Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Magufuli alikuja kurekebisha makosa ina maana hakuwaona hawa mafisadi?2008 Mpaka 2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alikuja kurekebisha makosa ina maana hakuwaona hawa mafisadi?2008 Mpaka 2015
Majina ya maafisa hao!?Waseme yote tujuane vizuri
Ndio hivo majina yatakuja tu ishamwagika hioMajina ya maafisa hao!?
2008-2015Chadema wanatafuta sababu ili huu mzigo umuangukie JPM
Alikuwa anawanyosha si mlisema dikteka tutapelekwa MIGA, au ukuwa kusikia akisema majizi yapo kule?Magufuli alikuja kurekebisha makosa ina maana hakuwaona hawa mafisadi?
Rudi pale juuHizo emails zipo wapi?
Angalia details za miaka iliyotajwa bhana.Tafadhali Acha kumuaibisha magufuli hii ni skendo kubwa sanaa. Marehemu aachwe apumzike
Na ndio maana wakisikia katiba mpya wanatamani kuuwa watu wanaohitaji hiyo katiba, kumbe kuna mrija wa asali huko kwao kuanzia polisi, jeshi na usalama..."NTF inadaiwa kuundwa na maafisa kutoka Jeshi la Polisi, Idara ya Usalama wa Taifa, na Jeshi la Wananchi."
Hakuna sehemu iliyobaki salama kila mtu ni mwizi hakuna hbr ya uzalendo
Umesoma Uzi kweli?Tafadhali Acha kumuaibisha magufuli hii ni skendo kubwa sanaa. Marehemu aachwe apumzike
Tuhuma ni za enzi ya KikweteTafadhali Acha kumuaibisha magufuli hii ni skendo kubwa sanaa. Marehemu aachwe apumzike
Kwenye kuhongwa matofali sio kweli mkuu, hapo umetusokotaMhhh unadhani hongo kwe madini ni haba,zipo nyingi mno wengi huenda huko migodinj na huhongwa matofali ya dhahabu....kazi tunayo!
Amka utoke ndotoni ndotoni mkuu...🤣🤣Tafadhali Acha kumuaibisha magufuli hii ni skendo kubwa sanaa. Marehemu aachwe apumzike