Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SitakiiHujaelewa komenti Soma vizuri humu jf hakuna Uzi wa hivyo natumia codes mama..😊
Jidanganye utalimishwa hadi uone motoDawa ya wachawi pombe tu na kitimoto. Hawasogei nyumbani kwako. Kula mdudu nyumbani baadhi ya mifupa weka karibu na kwako umemaliza kazi
Nyama ya binadam ni tamu sana ndo maana tunakazwa tusionje, hata Simba huko porin akionja nyama ya binadam huwa anatafutwa Hadi auwawe hata wawe Simba 10 Ni lazma wauwawe ukionja nyama ya binadam huwez kuacha.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ukishaonja Nyama ya mtu ni ngumu sana KUCHEZA nayo mbali. Once a MCHAWI ALWAYS a MCHAWI. Rudi tu ukaendelee kuwadhuru binadamu wenzio ambao hawakukosea lolote. SAD!
Wapi! Sema tu sipendagi kushiriki dhambi za watu..🤣Kisu kimegusa mfupa[emoji86]
Watu mliorogwa kwani huwa mnaelewa basi! Ngoja tunguli ziishe nguvu utanitafuta tu..😂Sitakii
Wapi! Sema tu sipendagi kushiriki dhambi za watu..[emoji1787]
Nachofanya ni kukusutiri tu leo umeshinda ila namwambia asilolijua ni sawa na usiku wa kiza! Ati umkatae kenzy umkubali mshana ni sawa na kuruka Moto wa mkaa then ukakanyaga moto wa gesi..[emoji28]
Ninalakusema basi haya heko kwa aliekutetea dunia duara hii..😅Wewe nimetetewa acha wivuu
Igweeeeee... Welcome back... The Champ!Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima.. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo.. Na nikapata amani kubwa moyoni
Naamini nanyi ni mashuhuda wa hili kwakuwa nilipunguza mada za ushirikina kwa asilimia 80 ama 90 hivi.... Na kila nilichomiliki chenye viashiria na viasili vya ushirikina ama niligawa au niliviharibu na kuviteketeza kwa moto kwa mikono yangu mwenyewe! Nilihakikisha naishi maisha ya ukamilifu na usafi wa kiroho
LAKINI wapendwa shetani ana nguvu sana sana... Unapokuwa umevaa koti jeupe la mshika dini na asiyependa mambo ya ulozo lakini ndani u mchafu kupitiliza wala sheatani hawezi kukusumbua kabisa lakini once unapomkataa kwa roho na kweli ...VITA HUANZIA HAPO! atakujia na washirika wengine SABA kuhakikisha wanakurudisha kwenye himaya yao...!
Juzi kati nilikuwa maeneo ya mikwambe Kigamboni kibada mpaka saa tatu usiku hivi wakati naondoka nikagundua kuna watu walikuwa wameniungia body na nilienda nao mpaka Tuangoma halafu wakapotea kusikojulikana
Tangu hapo nimejiwa na msisimko wa ajabu kabisa ... Msisimko wa kutafuta zile nguvu za giza tena.. Najitambua kiimani na kiroho niko vizuri mno.. Lakini sasa naona viashiria vya kunirudisha kilingeni vinazidi kupata nguvu kila uchao!
Tafadhalini naomba msije mkanishangaa in case mkisikia nimerudi Msata Kilingeni penye shina langu.. Lakini pia ukiweza na ukipenda kwa utashi wako pls niombee.. Kuna shida nyingi huko vilingeni basi tuuu[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Nonsense at its bestNiliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima.. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo.. Na nikapata amani kubwa moyoni
Naamini nanyi ni mashuhuda wa hili kwakuwa nilipunguza mada za ushirikina kwa asilimia 80 ama 90 hivi.... Na kila nilichomiliki chenye viashiria na viasili vya ushirikina ama niligawa au niliviharibu na kuviteketeza kwa moto kwa mikono yangu mwenyewe! Nilihakikisha naishi maisha ya ukamilifu na usafi wa kiroho
LAKINI wapendwa shetani ana nguvu sana sana... Unapokuwa umevaa koti jeupe la mshika dini na asiyependa mambo ya ulozo lakini ndani u mchafu kupitiliza wala sheatani hawezi kukusumbua kabisa lakini once unapomkataa kwa roho na kweli ...VITA HUANZIA HAPO! atakujia na washirika wengine SABA kuhakikisha wanakurudisha kwenye himaya yao...!
Juzi kati nilikuwa maeneo ya mikwambe Kigamboni kibada mpaka saa tatu usiku hivi wakati naondoka nikagundua kuna watu walikuwa wameniungia body na nilienda nao mpaka Tuangoma halafu wakapotea kusikojulikana
Tangu hapo nimejiwa na msisimko wa ajabu kabisa ... Msisimko wa kutafuta zile nguvu za giza tena.. Najitambua kiimani na kiroho niko vizuri mno.. Lakini sasa naona viashiria vya kunirudisha kilingeni vinazidi kupata nguvu kila uchao!
Tafadhalini naomba msije mkanishangaa in case mkisikia nimerudi Msata Kilingeni penye shina langu.. Lakini pia ukiweza na ukipenda kwa utashi wako pls niombee.. Kuna shida nyingi huko vilingeni basi tuuu[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
My Brother Mshana Jr mimi ni shabiki wako lakini si kwa sababu ya mambo yako ya Kilozi bali ni kwa ajili ya uwezo wako.Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima.. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo.. Na nikapata amani kubwa moyoni
Naamini nanyi ni mashuhuda wa hili kwakuwa nilipunguza mada za ushirikina kwa asilimia 80 ama 90 hivi.... Na kila nilichomiliki chenye viashiria na viasili vya ushirikina ama niligawa au niliviharibu na kuviteketeza kwa moto kwa mikono yangu mwenyewe! Nilihakikisha naishi maisha ya ukamilifu na usafi wa kiroho
LAKINI wapendwa shetani ana nguvu sana sana... Unapokuwa umevaa koti jeupe la mshika dini na asiyependa mambo ya ulozo lakini ndani u mchafu kupitiliza wala sheatani hawezi kukusumbua kabisa lakini once unapomkataa kwa roho na kweli ...VITA HUANZIA HAPO! atakujia na washirika wengine SABA kuhakikisha wanakurudisha kwenye himaya yao...!
Juzi kati nilikuwa maeneo ya mikwambe Kigamboni kibada mpaka saa tatu usiku hivi wakati naondoka nikagundua kuna watu walikuwa wameniungia body na nilienda nao mpaka Tuangoma halafu wakapotea kusikojulikana
Tangu hapo nimejiwa na msisimko wa ajabu kabisa ... Msisimko wa kutafuta zile nguvu za giza tena.. Najitambua kiimani na kiroho niko vizuri mno.. Lakini sasa naona viashiria vya kunirudisha kilingeni vinazidi kupata nguvu kila uchao!
Tafadhalini naomba msije mkanishangaa in case mkisikia nimerudi Msata Kilingeni penye shina langu.. Lakini pia ukiweza na ukipenda kwa utashi wako pls niombee.. Kuna shida nyingi huko vilingeni basi tuuu[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Mkuu; Jiandae. Adhabu ya Utoro inakuhusu kama hukumuaga mzeemaarufu siku ile unaondoka.Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima.. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo.. Na nikapata amani kubwa moyoni