William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
You have said like a man! this is real good to me However, in this good post if you will scratch a little bit you will find many things that are not clear. Note that, since I started posting in this thread I have never said we dont need JM because of his father rather his merits and capability to leade people which no one have proved to me
- Sawa sawa, lakini this should apply to all Tanzanians who are seeking to lead, regardless of who are their parents!
- then that experience should lead them to reject watoto wa masikini in our leadership, since it is watoto wa masikini who have been the majority in our leadership's history since our independence, huwezi kusema kwamba Chenge ni mtoto wa a former leader kwa sababu he is not, sasa hizi chuki na hasira kama ni a valid argument then ni watoto wa maskini ndio wenye problem!These some Tanzanians even if are educated and they talk 'foolish' things is because they have experience
- Unachanganya ishus nyingi sana ambazo hazina anything to do na clarification ya hizi chuki against Januari na kugombea, unasema kwenye mchakato wa urais kuna dirty games, mbona kwenye kugombea uenyekiti wa Chadema ziliztokea hizo hizo dirty games, mbona kule US nako Democrats walifanyiana sana dirty games, sasa only dirty games za CCM ndio iwe tatizo kwa Januari kutumia haki yake kikatiba kugombea uongozi?1. Ndiyo kizazi hiki kimekua na kushuhudia viongozi walewale in decades kwa mfano kingunge, n.k 2. ni kizazi kinachoona mambo yanaoendelea ndani ya CCM hasa kwenye machakato wa kumpata rais, kuna dirty politics nyingi na watu wanajua 3. Is the very same generation wanaoona jinsi CCM(bila aibu) wasivyochukua hatua kwa mafisadi 4.Ndiyo generation inayoona viongozi wa CCM wakiwa tunavyowaona leo For sociologist point of view they have a term called "social license" if social will accept you, trust you and believe you then you have done something extraordinary. remember trust is a temporary thing yanayowapata akina makamba Jn ni zile zile chuki ambazo huwezi ukazifuta kwa kuandika post hiyo! rather by real action from CCM, leo ukienda USA, South Africa still zile chuki za races zipo pale pale kwa sababu ya historia.This is how social is no matter they are educated or not JM kutaka kuwa mgombea wa ubunge haina tatizo, nataka kujua huwa wanafanya mchakato gani? mathalan kuna mtu wa tofauti aliyejitokeza mbali ya January, walipitishwa na CCM right, je huo mchakato ulikuwa fair kiasi gani?
- Unasema chuki dhidi ya Januari ni chuki dhidi ya CCM na dawa ni a real action kutoka ndani ya CCM, wooow! mimi nilifikiri solution inatakiwa kutoka nje ya CCM, kwa wale wenye hizo chuki kujiunga na vyama vya upinzani kuwaelmisha wananchi na kuwaondfoa CCM, badala ya kuja huku kupandikzia mbegu za chuki na kuligawa taifa!
- Unasema unataka kujua mchakato ambao wala haujafanyika na wala sio a fact kwamba Januari anagombea si unaona kwa nini hatuelewani mkuu! Ni hivi majuzi tu mtoto wa Warioba ameshindwa kiti cha umeya Dar, sasa kama ni automatic kwa mtoto wa kiongozo akigombea vipi huyu hakuweza?
- Ninakuhakikishia kwa Miungu yangu yote ya dunia kwamba huna evidence ku-back up hii claim, CCM wanayo kamati ya tathmin ya uchaguzi ndio wenye mamlaka makubwa sana katika kupitisha majina ya wagombea, kwa mfano katika uchaguzi wa jimbo la Karatu, Mkapa akiwa Rais alimtaka rafiki yake Quaresi agombee, kinyume na mapendekezo ya hii kamati, akatumia nguvu kumpitisha bila ridhaa ya CCM as chama, guess what happened Quaresi alipigwa bao na wananchi ambao sio wajinga, ambao pia hii kamati ilikuwa tayari imeshawa-consult in advance!FMES hawa watanzania sio wajinga, wanajua kila kinachoendelea ndani ya CCM , watoto wa wakubwa wanapata favour na hizo kamati zinazowapitisha they do so even if they dont like kwa sababu ya influence ya wazazi wao
Kuna cases nyingi wakubwa wakisema fulani agombee hata kama kuna suitable ordinary people ambao wako capable hawapati hizo nafasi,hii ni ndani ya CCM.
- Kwa hiyo muamuzi wa nani awe mbunge badi ni wa wananchi na sio wa CCM, ndio maana jimbo la Ndesamburo CCM wanajua kwamba hawawezi kushinda sasa kwa nini wasipeleke mtoto wa kiongozi wao kule na kuchukua jimbo? Maelezo yako hapo juu hayana ukweli wowote, hakuna kiongozi yoyote wa CCM au upinzani anayeweza kutoa amri tu na mtoto wake akawa mbunge, it is simply misleading statement!
- Again hii another misleading satement, either kwa makusudi au kutokuelewa, kwanza Ngeleja ni mtoto wa kiongozi gani wa CCM? Na hao wazee waliomuomba ni wazee gani? Inawezekana kwamba hii kamati ya tathmini ya CCM ndiyo iliyomuambia kwamba imetafiti na kugundua kua anaweza kushinda, au kamati ya mkoa ya CCM lakini haiwezekani mtu akaombwa tu na wzeee flani akagombee na akshinda there is more to it than you are presenting, Ngeleja alikuwa vodacom kampuni ya Rostam architec wa Mtandao, sasa do I need to say more?Nakumbuka wakati Ngeleja anatuacha vodacom alisema wazee wamemwambia akagombee ubunge na ataupata tu! akaenda akaupata, je hakukuwa na watu suitable ambao watu wa kule wanataka awe kiongozi, usiseme mbona amachaguliwa! there could be another long talk
- Mkuu unajua unanishangaza kitu kimoja, you always believe kwamba unachosema wewe ndio kinachokubalika na wananchi wote, sasa kama haya yote unayosema ni kweli CCM inashindaje chaguzi zake tena kwa kura nyingi sana?FMES you may be clean, good worker lakini chama unachokitetea ni cha mafisadi , na wewe unaingia humo, this is human nature ya kujudge haina elimu ya msingi wala chuo kikuu cha havard.society may judge you unfairly simply because you not in fair gound Makovu ya CCM kwa miaka yote hii hayatafutika hata kama utajaza post. Lakini very same chama kingekuwa kina peform well usingesikia watu wanapiga kelele. remember "social license"
- Hicho chama cha siasa unachokijua Tanzania ambacho ni clean na a role model kwa taifa ni kipi hicho mkuu ambacho ukiwa affiliated nacho unaheshimika na kuwa standing on a clean ground?
- Unaongelea a social license lakini unashindwa kui-define on its both sides of the coin kwamba kama mtoto wa kiongozi mbovu ataishia kuwa mbovu, then kwa nini na mtoto wa masikini asiishie kupeleka tabia za umasikini kwenye uongozi, ni kwa nini hii social licence ina-judge one side tu? Sasa lets say kwamba you have an argument, sasa kwa nini huelewi kwamba ni watoto wa maskini ndio wamelifikisha taifa hapa tulipo na kwamba kama hii social license is working right as a final solution then we should not let them kwenye uongozi!
- Ndio maana ninasema in the end, ni empty debate na haina manufaa yoyote wka taifa letu zaidi tu ya kupandikiza chuki dhidi ya wananchi na taifa kwa ujumla!
Respect.
FMEs!