Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ukishaonja Nyama ya mtu ni ngumu sana KUCHEZA nayo mbali. Once a MCHAWI ALWAYS a MCHAWI. Rudi tu ukaendelee kuwadhuru binadamu wenzio ambao hawakukosea lolote. SAD!
Nyama ya binadam ni tamu sana ndo maana tunakazwa tusionje, hata Simba huko porin akionja nyama ya binadam huwa anatafutwa Hadi auwawe hata wawe Simba 10 Ni lazma wauwawe ukionja nyama ya binadam huwez kuacha.
 
Reactions: BAK
Kisu kimegusa mfupa[emoji86]
Wapi! Sema tu sipendagi kushiriki dhambi za watu..🤣
Nachofanya ni kukusutiri tu leo umeshinda ila namwambia asilolijua ni sawa na usiku wa kiza! Ati umkatae kenzy umkubali mshana ni sawa na kuruka Moto wa mkaa then ukakanyaga moto wa gesi..😅
 

Wewe nimetetewa acha wivuu
 
Sio kuwa pesa imekata mzee baba, unatafuta wa kuwashika masikio?
 
Mkuu Mshana Jr kitu gani kilikudrive ukaingia kwenye ulozi? Ulirithi Au kitu gani kilikuvutia ukazama ulozini?
 
Igweeeeee... Welcome back... The Champ!
 
Nonsense at its best
 
My Brother Mshana Jr mimi ni shabiki wako lakini si kwa sababu ya mambo yako ya Kilozi bali ni kwa ajili ya uwezo wako.

Kimsingi KUNA AINA MBILI ZA SPIRITUALITY na wewe utakuwa unajua.

Primitive Spirituality Vsv Enlightened Spirituality.

Ulozi ni Primitive Spirituality-Achana na hizo mambo.

Holy Spirit IS REAL.

Ebu soma vitabu vya BEN HINN.

SOMA VITABU VYA DEEPACK CHOPRA.

DESMOND TUTU.

Conversation With God book one mpk 3.

Katekisimu ya Kikatoliki-Kitabu cha awali kabisa..

Then izo nguvu za kichawi zitageukia upande wa FAIDA.

YOU ARE SO MUCH INFORMED.
 
Mkuu; Jiandae. Adhabu ya Utoro inakuhusu kama hukumuaga mzeemaarufu siku ile unaondoka.
 
MSHANA JR

Toka nimejiunga hapa JF nimekuwa nikisumbuliwa Kiroho sana juu yako, Lakini sikuwai kupata nafasi ya kufunuliwa chochote juu yako.. ILA LEO NIMEPATA MWANGA.

Nianze tu kukuuliza, Je, ULIPOKUWA UPANDE WA GIZA (Kama unavyosema mwenyewe) Ulikuwa hupati majaribu ya kiroho au kimwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…