Complete heart transplant; rethink your faith!

Ngoja nikufumbue macho kidogo:

1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?

nimeipenda!
 
What exactly is the question?
Ilianza hivi
Magonjwa mengi yanajulikana chanzo, ndiyo maana wataalamu wanagundua dawa!
Sasa jamaa uliyemweka kwenye ignore list akauliza hivi
Ngoja nikufumbue macho kidogo:

1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?
CYBERTEQ akajibu hivi baada ya kuulizwa
Mgonjwa A katibiwa na Dr X Akapona = LEGIT
Mgonjwa B katibiwa na Mungu akapona = NEVER
jamaa akamjibu tena hivi
Unapo jadiriana na mimi, jifunze kubakia kwenye mada na sio kukimbia na kuchomekeza vitu usivyo vielewa. TUBAKIE KWENYE MADA YAKO YA MADKATARI. AU MADA YAKO IMESHA KUSHINDA, NA UNAANZA UTAMADUNU ULE ULE WA GOD DOES NOT EXISTS?

SASA NAWEKA ARGUMENT YANGU TENA

1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.
2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.
3. Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?

Nataka utumie empirical facts and inapo wezekana weka na links kusaidia jibu lako.
Cyberteq akajibu tena hivi
Unataka kusemaje, daktari mwenye "upako" ndiye anayeponya si dawa?
Unataka tuanze kujifunza basics za baiolojia na kemia?!!!..I though you said tubaki kwenye mada!
jamaa akamjibu tena hivi
I must be talking to a kid here.

Tafuta mwenye ufahamu zaidi yako aje hapa kukusaidia Free ideas upo wapi wewe, njoo umsaidie ndugu yao hapa.
Sasa kutokana na huo mtiririko akawa amekosekana mtu wa kujibu hicho kitu, katika kuchakachua ikaonekana hao wote ni wachovu hata ukicheck ile mijadala yao, sasa tukashauriana Labda kiranga anaweza akali attempt hilo swali, ni hayo tu...
 
Last edited by a moderator:
What exactly is the question?

Swali ni hili mkuu

1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.

2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.

Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?
 
Ilianza hivi

Sasa jamaa uliyemweka kwenye ignore list akauliza hivi
CYBERTEQ akajibu hivi baada ya kuulizwa

jamaa akamjibu tena hivi

Cyberteq akajibu tena hivi

jamaa akamjibu tena hivi

Sasa kutokana na huo mtiririko akawa amekosekana mtu wa kujibu hicho kitu, katika kuchakachua ikaonekana hao wote ni wachovu hata ukicheck ile mijadala yao, sasa tukashauriana Labda kiranga anaweza akali attempt hilo swali, ni hayo tu...

Kiranga ndiye mchovu kuliko wote hao kwenye ligi za kuonyeshana nani zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Swali ni hili mkuu

1. Mgonjwa "a" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akapona Saratani.

2. Mgonjwa "b" wa Saratani ya ubongo, katibiwa na Doctor "q" akafa kwasababu ya Saratani ya ubongo.

Kama dawa ndio inaponya Saratani, KWANINI MGONJWA "b" hakupona baada ya kutibiwa na Doctor "q"?

Kwa sababu ni mgonjwa b.

I am assuming that it is readily discernible that a is not equal to b.

This may not always be a safe assumption.
 
Kiranga ndiye mchovu kuliko wote hao kwenye ligi za kuonyeshana nani zaidi.

Hapana hii sio ligi ya kuonyeshana nani zaidi, ni hali ya kueleweshana mambo, CYBERTEQ ameanzisha mada yaani yeye ndio mwenye mada ila hilo swali limempiga chenga, ukitaka kuona ninachokwambia nenda jukwaa la dini uone Free ideas ameanzisha mada ya kwamba Yesu hakuwahi kuwepo kaangalie anavyojenga hoja unaweza ukashangaa, sasa kwa swali kama hili tukaonelea atleast wewe unaweza ukalijibu, lakini hao wenzako ni vichekesho...
 
Nimejibu kwa kiwango changu kulingana na summary niliyopata hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
kwanini utumie assumption?

Kwa sababu siwezi kuona vichwani mwa watu.

Na kukataa assumption ni kukataa kuanza kufikiri.

Suala si kukataa assumption, ni kukataa illogical assumption.

Wewe ukishaanza kupanga mambo ya kesho tu ushatumia assumption, kwamba hutakufa usiku usingizini na jua halitalipuka na kuunguza dunia yote.
 
Ha ha ha ha ha huyu ndio Kiranga anacheza na maneno tu. Afadhali yako wewe sio huyo muanzisha mada ni kituko anaulizwa swali anakimbilia kwenye Biblia sijui imefanya nini!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kutokana na hayo majibu yako hapo juu unaweza ukakubaliana na jibu la jamaa hapa chini
There are so many of such cases and in fact, wakati mwingine anaye fariki ni mwenye afadhali.
1. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubaliana nami kuwa Dawa sio inayo ponya.
2. Kutokana na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa Daktari anacho fanya ni kutibu tu.
3. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa uponyaji wa mgonjwa si tegemezi katika Dawa.

Kumbe ndio maana tuna kuwa na vifo ingawa mgonjwa amepewa dawa. Uponyaji sasa unaanza kuonekana sio kutoka kwa madaktari wanao toa treatment na au kunywa dawa but upo kwa mwengine ambaye haonekani.

Tunaweza kuweka two cases za heart transplant na cha kushangaza.

1. Wote wanaweza kupona.
2. Wote wanaweza kuto kupona
3. Mmoja anaweza kupona

Ndio maana science bado inabakia tegemezi kwa asiye onekana.
 
Hapana hii sio ligi ya kuonyeshana nani zaidi, ni hali ya kueleweshana mambo, CYBERTEQ ameanzisha mada yaani yeye ndio mwenye mada ila hilo swali limempiga chenga, ukitaka kuona ninachokwambia nenda jukwaa la dini uone Free ideas ameanzisha mada ya kwamba Yesu hakuwahi kuwepo kaangalie anavyojenga hoja unaweza ukashangaa, sasa kwa swali kama hili tukaonelea atleast wewe unaweza ukalijibu, lakini hao wenzako ni vichekesho...

swali lipi? swali la huyo kijana hapo juu? Nimesema hivi, labda tuanzishe darasa la bayolojia na kemia ili kuangalia scenario za probability ya dawa kuwa effective kwa kutibu ugonjwa ulio katika hatua mbalimbali! Kama wewe leo umeugua gonorhea, badala ya kwenda hospitali ukaanza kufanya maombi kanisani mpaka ugonjwa ukafika hatua mbaya ndiyo uende hospitali uwezekano wako wa kupona huko sawa na aliyeona dalili na kwenda hospitali kupatiwa tiba emediately! Kuna mambo mengi yanayopelekea ugonjwa kutotibika. Nilimuuliza kijana wako, yeye anaamini anayeponya ni daktari au dawa, jibu lake ndiyo hilo kwamba anaongea na mtoto, kisha akaja inbox anajiita mwanasayansi! Nadhani unaweza kupata picha ni namna gani alijishindia nafasi ya kuingia kwenye ignore list ya mtu fulani, si kazi ndogo!
 
Ha ha ha ha ha huyu ndio Kiranga anacheza na maneno tu. Afadhali yako wewe sio huyo muanzisha mada ni kituko anaulizwa swali anakimbilia kwenye Biblia sijui imefanya nini!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Swali lenyewe, kama lilivyoulizwa kwenye summary hapo juu, halina mantiki.

Utashangaa vipi dawa ikiwa na effect tofauti kwa watu tofauti kwa nyakati tofauti?

Hata kwa mtu mmoja kwa nyakati tofauti haina mantiki kushangaa dawa kuwa na matokeo tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha huyu ndio Kiranga anacheza na maneno tu. Afadhali yako wewe sio huyo muanzisha mada ni kituko anaulizwa swali anakimbilia kwenye Biblia sijui imefanya nini!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Hebu ongea kwa mifano hapo tuone!
 
Inawezekana hata hujui mada yako inahusu nini

Uliposema "sayansi" hukujua kuwa kuna uhusiano na baiolojia na kemia?

Masuala ya "upako" yanatoka wapi?

Halafu wewe na yule mwenzako mnakuwa kama mlikuwa ni waumini wa yule mungu aliyeko kule mashariki ya kati kule kwenye mafuta mengi,maana hoja zenu zinataka kufanana na hao jamaa!
kumbe kuna mungu ambaye yuko mashariki ya kati. Hebu tupatie anuani yake tukamtembelee basi.
 
swali lipi? swali la huyo kijana hapo juu? Nimesema hivi, labda tuanzishe darasa la bayolojia na kemia ili kuangalia scenario za probability ya dawa kuwa effective kwa kutibu ugonjwa ulio katika hatua mbalimbali!
Lakini jamaa yeye hakuongelea ugonjwa ukiwa katika hatua mbalimbali, wewe hayo umetoa wapi?
Kama wewe leo umeugua gonorhea, badala ya kwenda hospitali ukaanza kufanya maombi kanisani mpaka ugonjwa ukafika hatua mbaya ndiyo uende hospitali uwezekano wako wa kupona huko sawa na aliyeona dalili na kwenda hospitali kupatiwa tiba emediately!
jamaa hapo aliongelea wagonjwa wawili katika case moja hayo mambo ya maombi na kwenda kanisani hayakuwepo kwenye swali, wewe umeyatolea wapi?
Kuna mambo mengi yanayopelekea ugonjwa kutotibika. Nilimuuliza kijana wako, yeye anaamini anayeponya ni daktari au dawa, jibu lake ndiyo hilo kwamba anaongea na mtoto,
Lakini jamaa katika swali lake hakuweka condition, wewe ulipewa swali ukashindwa kujibu ukaanza kuja na concept ambazo hazipo hata kwenye swali, licha ya hivyo jamaa ametoa jibu hapa chini je unakubaliana nae? check hapa chini
There are so many of such cases and in fact, wakati mwingine anaye fariki ni mwenye afadhali.
1. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubaliana nami kuwa Dawa sio inayo ponya.
2. Kutokana na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa Daktari anacho fanya ni kutibu tu.
3. Kutoka na jibu lako hapo juu, linakubali kuwa uponyaji wa mgonjwa si tegemezi katika Dawa.

Kumbe ndio maana tuna kuwa na vifo ingawa mgonjwa amepewa dawa. Uponyaji sasa unaanza kuonekana sio kutoka kwa madaktari wanao toa treatment na au kunywa dawa but upo kwa mwengine ambaye haonekani.

Tunaweza kuweka two cases za heart transplant na cha kushangaza.

1. Wote wanaweza kupona.
2. Wote wanaweza kuto kupona
3. Mmoja anaweza kupona

Ndio maana science bado inabakia tegemezi kwa asiye onekana.

kisha akaja inbox anajiita mwanasayansi! Nadhani unaweza kupata picha ni namna gani alijishindia nafasi ya kuingia kwenye ignore list ya mtu fulani, si kazi ndogo!
kwa hiyo kwa maana hiyo na wewe unatuambia unataka umweke ignore list? sasa hizo sababu zenu yaani mkishindwa kujadiliana na mtu mnamtupia ignore list!? kweli!? Halafu tutaamini vipi kama amekufuta inbox, licha ya hivyo kama amekwambia yeye ni mwana sayansi inabidi sasa mjadili kwa hoja mi nilidhani amekufuta inbox kukutukana kumbe hapana!
 
Kwa sababu siwezi kuona vichwani mwa watu.
That is why unatumia elimu kutafuta findings.

Na kukataa assumption ni kukataa kuanza kufikiri.
Sio kweli. Kufikiri hakuitaji assumptions.

Suala si kukataa assumption, ni kukataa illogical assumption.
The case is the same. Two individuals from the same region of the same age. Wote wanaumwa ugonjwa unao fanana, lakini mmoja anakufa.

Wewe ukishaanza kupanga mambo ya kesho tu ushatumia assumption, kwamba hutakufa usiku usingizini na jua halitalipuka na kuunguza dunia yote.
Kesho isiyo julikana sio assumption. NI FAITH ndio unayo tumia. Unless ukiri kuwa FAITH ndio ASSUMPTION.
 
Swali lenyewe, kama lilivyoulizwa kwenye summary hapo juu, halina mantiki.
Halina mantiki kivipi? kwasababu mantiki iliyopo kwamba dawa ndio inayoponyesha sasa ukaja huo mfano, au ulitaka mantiki iweje?
Utashangaa vipi dawa ikiwa na effect tofauti kwa watu tofauti kwa nyakati tofauti?
Katika swali, haikuonyesha vipindi tofauti, sasa inabidi utoe sababu kwanini dawa isiwe na efect sawa, ndio maana mtu hapo anashangaa sasa inabidi uonyeshe haitakiwi kushangaa
Hata kwa mtu mmoja kwa nyakati tofauti haina mantiki kushangaa dawa kuwa na matokeo tofauti.
kwanini isiwe na mantiki?
 
Back
Top Bottom