WilliK10
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 601
- 283
Anajengea airport kwaoKodi muhimu.....Magufuli kwenye hilo hawezi hata kupepesa macho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajengea airport kwaoKodi muhimu.....Magufuli kwenye hilo hawezi hata kupepesa macho!
You will buy from whoever you please. No one is forcing you to buy from .ke. Kuna taarifa hapo juu inayosema kwamba unaweza kupata grader ya Libbherr (sp) kwa shillingi za Kenya 13m or buy it from Germany for 20m. The choice is yours.And what will happen if we will not purchase those fabricated car's from your country?
Huu ni wizi wa mchana kweupeee . . , na unafanywa na Serikali dhidi ya wana wa nchi . .
How about we do the same types of manufacturing from other trademarks? Do you agree it will suit your 50/50 wivu?You will buy from whoever you please. No one is forcing you to buy from .ke. Kuna taarifa hapo juu inayosema kwamba unaweza kupata grader ya Libbherr (sp) kwa shillingi za Kenya 13m or buy it from Germany for 20m. The choice is yours.
Thankfully, Kenyans rarely allow wivu to cloud their judgement like this. Decisions are taken based on merit or financial impact. If you would rather spend asilimia 50 zaidi kwa sababu ya wivu/chuki then you are most welcome. Its little wonder investors go elsewhere.
Mkuu una akiba ya million 7?mtoa mada sahau viwanda nchi hii, Viwanda alivyofanikisha Magufuli ni vya kwenye Magazeti, Majukwaa na kwenye Hotuba mfano kama ile ya mama Samia Suluhu juzi kati...Statistics kibaaaao, oooh, mara Tanzania imefikia lengo la viwanda kwa 7.1%....kama kuna mtu hata aliye hukohuko serikalini, naomba anipeleke kwenye hata Kiwanda kimoja kilichojengwa na Serikali ya Magufuli, nionane na wafanya kazi, aki nitampa 5 Million cash.
Serikali iko busy kuifanya CCM ndio serikali...Rais yuko busy kusamehe watu kwa kutompigia kura...Wakuu wa mikoa wako busy kuramba rambi rambi...Wabunge wako busy kususia kuwawekea dhamana Mameya wao wakiitega kusubiri Polisi itawashtaki vipi!!....
JAMANI...Tanzania ya viwanda ni wewe na mkeo na watoto wako, full stop.
acha ukuma kweny Uzi wa wanaumeAkili zako na baba yako mmefungua kiwanda gani zaidi ya kutopea kwenye umasikini.
That is the truthBack in the 90's Kenya used be the power house for motor assembly in EA, 2nd hand cars imports is what killed the industry but I can see we are slowly getting back on our feet. Welcome Volvo.
acha ukuma kweny Uzi wa wanaume
Watauza kwingineAnd what will happen if we will not purchase those fabricated car's from your country?
Halafu na nyie acheni uchoyo, kwa kuwa tumezubaa ndio mturushe tuu. Tuna chuma kingi sana na copper mje mnunue chasis Dar es Salaam na makaa ya mawe with clear deal.You will buy from whoever you please. No one is forcing you to buy from .ke. Kuna taarifa hapo juu inayosema kwamba unaweza kupata grader ya Libbherr (sp) kwa shillingi za Kenya 13m or buy it from Germany for 20m. The choice is yours.
Thankfully, Kenyans rarely allow wivu to cloud their judgement like this. Decisions are taken based on merit or financial impact. If you would rather spend asilimia 50 zaidi kwa sababu ya wivu/chuki then you are most welcome. Its little wonder investors go elsewhere.
Hapo kweli KIDUNUNDU. A fair, market price deal which is a win win for both parties is the way to go. Shida ni kwamba wabongo wengine hufikiri a win win deal is actually them losing sababu ni wao wenye mali ghafi.Halafu na nyie acheni uchoyo, kwa kuwa tumezubaa ndio mturushe tuu. Tuna chuma kingi sana na copper mje mnunue chasis Dar es Salaam na makaa ya mawe with clear deal.
**** wwUkuma anao baba yako na ukoo wenu wote uliotopea kwenye ufukara.
Major problem how? That seems to be Narrow think, Purchase of Brand New Cars is about purchasing power, and not much about substitute.Someone told me Tanzania and Uganda one can import a car past 8 years old, if it's true that's a major problem.
so make me understand, how will small start ups survive before their big breaks?, did you know in kenya you can own a company and file nil returns?
But just the other day I heard the CAG complain about a loss-making company that has never paid any taxes yet they haven't closed shop. I think though the law might be in place there is not much happening in terms of implementation.
It does when you are required to put party's interests above anything.Ukada wa chama haukupotezei sifa wala haupunguzi ufanisi wa mtu. Karibia watu wote ni makada kwa namna moja amaa nyingine.
kwa mawazo yangu nadhani viwanda vingi uwaangalia awareness ya market ilivyo,target market,kipato cha watu, na currency value.Wapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki.
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Peugeot, Ashok Leyland, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
Reading
1. Volvo Expands Truck Building Into Fast-Growing East Africa
2. French Automaker Peugeot To Assemble Cars In Kenya
3. Volkswagen targets East Africa with Kenya car assembly plant
4. India’s Ashok to set up assembly plant in Kenya
5. Italian automaker makes comeback with Sh2.3b assembly plant