Complete heart transplant; rethink your faith!

How can Satan be unlimited? A creation will never be unlimited. It seems you don't get it Free ideas.

Can you show me the operations of Satan.

Jifunze "Who is God and why did he create mankind" Ukisha fahamu, then utakuwa umesha jijibu maswali yako yanayo onyesha kuwa, huna elimu kuhusu Mungu zaidi ya mabishano ya ligi.

I mean, how can you say and or ask is Satan is unlimited? Does Satan exist? Free ideas, can you prove to me that Satan does exist? Please, usianze kuchoonoa usivyo viweza.

Hapo kwenye bold ni kwamba hawa ndugu nilishawaambia hilo long ago lakini bahati mbaya hawakunielewa na sijui kama watakuelewa sasa!
 
Wanapo kuja kudebate, itabidi waelewe Mkuu. Unafanya debate na mwelewa na sio mwanafunzi. Halafu, kuto kuelewa kwao, hakuto badilisha mwenendo wa debate. Mwenendo wa debate Utabakia pale pale mpaka waje na jibu. That is how it works.

Ndio maana yule mwengine nimemkubusha majibu yake, sasa kaamua kutoweka. That is sad and shame.
 
How can Satan be unlimited? A creation will never be unlimited. It seems you don't get it Free ideas.

Can you show me the operations of Satan.

Jifunze "Who is God and why did he create mankind" Ukisha fahamu, then utakuwa umesha jijibu maswali yako yanayo onyesha kuwa, huna elimu kuhusu Mungu zaidi ya mabishano ya ligi.

I mean, how can you say and or ask is Satan is unlimited? Does Satan exist? Free ideas, can you prove to me that Satan does exist? Please, usianze kuchoonoa usivyo viweza.

Kwa nn nijifunze,""who is god""?,Mungu (kama yupo) hahitaji kujifunza tungemjua tangu alipotuumba kusingekuwa na haja ya kujifunza.Kwa sababu hayupo na hakutuumba ndo mana inabidi tujifunze kuhusu mungu,huu ndo nilikwambia ni uoga.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nn nijifunze,""who is god""?,Mungu (kama yupo) hahitaji kujifunza tungemjua tangu alipotuumba kusingekuwa na haja ya kujifunza.Kwa sababu hayupo na hakutuumba ndo mana inabidi tujifunze kuhusu mungu,huu ndo nilikwambia ni uoga.

Then don't ask something you don't want to learn. SI NDIO MAANA NASEMA SIPO HAPA KWENYE LIGI KAMA WEWE NA NDUZU ZAKO wanao tumia IGNORE BUTTON .

SASA JIBU HAYA MASWALI UNAYO YAKIMBIA "IN RED"

How can Satan be unlimited? A creation will never be unlimited. It seems you don't get it Free ideas.

Can you show me the operations of Satan?

Jifunze "Who is God and why did he create mankind" Ukisha fahamu, then utakuwa umesha jijibu maswali yako yanayo onyesha kuwa, huna elimu kuhusu Mungu zaidi ya mabishano ya ligi.

I mean, how can you say and or ask is Satan is unlimited? Does Satan exist? Free ideas, can you prove to me that Satan does exist? Please, usianze kuchokonoa usivyo viweza.
 
Wanapo kuja kudebate, itabidi waelewe Mkuu. Unafanya debate na mwelewa na sio mwanafunzi. Halafu, kuto kuelewa kwao, hakuto badilisha mwenendo wa debate. Mwenendo wa debate Utabakia pale pale mpaka waje na jibu. That is how it works.

Ndio maana yule mwengine nimemkubusha majibu yake, sasa kaamua kutoweka. That is sad and shame.

Ngoja tuwaone .....!!!
 
Then don't ask something you don't want to learn. SI NDIO MAANA NASEMA SIPO HAPA KWENYE LIGI KAMA WEWE NA NDUZU ZAKO wanao tumia IGNORE BUTTON .

SASA JIBU HAYA MASWALI UNAYO YAKIMBIA "IN RED"

How can Satan be unlimited? A creation will never be unlimited. It seems you don't get it Free ideas.

Can you show me the operations of Satan?

Jifunze "Who is God and why did he create mankind" Ukisha fahamu, then utakuwa umesha jijibu maswali yako yanayo onyesha kuwa, huna elimu kuhusu Mungu zaidi ya mabishano ya ligi.

I mean, how can you say and or ask is Satan is unlimited? Does Satan exist? Free ideas, can you prove to me that Satan does exist? Please, usianze kuchokonoa usivyo viweza.

Kwa nn unaniuliza maswali ambayo unatakiwa ujibu wewe?.Wewe ulisema mungu ni Unlimited!.Nikauuliza kama shetani pia ni Unlimited ?.Sasa cha ajabu maswali hayo unataka mi ndo nikujibu tena?.
Huu mchezo wa kukwepa maswali huna budi kuuacha.
 
Umeuliza MAKOSA. Ndio maana inakubidi ulete ushaidi wa makosa yako. Hivi unaelewa nini umesema na uliza?

FYI: Sipo tayari kujibu MAKOSA na wala sina muda wa KUJIBU MAKOSA. Sasa saidia Makosa yako ili ujibiwe. Si ndio maana nilikwambia wee huwa hujibu maswali, niambie wapi nilikosea katika usemi wangu huo.

ZAIDI YA HAPO, nilisha kujibu katika post number 178. Rudi kule kaisome tena. HALAFU JIBU MASWALI UNAYO YAKIMBIA.
How can Satan be unlimited? A creation will never be unlimited. It seems you don't get it Free ideas.

Can you show me the operations of Satan?

Jifunze "Who is God and why did he create mankind" Ukisha fahamu, then utakuwa umesha jijibu maswali yako yanayo onyesha kuwa, huna elimu kuhusu Mungu zaidi ya mabishano ya ligi.

I mean, how can you say and or ask is Satan is unlimited? Does Satan exist? Free ideas, can you prove to me that Satan does exist? Please, usianze kuchokonoa usivyo viweza.
 
Umeuliza MAKOSA. Ndio maana inakubidi ulete ushaidi wa makosa yako. Hivi unaelewa nini umesema na uliza?

FYI: Sipo tayari kujibu MAKOSA na wala sina muda wa KUJIBU MAKOSA. Sasa saidia Makosa yako ili ujibiwe. Si ndio maana nilikwambia wee huwa hujibu maswali, niambie wapi nilikosea katika usemi wangu huo.

ZAIDI YA HAPO, nilisha kujibu katika post number 178. Rudi kule kaisome tena. HALAFU JIBU MASWALI UNAYO YAKIMBIA.

Unayaona makosa kwa sababu huwezi kuyajibu.Kwangu mimi sio makosa ni maswali usilazimishe niulize unachokijua .
 
Kwa nini mungu hakulidaka lile kombora la BUK lililoitungua ndege ya Malaysia kule Donetsk, Ukraine?

Inasemekana kuna watoto 80 na kitu walikuwemo kwenye hiyo ndege na wote wamekufa.
 
sasa kinachokuuma nini hapo... acha washukuru wanapotaka, kwani dokta hua hashukuriwi?
u r an atheist, respect wenye faith yao haikupunguzii kitu.. u must be clever enough kujua kuhusu human behavior, na moja ya kitu vinadamu wanachostick ni hope, hope ya something beyond them.. whether its a lie or true let them be.. unawezajifanya u r better in understanding kile cha darasani ila that doesnt take u from group ya wajinga, kila mtu ni mjinga hamna mwenye knowledge ya everything
 
Where is he? Is he a man?
He should be in Makkah!!! Is Allah a male or a female?

Sijatupa makombora yoyote mimi.
Wale wenye jina lako si ndio ndugu zako katika Jibril. Sasa unapinga nini nikisema umetupa Makombora. Mbona hujayazungumzia Makombora ya Al shabaab yalio uwa watoto Kenya? Mbona huyasemi MAUAJI YA Syria?
 
Is Allah a male or a female.

I haven't a clue! Never met him/her before.

Wale wenye jina lako si ndio ndugu zako katika Jibril. Sasa unapinga nini nikisema umetupa Makombora. Mbona hujayazungumzia Makombora ya Al shabaab yalio uwa watoto Kenya? Mbona huyasemi MAUAJI YA Syria?

Say what?
 
Back
Top Bottom