kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,034
- 6,571
Ngoja nikufumbue macho kidogo:
1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?
nimeipenda!