Complete heart transplant; rethink your faith!

Free ideas, vipi rafiki, mbona umekataa kujibu swali langu ili na mimi nikujibu kuhusu Mungu aliye kuumba?
Ishmael swali lako nimeshakujibu sema tu inawezekana hujaridhika na jibu maana kwako maneno kutaka kujua na kuhitaji ushahidi ni sawa.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina swali: Hivi wewe unao ushaidi kuwa hakuna Mungu?

Kabla hujaniomba mimi ushahidi ni vyema wewe ukatoa ushahidi kwanza kwamba yupo.
Nakupa mfano mdogo,tukiwa tumekaa valandani mi na wewe kisha ukanambia kwamba,Unajua Free ideas hapa tulipo tuko watu watatu!.Mi nikasema sio kwel tupo wawili tu!,Halafu ukaanza kuniomba ushahidi kwamba nithibitishe kama tuko wawili.Mi ntakushangaa!.We unatakiwa uthibitishe kwamba kwel tuko watatu ili nami niamini kwamba tuko watatu tofauti na hapo tupobwawili na hilo liko wazi.
 
Last edited by a moderator:

kaka unachokonoa sana mara watu wanaoswali kwa kugeukia upande flan mara kwwnye mafuta unawashwa na nn? nn kinakuwasha ukunwe? endeleeni kumuamini huyo mungu wenu aliyezaliwa bethreem mtoto wa maria mungu mwenye ukoo unaoendelea duniani au mwenye kabila au mungu aliychapwa na wanadam wakati nipo mdoogo kuna mzee aliniambiaga kuwa imani ni ujinga ukitaka kuwa na imani lazma uwe mjinga hata wa kuhoji ule ukoo wa Mungu wa waisrael unaishi wapi gaza,bethreem, au tel aviv??? au umeshambuliwa na hamas?
 

Eiyer umemchokonoa sana huyu jamaa. Amepata jazba.

 
unaelewa hata kinachozungumziwa lakini?!!
kwa nini nisielewe? SI unasema walifanikisha upasuaji na kisha Mungu ndio anapewa asante? Kwani madaktari walifanya upasuaji bure? Utasema ujuzi wao waliulipia. Nauliza, aliyefanikisha kulipia kupata ujuzi huo ni nani? Pengine ni wazazi, taasisi fulani, au serikali. Basi kwa nini asishukuru hao? Nao taasisi hizo waliwezeshwa na nani? Utakuta unarudi rivasi hadi unakutana na Mungu. Upo hapo?
 

wala usitilie mashaka Intelligence yangu Mkuu Eiyer. inawezekana ni wewe mwenye tatizo.

how contradictory are your last two paragraphs? hopefully waliokupa like wamekuelewa na si ushabiki.

unasema on your 7th paragraph kuwa "nachosema sio self evident" halafu on the next paragraph unasema unaweza kunipa mifano ya watu walioreact differently to the same medical procedure.

SIKUELEWI!

so this thread is about the "extraordinary", things we dont see everyday, kama huyo Lincoln na Kennedy. and the best explanation is God.

I rest my case.
 
Last edited by a moderator:

Sasa anaewashwa kati yangu na wewe nani?

Kwani wewe unasali kuelekea wapi?

Kama unasali kuelekea upande fulani,hilo ni kosa la nani?

Mimi kusema unasali kuelekea huko ni kosa?
 

Kumbe hunielewi,kama ni hivyo sawa ....!!
 
Sasa anaewashwa kati yangu na wewe nani?

Kwani wewe unasali kuelekea wapi?

Kama unasali kuelekea upande fulani,hilo ni kosa la nani?

Mimi kusema unasali kuelekea huko ni kosa?

unashindwa kucheza kwenye mada kuu unaingiza vitu ambavyo havipo uwezi ukamtolea mtu mfano wa kejeli eti unakuwa kama watu flan wanaoffanya vitu flan mkuu free ideas anataka umpe ushahidi juu ya uwepo wa Mungu unarukaruka unajaza seva tu mwisho nawe unajifanya kumuuliza eti kwa nn unataka kumjua Mungu? point za kushindwa kushuhudia uwepo wa Mungu wako nakujutia kwakuwa pia huna uhakika saana na kile unachokiamini. subhuhanaah allah.
 
huyu jamaa atasumbua sana aelewi hata kwa nn anaamini alizaliwa tuu akakuta hayo maneno kuwa Mungu yupo nae amekopy ajafanya reseach wala hajui lolote ameng'ang'ania mfano wa mgonjwa tu! hv unataka kusema uwepo wa Mungu ndo unasababisha watu wafe? nimepoteza muda bure kumsoma huyu kitu gani cjui.
 

embu fikiri kabla ya kuandika Eiyer is more smart than that mangopickle brain of yours

unajua maana ya MUNGU?
 
Last edited by a moderator:
usingefikiri ingekuwa vipi?
so humu ndani ni mabishano?
nipe tofauti ya mtu na kiumbe.

kwa umri uliofikia ndio unataka ujue hizo tofauti wewe mbona upo tofauti sana ni mke wa huyu jamaa anayeshindwa kutoa ushahidi wa uwepo wa mungu wake au vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…