Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho
Kwa sasa Kamati ya Mambo ya Nje ya MAREKAN ya bunge la Senate , INAFANYA UPEMBUZI WA AINA MBALI MBALI ZA VIKWAZO KWA MAJINA YA MMOJA MMOJA.
Yaan kwa sasa wanafanya hivi....
Vikwazo vya Kikwete viweje
Vikwazo vya MAFWELE viweje( huyu Jamaa Hana Bahati)
Vikwazo Abdul viweje
Yaan kwa UFUPI, Kuna ambao Mali zao na Fedha za Nje zitakua Frozen., Hawa mpaka huduma za Mastercard, Viza, na mifumo yote ya kimalipo ya Kimataifa iliyo chini ya US ,Kimewalambaaaaaa !!.
Kuna ambao wenyewe watazuiwa kuingia Ulaya.