CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

You have said like a man! this is real good to me However, in this good post if you will scratch a little bit you will find many things that are not clear. Note that, since I started posting in this thread I have never said we dont need JM because of his father rather his merits and capability to leade people which no one have proved to me

- Sawa sawa, lakini this should apply to all Tanzanians who are seeking to lead, regardless of who are their parents!

These some Tanzanians even if are educated and they talk 'foolish' things is because they have experience
- then that experience should lead them to reject watoto wa masikini in our leadership, since it is watoto wa masikini who have been the majority in our leadership's history since our independence, huwezi kusema kwamba Chenge ni mtoto wa a former leader kwa sababu he is not, sasa hizi chuki na hasira kama ni a valid argument then ni watoto wa maskini ndio wenye problem!

1. Ndiyo kizazi hiki kimekua na kushuhudia viongozi walewale in decades kwa mfano kingunge, n.k 2. ni kizazi kinachoona mambo yanaoendelea ndani ya CCM hasa kwenye machakato wa kumpata rais, kuna dirty politics nyingi na watu wanajua 3. Is the very same generation wanaoona jinsi CCM(bila aibu) wasivyochukua hatua kwa mafisadi 4.Ndiyo generation inayoona viongozi wa CCM wakiwa tunavyowaona leo For sociologist point of view they have a term called "social license" if social will accept you, trust you and believe you then you have done something extraordinary. remember trust is a temporary thing yanayowapata akina makamba Jn ni zile zile chuki ambazo huwezi ukazifuta kwa kuandika post hiyo! rather by real action from CCM, leo ukienda USA, South Africa still zile chuki za races zipo pale pale kwa sababu ya historia.This is how social is no matter they are educated or not JM kutaka kuwa mgombea wa ubunge haina tatizo, nataka kujua huwa wanafanya mchakato gani? mathalan kuna mtu wa tofauti aliyejitokeza mbali ya January, walipitishwa na CCM right, je huo mchakato ulikuwa fair kiasi gani?
- Unachanganya ishus nyingi sana ambazo hazina anything to do na clarification ya hizi chuki against Januari na kugombea, unasema kwenye mchakato wa urais kuna dirty games, mbona kwenye kugombea uenyekiti wa Chadema ziliztokea hizo hizo dirty games, mbona kule US nako Democrats walifanyiana sana dirty games, sasa only dirty games za CCM ndio iwe tatizo kwa Januari kutumia haki yake kikatiba kugombea uongozi?

- Unasema chuki dhidi ya Januari ni chuki dhidi ya CCM na dawa ni a real action kutoka ndani ya CCM, wooow! mimi nilifikiri solution inatakiwa kutoka nje ya CCM, kwa wale wenye hizo chuki kujiunga na vyama vya upinzani kuwaelmisha wananchi na kuwaondfoa CCM, badala ya kuja huku kupandikzia mbegu za chuki na kuligawa taifa!

- Unasema unataka kujua mchakato ambao wala haujafanyika na wala sio a fact kwamba Januari anagombea si unaona kwa nini hatuelewani mkuu!
Ni hivi majuzi tu mtoto wa Warioba ameshindwa kiti cha umeya Dar, sasa kama ni automatic kwa mtoto wa kiongozo akigombea vipi huyu hakuweza?

FMES hawa watanzania sio wajinga, wanajua kila kinachoendelea ndani ya CCM , watoto wa wakubwa wanapata favour na hizo kamati zinazowapitisha they do so even if they dont like kwa sababu ya influence ya wazazi wao
Kuna cases nyingi wakubwa wakisema fulani agombee hata kama kuna suitable ordinary people ambao wako capable hawapati hizo nafasi,hii ni ndani ya CCM.
- Ninakuhakikishia kwa Miungu yangu yote ya dunia kwamba huna evidence ku-back up hii claim, CCM wanayo kamati ya tathmin ya uchaguzi ndio wenye mamlaka makubwa sana katika kupitisha majina ya wagombea, kwa mfano katika uchaguzi wa jimbo la Karatu, Mkapa akiwa Rais alimtaka rafiki yake Quaresi agombee, kinyume na mapendekezo ya hii kamati, akatumia nguvu kumpitisha bila ridhaa ya CCM as chama, guess what happened Quaresi alipigwa bao na wananchi ambao sio wajinga, ambao pia hii kamati ilikuwa tayari imeshawa-consult in advance!

- Kwa hiyo muamuzi wa nani awe mbunge badi ni wa wananchi na sio wa CCM, ndio maana jimbo la Ndesamburo CCM wanajua kwamba hawawezi kushinda sasa kwa nini wasipeleke mtoto wa kiongozi wao kule na kuchukua jimbo? Maelezo yako hapo juu hayana ukweli wowote, hakuna kiongozi yoyote wa CCM au upinzani anayeweza kutoa amri tu na mtoto wake akawa mbunge, it is simply misleading statement!

Nakumbuka wakati Ngeleja anatuacha vodacom alisema wazee wamemwambia akagombee ubunge na ataupata tu! akaenda akaupata, je hakukuwa na watu suitable ambao watu wa kule wanataka awe kiongozi, usiseme mbona amachaguliwa! there could be another long talk
- Again hii another misleading satement, either kwa makusudi au kutokuelewa, kwanza Ngeleja ni mtoto wa kiongozi gani wa CCM? Na hao wazee waliomuomba ni wazee gani? Inawezekana kwamba hii kamati ya tathmini ya CCM ndiyo iliyomuambia kwamba imetafiti na kugundua kua anaweza kushinda, au kamati ya mkoa ya CCM lakini haiwezekani mtu akaombwa tu na wzeee flani akagombee na akshinda there is more to it than you are presenting, Ngeleja alikuwa vodacom kampuni ya Rostam architec wa Mtandao, sasa do I need to say more?

FMES you may be clean, good worker lakini chama unachokitetea ni cha mafisadi , na wewe unaingia humo, this is human nature ya kujudge haina elimu ya msingi wala chuo kikuu cha havard.society may judge you unfairly simply because you not in fair gound Makovu ya CCM kwa miaka yote hii hayatafutika hata kama utajaza post. Lakini very same chama kingekuwa kina peform well usingesikia watu wanapiga kelele. remember "social license"
- Mkuu unajua unanishangaza kitu kimoja, you always believe kwamba unachosema wewe ndio kinachokubalika na wananchi wote, sasa kama haya yote unayosema ni kweli CCM inashindaje chaguzi zake tena kwa kura nyingi sana?

- Hicho chama cha siasa unachokijua Tanzania ambacho ni clean na a role model kwa taifa ni kipi hicho mkuu ambacho ukiwa affiliated nacho unaheshimika na kuwa standing on a clean ground?

- Unaongelea a social license lakini unashindwa kui-define on its both sides of the coin kwamba kama mtoto wa kiongozi mbovu ataishia kuwa mbovu, then kwa nini na mtoto wa masikini asiishie kupeleka tabia za umasikini kwenye uongozi, ni kwa nini hii social licence ina-judge one side tu? Sasa lets say kwamba you have an argument, sasa kwa nini huelewi kwamba ni watoto wa maskini ndio wamelifikisha taifa hapa tulipo na kwamba kama hii social license is working right as a final solution then we should not let them kwenye uongozi!

- Ndio maana ninasema in the end, ni empty debate na haina manufaa yoyote wka taifa letu zaidi tu ya kupandikiza chuki dhidi ya wananchi na taifa kwa ujumla!

Respect.

FMEs!
 
Hapo naona umechelewa ku-figure out. Sie wengine tulishastuka kuanzia hapa kuanzia kwenye peji fifti samsin' hivi, tukaipata kwa uzuri hii picha ya kihindi inavoendelea.

😀 😀 😀 😀
What? are guys conspiracy theorist or something? hee hee! Sio ishu babu. Ni mtazamo tu. Imam Abbas put it the best when he said "Ni kipofu hata ukivaa miwani".
 
Calm down brother. Sina nia ya kukunyang'anya tonge mdomoni. 😀
 
so far sijaona argument hata moja kwa nini

a) January ASIGOMBEE

b) January HAFAI KUWA MGOMBEA
 
- Sawa sawa, lakini this should apply to all Tanzanians who are seeking to lead, regardless of who are their parents!

- then that experience should lead them to reject watoto wa masikini in our leadership, since it is watoto wa masikini who have been the majority in our leadership's history since our independence, huwezi kusema kwamba Chenge ni mtoto wa a former leader kwa sababu he is not, sasa hizi chuki na hasira kama ni a valid argument then ni watoto wa maskini ndio wenye problem!

- Unachanganya ishus nyingi sana ambazo hazina anything to do na clarification ya hizi chuki against Januari na kugombea, unasema kwenye mchakato wa urais kuna dirty games, mbona kwenye kugombea uenyekiti wa Chadema ziliztokea hizo hizo dirty games, mbona kule US nako Democrats walifanyiana sana dirty games, sasa only dirty games za CCM ndio iwe tatizo kwa Januari kutumia haki yake kikatiba kugombea uongozi?

- Unasema chuki dhidi ya Januari ni chuki dhidi ya CCM na dawa ni a real action kutoka ndani ya CCM, wooow! mimi nilifikiri solution inatakiwa kutoka nje ya CCM, kwa wale wenye hizo chuki kujiunga na vyama vya upinzani kuwaelmisha wananchi na kuwaondfoa CCM, badala ya kuja huku kupandikzia mbegu za chuki na kuligawa taifa!

- Unasema unataka kujua mchakato ambao wala haujafanyika na wala sio a fact kwamba Januari anagombea si unaona kwa nini hatuelewani mkuu! Ni hivi majuzi tu mtoto wa Warioba ameshindwa kiti cha umeya Dar, sasa kama ni automatic kwa mtoto wa kiongozo akigombea vipi huyu hakuweza?

- Ninakuhakikishia kwa Miungu yangu yote ya dunia kwamba huna evidence ku-back up hii claim, CCM wanayo kamati ya tathmin ya uchaguzi ndio wenye mamlaka makubwa sana katika kupitisha majina ya wagombea, kwa mfano katika uchaguzi wa jimbo la Karatu, Mkapa akiwa Rais alimtaka rafiki yake Quaresi agombee, kinyume na mapendekezo ya hii kamati, akatumia nguvu kumpitisha bila ridhaa ya CCM as chama, guess what happened Quaresi alipigwa bao na wananchi ambao sio wajinga, ambao pia hii kamati ilikuwa tayari imeshawa-consult in advance!

- Kwa hiyo muamuzi wa nani awe mbunge badi ni wa wananchi na sio wa CCM, ndio maana jimbo la Ndesamburo CCM wanajua kwamba hawawezi kushinda sasa kwa nini wasipeleke mtoto wa kiongozi wao kule na kuchukua jimbo? Maelezo yako hapo juu hayana ukweli wowote, hakuna kiongozi yoyote wa CCM au upinzani anayeweza kutoa amri tu na mtoto wake akawa mbunge, it is simply misleading statement!

- Again hii another misleading satement, either kwa makusudi au kutokuelewa, kwanza Ngeleja ni mtoto wa kiongozi gani wa CCM? Na hao wazee waliomuomba ni wazee gani? Inawezekana kwamba hii kamati ya tathmini ya CCM ndiyo iliyomuambia kwamba imetafiti na kugundua kua anaweza kushinda, au kamati ya mkoa ya CCM lakini haiwezekani mtu akaombwa tu na wzeee flani akagombee na akshinda there is more to it than you are presenting, Ngeleja alikuwa vodacom kampuni ya Rostam architec wa Mtandao, sasa do I need to say more?

- Mkuu unajua unanishangaza kitu kimoja, you always believe kwamba unachosema wewe ndio kinachokubalika na wananchi wote, sasa kama haya yote unayosema ni kweli CCM inashindaje chaguzi zake tena kwa kura nyingi sana?

- Hicho chama cha siasa unachokijua Tanzania ambacho ni clean na a role model kwa taifa ni kipi hicho mkuu ambacho ukiwa affiliated nacho unaheshimika na kuwa standing on a clean ground?

- Unaongelea a social license lakini unashindwa kui-define on its both sides of the coin kwamba kama mtoto wa kiongozi mbovu ataishia kuwa mbovu, then kwa nini na mtoto wa masikini asiishie kupeleka tabia za umasikini kwenye uongozi, ni kwa nini hii social licence ina-judge one side tu? Sasa lets say kwamba you have an argument, sasa kwa nini huelewi kwamba ni watoto wa maskini ndio wamelifikisha taifa hapa tulipo na kwamba kama hii social license is working right as a final solution then we should not let them kwenye uongozi!

- Ndio maana ninasema in the end, ni empty debate na haina manufaa yoyote wka taifa letu zaidi tu ya kupandikiza chuki dhidi ya wananchi na taifa kwa ujumla!

Respect.

FMEs!

Mzee naona wewe uko na January Makamba, wengine tunaona kama ni topic ya kusaidiana kwenye mambo mengine mengi.

so leave me out in this thread, kama ulivyosema ni kupoteza muda. I will not gain anything from you,

1. sijasema chama chochote ni role model
2. sijataja uchaguzi wa chadema
3. hakuna sehemu niliyosema watoto wa wakubwa wasigombee!!!
4. hakuna sehemu niliyoashiria mawazo yangu ni sahihi!

hata chaema nao wananipiga mawe nikiwagusa kidogo tu, ntumaini forums ni sehemu ya kujadili mambo bila kujali itikadi za vyama vya watu hao. hapo utaona vitu clearly!

nimeeleza swala la chuki hujalijibu, chuki hazipandikizwi Tanzania, chuki zipo na zitakuwepo, hata kama tukijifanya vipofu, haiwezekani chenge aweke mamilioni ulaya halafu watoto wa chenge wachekewe tu! nimegusia hili ndugu yangu umefunika! matabaka haya yapo na hayaanzii kwa JM! yapo

sijasema walio CCM wajinga au wapumbavu, la kama mtu anaona anaweza akatimiza malengo yake akiwa CCM ni vizuri na ndiyo hypothesis ikazaliwa kulingana na historia!

Umenichekesha kuhusu kimbilio lako la kuwa mbona CCM wanashinda! tena kwa kishindo! imenibidi nicheke usirudie tena kusema hivi kwa wengine. CCM wanashinda wapi? nani anawapa kura? na huko wanakoshindwa inakuwaje? kwa nini wanashindwa?

asante it was great to discuss with you
 
Good education from Mkuu selemani na Webby............

Mkuu selemani asante sana kwa hii kauli hapa................
..............Imam Abbas put it the best when he said "Ni kipofu hata ukivaa miwani".

......tena wanabadilisha mara iwe miwani ya "gold" nk nk....aisee!!
 
Mzee naona wewe uko na January Makamba, wengine tunaona kama ni topic ya kusaidiana kwenye mambo mengine mengi. so leave me out in this thread, kama ulivyosema ni kupoteza muda. I will not gain anything from you,

Re: CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli
- Waberoya, anytime unapoamua kufikiri kwenye hizi lines za kuto-gain anything kutoka wka wengine, tafadhali take one minute na kuangalia upande wa pili, yaani wangu unafikiri nita-gain nini kutoka kwako?

- Kichwa cha mjadala uko wazi sana kwamba hapa kinazungumziwa kitu gani, hayo ya mambo mengine ungaeyafungulia topic yake pembeni hii ni ya Januari ndio maana hatuelewani kumbe tunajadili vitu tofauti!

1. sijasema chama chochote ni role model
2. sijataja uchaguzi wa chadema
3. hakuna sehemu niliyosema watoto wa wakubwa wasigombee!!!
4. hakuna sehemu niliyoashiria mawazo yangu ni sahihi!

hata chaema nao wananipiga mawe nikiwagusa kidogo tu, ntumaini forums ni sehemu ya kujadili mambo bila kujali itikadi za vyama vya watu hao. hapo utaona vitu clearly!nimeeleza swala la chuki hujalijibu, chuki hazipandikizwi Tanzania, chuki zipo na zitakuwepo, hata kama tukijifanya vipofu, haiwezekani chenge aweke mamilioni ulaya halafu watoto wa chenge wachekewe tu! nimegusia hili ndugu yangu umefunika! matabaka haya yapo na hayaanzii kwa JM! yapo
- Mkuu kama ni the principle then the question hapa ni lazima ianzie na chenge ni mtoto wa nani? Masikini au tajiri? Kama ni chuki ni wewe tu aliyenazo mbona watoto wa viongozi wanachaguliwa bongo sasa hao wenye chuki sio wewe tu na wengine humu? Chuki hazipo bongo ila ni hoja kama zako ndio chanzo cha kuzipandikiza, ndio wasi wasi wangu!

sijasema walio CCM wajinga au wapumbavu, la kama mtu anaona anaweza akatimiza malengo yake akiwa CCM ni vizuri na ndiyo hypothesis ikazaliwa kulingana na historia! Umenichekesha kuhusu kimbilio lako la kuwa mbona CCM wanashinda! tena kwa kishindo! imenibidi nicheke usirudie tena kusema hivi kwa wengine.CCM wanashinda wapi? nani anawapa kura? na huko wanakoshindwa inakuwaje? kwa nini wanashindwa?
asante it was great to discuss with you
- Glad kwamba finally umekubali kuwa ni kwa wengine tu, sio wabongo wote anyways, thanks a lot bro nice debate!

Respect.

FMEs!
 
- Waberoya, anytime unapoamua kufikiri kwenye hizi lines za kuto-gain anything kutoka wka wengine, tafadhali take one minute na kuangalia upande wa pili, yaani wangu unafikiri nita-gain nini kutoka kwako?

- Kichwa cha mjadala uko wazi sana kwamba hapa kinazungumziwa kitu gani, hayo ya mambo mengine ungaeyafungulia topic yake pembeni hii ni ya Januari ndio maana hatuelewani kumbe tunajadili vitu tofauti!

- Mkuu kama ni the principle then the question hapa ni lazima ianzie na chenge ni mtoto wa nani? Masikini au tajiri? Kama ni chuki ni wewe tu aliyenazo mbona watoto wa viongozi wanachaguliwa bongo sasa hao wenye chuki sio wewe tu na wengine humu? Chuki hazipo bongo ila ni hoja kama zako ndio chanzo cha kuzipandikiza, ndio wasi wasi wangu!

- Glad kwamba finally umekubali kuwa ni kwa wengine tu, sio wabongo wote anyways, thanks a lot bro nice debate!

Respect.

FMEs!
4klgkjl.jpg
 
You are welcome!
 
It is not fair, we need to educate each other. I am asking questions based on reality sina tatizo na anything. Ila kuna tofauti ya watu, wengine they may even slap you! (thanks Jf we dont see each other). Kuna watu ukiwauliza wanakuona adui tu.That is dangerous inamfanya mtu anakuwa kipofu kwa sababu yuko upande mmoja I believe in the power of discussion, and reaching into agreement.

so please spit out, some will understand you some will not. we need to know behind this scene

Sababu kubwa ya kuwithdraw mchango wangu kwenye hii thread ni kwamba system yetu ya utawala ni muflis.

Siasa za Tz nazifananisha picha ya mlango kwenye ukuta. Asilani abadan huu 'mlango' hautakaa kupitisha watu, maana kimsingi ni picha tu..Ni kwa premise hiyo basi siezi kukaa kupoteza muda wangu adimu na adhimu kujadili ati fulani atagombea sijui wapi kuwa representative of clueless masses..anaeza agombee au asigombee it won't change anything..siasa za Tz is the wrong institution kwa maendeleo ya waTz, or worst,it is the enemy.

Kwa hiyo bana, if anyone one wants to be the part of statistics, knock urself down, i can only put gasoline on it.
 
LOL! nice post

Thanks
 
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.

January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.

Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.

Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....

Mapokezi haya mabaya ya January ambaye anasema ametumwa na rais kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee Makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....

Wengi wamekuwa wakisema January hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.

Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......

Mzee Shelukindo nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wake waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......

Naona wana-JF wameshaanza kujitokeza..... Tumuunge mkono January!?

Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa jamvini.....
haisaidii wasubiri wapige KURA
 
Januari agombeeeeee! Anazo haki zote kama Mtanzania yeyote yule kuweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi anayoitaka. Waamuzi watakuwa ni wananchi watakaopiga kura.

Januari anazo sifa lukuki - kijana anayeielewa nchi yake ipasavyo.

Januari ni Mzalendo. Hakuwa "mkimbizi" maana baada ya kumaliza masomo aliamua kurejea nyumbani kujiunga na Watanzania wenziwe kuijenga nchi. Januari hakurudi nchini kwa kuwa aliahidiwa nafasi Ikulu. CV yake imesheheni angeliweza kupata kazi mahali popote.

Januari kichwani zinachemka kwa hiyo anaweza akawawakilisha wananchi wa jimbo lake vizuri na hata akipewa uwaziri anaweza kutumia hazina ya akili aliyopewa na mwenyezi Mungu kufanya makubwa katika kuiongoza Wizara atakayopewa ili mradi tu ajiepushe na UFISADI!

Mambo ya kumhusisha Januari na Mzazi wake hayana mantiki kwa sababu kila mtu ana haki yake ya kimsingi kama raia wa Tanzania.
 
What? are guys conspiracy theorist or something? hee hee! Sio ishu babu. Ni mtazamo tu. Imam Abbas put it the best when he said "Ni kipofu hata ukivaa miwani".

i1716_CCMJKMakamba.jpg

"Wewe ni Hazina yetu CCM katika uchaguzi mkuu mwaka huu", Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi Yusuf Makamba akimwambia Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho, kwenye kilele cha miaka 33 ya ccm viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es Salaam jana.

"Makamba hawa watu tuwatafute na tuwashughulikie bila haya, maana wanafanya mambo ya kihuni ndani ya chama chetu na ninataka tupate wagombea watakaotokana na ridhaa ya wananchi sio ujanja ujanja tu na mbinu chafu," alisema Kikwete na kushangiliwa.

"Muwe makini na wagombea jamani, maana mtu mwingine anachukua kadi ya CCM leo hii, kesho unamkuta bungeni, keshokutwa anakuwa waziri sasa msipokuwa makini watu wa aina hii watawazamisha maana hamuwajui lakini mnawapa madaraka", alisema.

My take ... mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio halazimishwi kusikia!
 
so far sijaona argument hata moja kwa nini

a) January ASIGOMBEE

b) January HAFAI KUWA MGOMBEA

Mimi binafsi naona JM ana sifa moja tu ya kugombea Ubunge wa bumbuli;ile ambayo ipo ndani ya katiba ya kumpa ruhusa mtz yeyote mwenye umri wa miaka inayotakiwa,na akili timamu agombee nafasi yeyote aitakayo!

Pia nawapinga kwa nguvu zangu zote wanaotaka JM asigombee Bumbuli kwa sababu tu ni mtoto wa Mzee Yusuf Makamba,wanaosema hivyo hawana hoja endelevu wala ya msingi na sio tu wanabaka katiba kwani hamna kipengele ndani ya katiba yetu kinachosema kuwa mtoto wa kigogo ni kuondolewa kwako kwa sifa ya kupiga au kupigiwa kura bali wanaweza wakaitumbikiza nchi hii kwenye machafuko makubwa kati ya"waliobarikiwa na wasiobarikiwa"!

Lkn hizi sifa zingine mnazompa JM kama:

(1)Very smart

(2)kapata elimu akiwa ni kijana

(3)ka-Acomplish-vitu vingi ambavyo vijana wengi TZ hawajavifikia

Hizi sifa ni irrelevant na yeye kugombea Ubunge,na so far hizo accomplishment have nothing to do with Bumbuli's constituents.

Nasisitiza tena akagombee kwani ni haki yake kikatiba;lkn sifa hizo mnazompa nahisi zinai fit sana familia yake inayofaidiki sasa na mafanikio yake makubwa besides wana Bumbuli hoe hae;aende huko akawaeleza ama aliisadia nini BUMBULI then atawasaidia nini akipata ubunge!
 
- Ni haki yake pia kikatiba kujinadi on his accomplishments na ni sawa katika kampeni za siasa, mkuu huwezi kuwa na mkono kote kote, kama unakubali kwamba kugombea kwake ni haki, basi elewa kwamba hii ni siasa ni haki yake kujinadi who he is na his accomplishments, kumbuka ya Community Organizer tusichanganye siasa na mawazo yetu binafsi on ishus za kampeni za siasa, either hutaki agombee au unataka, ukishataka basi hapo hapo ni, Full Stop!

Respect.

FMEs!
 
yuhuuuu and it was written......mimi pychic niliongea kitu kama hicho mwaka jana watu wakanipiga madongo with a lot of blah blah blah!....go JM young blood. hahahahaha...nipo behind you next Election na miye nakwenda kugombea kwetu.......Where is Geoff and MTM????????!
 
Kama baba , ni kama mwana, janja yao katika kulinda maslahi ya mafisadi ndio kunakotia shaka ya kuaminika kwa hawa vijana watoto wavigogo,.

Ukitaka kujua wanarithishana madaraka angalia JK Anavyoandaa himaya yake katika utawala ndani ya CCM na serikali, mtoto wake ridhwani Mjumbe halmashauri kuu CCM, mke pia anaingia kwenye halmashauri kuu kupitia UWT , mtoto wake mdogo chini ya miaka kumi na tano ni kiongozi mkuu kule jumuia ya chipukizi Tanzania.

Kweli lipo katika kugawana vyeo, wanatengeneza himaya zao ili watakapokua wametoka madarakani , waeendelee kutawala kupitia remote control....

Kwa taarifa yenu hata kama January atakuwapo madarakani haizuii Rais ajaye kukifikisha kizazi choote cha mafisadi Tanzania mahakamani, maana mtoto wa Taylor alishindwa kumuokoa baba yake na ushenzi na laani ya kunywa damu za Waliberia.

Wakati utafika , na tuandaeni bakora za kuwatandika, baba na watoto zao.
 
i1716_CCMJKMakamba.jpg

"Wewe ni Hazina yetu CCM katika uchaguzi mkuu mwaka huu", Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi Yusuf Makamba akimwambia Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho, kwenye kilele cha miaka 33 ya ccm viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es Salaam jana.

"Makamba hawa watu tuwatafute na tuwashughulikie bila haya, maana wanafanya mambo ya kihuni ndani ya chama chetu na ninataka tupate wagombea watakaotokana na ridhaa ya wananchi sio ujanja ujanja tu na mbinu chafu," alisema Kikwete na kushangiliwa.

"Muwe makini na wagombea jamani, maana mtu mwingine anachukua kadi ya CCM leo hii, kesho unamkuta bungeni, keshokutwa anakuwa waziri sasa msipokuwa makini watu wa aina hii watawazamisha maana hamuwajui lakini mnawapa madaraka", alisema.

My take ... mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio halazimishwi kusikia!
hii ya keshokutwa anakuwa waziri imeniacha hoi,kwani yeye si ndio anateua mawaziri,kweli hapa tuna PICHA YA RAISI.
 
Ndio kila Mtanzania ana haki ya kimsingi ya kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila tusisahau wananchi wana haki yao ya kimsingi pia ya kuchagua kiongozi wao kwa misingi ya deomkrasia makini.......

Maoni ya wananchi yaheshimiwe na hizi siyo zama za kutumia pesa kununua kura bali ni zama za kushindana kwa msingi ya sera imara na utendaji unaonekana,swala la kutumwa kuoka magogoni au kubebwa na watu fulani halina nafasi katika kuwaongoza watu katika njia ya kuwakwamua katika matatizo ya kiuchumi.
 
Back
Top Bottom