CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

Acha uwongo! mtu kwenda kwao ndio kujinadi?

Pili hebu jifunze KISWAHILI kabla ya kuja kutuandikia madudu yalojaa errors zisizoeleweka!

Hivi kwa mtu mwenye nafasi yake na aliyezaliwa kwenye familia ya Mwanasiasa na ambaye anafanyakazi ya Kiserikali kweli aende Nyumbani kwao bila kukutana na watu tena kwa nafasi yake itakuwa sawa?

Asante sana mkuu kwa ukosoaji ila kwa taarifa yako JM sio mzaliwa wa bumbuli..mama ni Mhaya na baba ndio mzaliwa wa kule, hao watu wake alioenda kuwaona unawajua wewe, lakini pia sehemu anapotokea mzee makamba (mahezangulu) ni mbali sana na soni, ipo korogwe...

Uwongo mwingine ulioegemea kwenye UDINI!

rudi tena kwa huyo anayekupa hizi taarifa kisha utuletee FACTS badala ya kuleta stori ya Kuunganisha.

Pili ukweli ni kuwa hakusubiri watu kuswali bali yeye mwenyewe aliswali na baada ya hapo waumini walimuomba kama ana lolote la kusema na akasema kuwa nafasi hiyo si yake bali ni ya Imam na baada ya Imam kuinsist na kwa mila na desturi za watu wa Pwani Mdogo kwa Mkubwa hakui na hubishi hivyo alisimama na kusalimia waumini mle ndani

Inaonekana kama unamtetea, mimi ndio nipo hapa, huyu bwana alitaka atake advantage ya kukutana na watu wengi ndio alisubiri swala ya ijumaa kwa taarifa yako hakuswali na swala ilipoisha walipoomba awasalimie waumini aliporuhisiwa alitaka kuingia na viatu diwani wa soni ndio alimzuia,ndipo alipopaa nafasi ya kuongea na wachache, kwakuwa wengi walikuwa wameshamsikia na waipangakutokumuunga mkono hata kabla hajafka.....

Na pia alisema wazi kuwa SALAM ZAKE ZISITAFSIRIWE KAMA KAMPENI yeye kaja kuswali kama waislamwengine na mindhali leo ilikuwa Ijumaa sasa tatizo liko wapi?

Una uhakika kama JM ni Muislamu au unamsemea??

Unazungumzia Piki Piki..hivi le mtu Kama ES au Mwanakijiji au Pasco akienda Kijijini kwao akatoa Computer au Baiskeli ndio atakuwa ana kampeni? kama kutoa kusaidia kwenu ni kampeni basi wengine tusingejenga zahanati na shule mbili tatu ili wananchi wapate matunda ya sie wengine kutafuta na kutumia nafasi tulizopata kuwanufaisha!

Pikipiki alizotoa amesema kabisa ni kw ajiri ya kampeni na wat aliowapa wamshindwa hata kuzitumia, tatizo JM hata watu anaotumia kwenye kampeni awaju vizuri, wengi hawamkubali naweza hata kukupa majina yao,na mtu anayemtegemea sana anafanya kampeni za kihuni hakubaliki.

Once again umerudi na WAISLAM! lakini pamoja na hayo kutoa au kuchangia ujenzi ni jambo la kawaida...na kwa Musilam ni sawa ni kutimiza moja kati ya NGUZO 5 za uislam na pili tofauti ha huyo aliyekutuma hapa kuleta huu UDAKU, JM katoa kuchangia elimu bosi wako yeye anatoa kwa Ajili ya KIMADA WAKE pale mtaa wa ALLY KHAN!!!
Umesema amekumbwa na vikwazo vingi lakini ungeturahisishia ukatupa orodha ya Vikwazo...kwa utaratibu ufuatao:

1. JM ameambia sio mkazi wa bumbuli
2. halijui hata jimbo lake
3. haongei hata lugha yao...
4. hajawahi kushiriki katika shughuli yoyote ya maendeleo ya jimbo hilo
5
6
7
8
9
10

Pili Mapokezi Mabovu yepi? Mbona Jezi na mipira zimechukuliwa? na si hivyo tuuuu infact jamaa wanalalamika kuwa JEZI za RANGI za YANGA zimekuwa nyingi kiasi cha kuwa wanataka Jezi rangi Mchanganyiko...sasa wewe hapa linalokuudhi nini?

Hivi unataka vijana waendelee ku piga NDIMU kuhu wako vifua wazi?

wewe unaongea ushabiki sana,ni nani alipokea jezi hizo,na kwa taarifa yako leo kuna mashindano ya kata yanaanza hapa Soni, nani kasema hawana vifaa??
 
Jamani tuwe werevu katika kutoa thanks,kwani huyu ndugu Mtazamowangu yeye kila anayeongea hata kama ni pumba anampa thanks!
 
Jamani tuwe werevu katika kutoa thanks,kwani huyu ndugu Mtazamowangu yeye kila anayeongea hata kama ni pumba anampa thanks!

kitendo cha mtu kuchangia tu whether negative or positive ni jambo zuri, maaa sio wote waliosoma wanachangia ili tujue mawazo yao, kwahiyo hilo lisikusumbue sana na si kosa....
 
.
'Like father like son' na 'like mother like doughter' ni misemo too based on genetics lakini kuna mambo ya mutations, Wazazi ni wema kabisa wanakuja pata watoto mabaradhuli ajabu!. Pia inatokea wazazi wa ajabu kabisa wakapata watoto wema wa kushangaza.

Kwa January, naomba tumjudge on his own merit. Nimemsoma kwenye thead ya 'the next generation leaders na kumuona akichat na Obama siku JK alipokwenda kujikomba pale White House, mimi binafsi kijana huyu namkubali kama ninavyomkubali Nape. Hawa ndio generation itakayokuja kuibadili CCM.

Japo siipendi CCM, its a fact 2010 ni CCM tena, then better have better CCM than bank on the waste.

I can see hope for change in him!, japo mtoa hoja katoa hoja na kiroja juu yake!.

Pasco what you see here is POLITICS OF HATE na hii hate in run deeper than you can imagine

JF ni chombo platform ya vijana wenye mawazo tofauti ambayo saa zingine ni too radical au extreme na mwenyewe nadhani huwa unaona hapa jinsi tunavyoshikana mashati lakini we all have one thing in common: WE LOVE OUR COUNTRY SO DEARLY na tuna routes mbali mbali za kutaka kutatua matatizo yetu na moja wapo ni hili la WAZEE WALIOISHIWA MAWAZO ya namna ya kutatua matatizo ya TAIFA hili

Yes, binafsi nina matatizo na baadhi ya sera za CHADEMA lakini if it means kuwa mtu kama JJ MNYIKA au ZITTO ndio wawe ma Reps wetu then be it! acha waende lakini i would have thought kuwa JF ndio itakuwa mahala pa kwanza pa ku sabotage vijana wenye nia nzuri kama January

ndio maana ninakubaliana nawe LETS JUDGE THE GUY ON MERIT badala ya surname yake na if anything its about time watu kama yeye wakapata support ya vijana badala ya HIZI politics of ENVY zinazoendelezwa humu

January hajatangaza anataka kugombea ubunge lakini akitangaza then apewe nafasi ya kujieleza kwa watu kwa nini anataka kugombea na watu wapate nafasi ya kumuuliza maswali na wakiridhika kuwa anafaa then sioni kwa nini asipewe support.
 
GT, JF ni open forum, tuna watu tofauti wenye mitazamo tofauti lakini pia wapo ambao kwa kila kitu kwao ni negative judgement not based on facts but on feelings na ndipo hapa politics za hate zinapoibuka.

Naamini muda bado, as October gets closer, tutashuhudia a lot of character asassination kwenye media zetu na JF is no exception. Wakibomoa sisi tujenge, at the end of the day, only the truth will prevail.
 
Tatizo sio kuwa tumjadili Januari kama yeye hapana ,shida ni kuwa anatumia jina la babake na babake mwenyewe kama mtaji,haupo ndipo wehu ulipo.
Mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto wa mwehu ni mwehu!
 
Wana JF, ni vema usultani ukapingwa kwa nguvu zote? Kama ni vema watoto wa viongozi wakawa viongozi basi turudishe tawala za Kitemi? Kwa sababu vizazi vyao bado vipo wasukuma - makwaia, Wanyamwezi - fundikira, Wachaga - Marealle etc.
 
katika kuonyesha kwamba wananchi hawataki kurubuniwa sasa, Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya lushoto amekataa vyerehani vilivyotolewa na January Makamba vikiwa ni sehemu yake ya kujitangaza kwa wananchi wa jimbo la bumbuli, JM amepeleka vyerehani 100 ikiwa ni sehemu ya msaada kwa vikundi vya matawi ya jimbo hilo. hii ni ishara mbaya kwake baada ya jana kupata mapokezi mabovu.

Jana waumini wa kiislamu wakijua JM ni ndugu yao katika dini lakini alisubiri nje wamalize kuswali ndio akaomba kusalimia, na katika salamu zake aliwaahidi wananchi kwamba kutokana na kuwa kwake karibu na raisi atatumia nafasi hiyo kuwasaidia sana maana hata sasa amekuwa akisaidia kwa njia za panya kutumia nafasi yake....JM lazima ajue jinsi ya kuaproach different groups...ukienda kanisani jua ethics za kanisa na ukienda msikitini jua jinsi ya kuaproach waumini, ina maana JM hajui mpaka leo msikitini hawaingii na viatu????

Timu ya JM ni dhaifu sana na ni mtu pekee anyemuunga mkono ni mzee shekulamba ambaye ni swahiba mkubwa wa Mzee Makamba,na mwenyekiti wa UVCCM wilaya bwana Mahanyu....

baada ya kusikia watu wakisema si mkazi JM amenunue kiwanja eneo la bumbuli ili ionekane anafuatilia eneo lake.
jan baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kwenda kuona shule inayojengwa na bila kutoa taarifa, alikwenda kufanyia mkutano korogwe na wafuasi wake ambao baadae usiku saa 2 walikutana tena ofisini ya CCM Soni.
mchana huu bwana JM anaelekea kwenye maeeo mengine ambapo mchana amepita Kata ya Baga na kuonana na waislamu na kutoa ahadi ya kusaidia kujenga msikiti wao mpya.

Pia inasemekana mzee Shelukindo (Mbunge wa Bumbuli kwa sasa) ameanza kulalamikia rafu hizi.
wengine wanasema Kutokuelewana baina ya Makamba na Shelukindo ndio chanzo kikubwa cha Mzee makamba kumpigia kampeni kijana wake kumng'oa shelukindo, lakini pia inasemekana kwamba mzee shelukindo SI katika kundi linalomuunga mkono JK, kwahiyo anatakiwa ang'oke.....

kama January atajipanga vizuri na kufuata ushauri wa watu ana nafasi nzuri sana kwakuwa inaonekana wananchi hawamtaki mbunge aliyeko madarakani (mzee kibonyezo).......aliwahi kuwaambia wananchi yeye ni kibonyezo akienda bungeni atakuwa anabonyeza tu mambo yanakuja....uwongo wa mchana.....

Bado tunamuunga mkono January kama kijana mwenzetu kujitokeza lakini awe makini ajitangaze kwa sera zake sio kusema ametumwa au kuaza kutumia njia chafu....
 
Yaani all of a sudden mashina ndio yanahitaji vyerehani sasa? Ana CV gani katika public diplomacy ambayo itamsaidia "kurubuni" wapiga kura? na asiingize la "speech writer" wa JK maana mheshimiwa hutuba zake ni aibu tupu... with all due respect..naweza kumtukana.
 
Makamba is better pale alipo, hii ya kuhangaika na siasa za "nchele na tanzi" zitamsumbua sana
 
katika kuonyesha kwamba wananchi hawataki kurubuniwa sasa, Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya lushoto amekataa vyerehani vilivyotolewa na January Makamba vikiwa ni sehemu yake ya kujitangaza kwa wananchi wa jimbo la bumbuli,...

...maskini huyo mwenyekiti, sijui ni dada Sophia Mjema huyo?,...mwenyewe kafanya kwa nia nzuri tu kulinda demokrasia lakini atalipiziwa kisasi as if...!
 
Hivi kwa mshahara wa civil servant mtu anaweza kuwa na fedha za akiba za kununua chereheni mia moja za kugawa kwa wapiga kura watarajiwa?
 
Makamba is better pale alipo, hii ya kuhangaika na siasa za "nchele na tanzi" zitamsumbua sana

nahisi labda atakuwa ameshaahidiwa unaibu waziri au uwaziri kamili, siasa za tanzania kazi kweli
 
Hivi kwa mshahara wa civil servant mtu anaweza kuwa na fedha za akiba za kununua chereheni mia moja za kugawa kwa wapiga kura watarajiwa?

...wee unafikiri marupurupu ya safari na Ikulu kwa bwana mkubwa ni kidogo?.....ohh pleeease Jasusi......
 
Sitashangaa hata hii thread kama ni yale yale ya watu kuja hapa kumwaga kila aina ya accusations ambazo hazina hata chembe ya ukweli.

Mtumaji huku anamshutumu January na upande mwingine anajifanya ana muunga mkono. Ni yale yale ambayo tumeyaona kwenye threads zingine zinazohusiana na uchaguzi 2010. Lengo ni kujaribu kuwadanganya wana JF.

Tuletee basi picha ya vyerehani 100 maana huo ni mzigo mkubwa sana.
 
Hivi kwa nini mtu ugawe cherehani (provided kinachosemwa ni kweli)? What's the point of it?
 
Sitashangaa hata hii thread kama ni yale yale ya watu kuja hapa kumwaga kila aina ya accusations ambazo hazina hata chembe ya ukweli.

Mtumaji huku anamshutumu January na upande mwingine anajifanya ana muunga mkono. Ni yale yale ambayo tumeyaona kwenye threads zingine zinazohusiana na uchaguzi 2010. Lengo ni kujaribu kuwadanganya wana JF.

Tuletee basi picha ya vyerehani 100 maana huo ni mzigo mkubwa sana.

.........kwi kwi kwi kwi.......dahh......shem umenichekesha kweli...........mbombo ngafu kwa kweli..........
 
Watanzania kweli wapumbavu. Kulikuwa hakuna hata sababu ya kumpa muda wa kusikiliza uchafu wa kijana fisadi huyo. Huyo kijana ana lake jambo na bila shaka katumwa na kundi la mafisadi, dawa yake ni kuchapa risasi ya kichwa mapema.
 
.....duuh! watu mna hasira!........balaah!
 
Sitashangaa hata hii thread kama ni yale yale ya watu kuja hapa kumwaga kila aina ya accusations ambazo hazina hata chembe ya ukweli.

Mtumaji huku anamshutumu January na upande mwingine anajifanya ana muunga mkono. Ni yale yale ambayo tumeyaona kwenye threads zingine zinazohusiana na uchaguzi 2010. Lengo ni kujaribu kuwadanganya wana JF.

Tuletee basi picha ya vyerehani 100 maana huo ni mzigo mkubwa sana.

- Maneno mazito sana mkuu! tupo pamoja sana hapo!

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom