Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Mkuu mbona unasimulia hiyo story kama ulikuwepo?
 
Maishani mwangu nimekua na uhusiano na mume wa mtu ila sikupanga itokee. Katika kumfariji nikajikuta nimeshateleza. Tuligundua kosa na hatukuendelea.
Sio kuteleza hizo ndo mbinu zenyewe hapo uligongwa wewe..ila jamaa alikuwa anajua kbs atakugonga hivyo ndo wanaume wajanja tunavyofanya kwa wanawake wa mjini ...unatombwa km bahati mbaya vile kumbe ndo ushagongwa hivyo
 
Nilikuwa nimejizuia kuandika chochote Lakini sasa ngoja nifunguke tu.Mwaka 1997 nikiwa mfanyakazi wa VIRIAN (T)LTD,wilaya ya maswa.Jamaa zangu walisambaza taarifa pale kijijini kuwa Mimi ni hanithi.
Mama mmoja akajitolea kuja kuniuliza Siku moja......eti nasikia wee Emma ni hanithi,hivi ni kweli?Nikashangaa,mpaka nikashindwa cha kumjibu yule mama.Baada ya muda nikamuuliza ......kwa nini inaniuliza hivyo? Akajibu ....nataka tu kujua!.Nikamweleza....kama unataka kujua basi njoo kesho nitakujibu.Akasema sawa.Niliporudi home Siku hiyo nikawasimulia jamaa zangu,wakacheka sana!Nikagundua kwa vyovyote vile zile taarifa kuwa Mimi ni hanithi walizitoa wao!.
Nikawaabia jamaa zangu .....nyie mnachukua mademu kila siku Mimi nimetulia tu mnadhani Mimi siwezi? Kama mnataka kujua kuwa Mimi ni mzima nitawaonyesha!nitamfanya mke wa mwenye nyumba aliyetupangisha!Wakanicheka ,wakadai siwezi.
Kesho yake yule mama aliyenihoji akaja kweli.Nikamwambia njia pekee ya kukuthibitishia kuwa Mimi si hanithi ni kukut...mba tu! Akasema,ooh Mimi ni mke wa mtu! Nikamuuliza.....kama ni mke wa mtu umekuja kufanya nini? Yule mama alikuwa hakidhi vigezo vyangu,hivyo nilimuacha akaenda zake.
Nikaanza kumtongoza mke wa mwenye nyumba,akakubali!.Siku ya kumfanya, alikuja saaa 12 asubuhi ghetto,jamaa zangu walikuwa bado wapo chumbani.Iliwalazimu kuondoka kuniachia ghetto ,na nikawa nimezima tetesi walizokuwa wakiniteta.
 
Hatari sana..[emoji38]
 
kwani ulimpa papuchi
 
Duuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubinadam [emoji23][emoji23]
 
mimi kwangu naishi mwenyewe....nyumba ninayokaa ni wake za watu na madada...ila zaidi ya salamu hakuna kingine...uso wa mbuzi maana ukiwazoea hawa viumbe ni shida baadae...unaweza toka nje ukakuta wamejaa ukumbini km wanakungoja vile hua cpendi ujinga nao kabisa sasa utasikia kaka yule anaringa kweli kumbe mimi naepusha mengi sn kwao.
 
Pole kwa kuingia mtegoni ila kama ulikula kavu kavu cheki afya mkuu.
 
Sio tabia nzuri.
Usizini
Usitamani mke/mume asiye wako.
Heshimu ndoa yako.
Tusitafute visababu. Mke wa MTU ni sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…