God creations? I see you trying to disregard everything to show that God is Great.
Sasa hadi point ya kusema huyu katibiwa kapona, lakini yule kafa ni kwasababu ya Mungu..............I dont know man.....I'll leave you to it. cant help here.
How did you know that?,Who told you about someone/something you haven't seen.?Maybe you are missing something.
1. God is above intellectual
2. God is above logic
3. God is above reasoning
Are you sure or you believe ?In fact, those things exists because of HIM.
When I use the Name of Jesus and someone's demons and/or cancer vanishes, tell me, how can science comprehend that?
My prior reply was dismiss intellect and or science by showing them that, "If Doctors heals", why do we have dead people.
Nimempa heko kwa sababu ameonesha ukomavu kwa kujua udhaifu wako katika mijadala kama hii.Sasa huyu Mpinga Yesu na Mpinga Mungu Free ideas kakupa heko, kwangu mimi naona ni msiba kwake, maana hajui wapi tulianzia kuzungumza.
Wewe hata mbinu unaita udhaifu. Kawaulize Maarabu kwanini walipata kipigo kwenye ile vita ya Six Day War, ndio hukoo kuhisi udhaifu kumbe mwenzako kakusubiria.Nimempa heko kwa sababu ameonesha ukomavu kwa kujui udhaifu wako katika mijadala kama hii.
Wewe hata mbinu unaita ushifu. Kawaulize Maarabu kwanini wapita kipigo kwenye ile vita ya Six Day War, ndio hukoo kuhisi ushifu kumbe mwenzako kakusubiria.