CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli


Fine,

The seat is open for any Tom Dick or Harry.

But every Tom Dick or Harry must reconcile their record with the pprivilege they request.

1. Will January own his words to the effect of "A Million flies can't be wrong, they eat shit"? Meaning that the millions of Tanzanians are like toilet flies, eating shit (voting for CCM) and therefore they deserve anything coming their way?

This is a simple matter of character and integrity.Kama yale yalikuwa maneno ya ujana tu aombe radhi tuendelee.Lakini asitake kutudanganya kwamba ana uchungu na maendeleo ya wananchi wakati jana alisema "A million flies can't be wrong, they eat shit"


Ama sivyo tuambizane tu kwamba huyu jamaa ni kama JK, mjanjamjanja tu tu na mjuzi wa kupanda ngazi na kutaka madaraka lakini hana kipya chochote cha kuchangia katika maendeleo ya nchi.
 

Shauri yako...utaambiwa una wivu kwa sababu huyo jamaa eti ni next generation leader....ni smart (eti ana akili nyingi sana - sijui akili nyingi zinapimwaje) na handsome......LMAO
 


. We in JF are like inveterate cannibals; eating our own kind is quickly becoming a favorite JF pastime!
[/QUOTE]
Is January also one of our own kind here in JF? You sound so much like him.
 
 
Hapa kuna matatizo mawili makubwa

La kwanza nilishalitaja hapo awali nalo ni IMMATURITY ya baadhi ya wachangiaji au members wetu ambao kwa kiasi kikubwa huwa wako driven by HATE na ENVY badala ya kujenga hoja kumjenga au kumbomoa mtu basi why not isitumike HOJA badala UDINI na BACKGROUND ya mtu?

Humu ndani mmmoja kati ya makamanda wetu hapa JF ni WILLIAM MALECELA ambaye if anything regardless whether mnakubaliana naye au hamkubaliani naye lakini we always judge his views lakini si kwa sababu ni mtoto wa Mzee Malecela.

Sasa tatizo la January ni kuwa na Baba ambaye ni Mwanasiasa ambaye in one way or another kutokana na nafasi ambazo aliwahi kushika au anashikilia amekuwa vocal na saa zingine wengi hawapendezwi na anayosema kama ambavyo wengine hawapendezwi na aliyokuwa akisema Mzee Malecela. Nitakuwa mjinga sana kama nikatumia criteria hiyo kama kigezo cha kumcriticise not only William bali January, Ridhwani na wengine ambao walizaliwa kwenye hizo family by BIRTH.

Sababu ya pili nadhani inatokana na FRUSTRATIONS ambazo zinatokana na portrait halisi ya Tanzania's new ruling class na kwa mitazamo ya wengi humu JF kundi hili ni arrogant, out-of-touch alliance of MPs and other insiders who ruthlessly pursue their own interests, ignoring the public good na hizi zinaleta hii new JF phenomenon ambayonaweza kuiita JANUARYPHOBIA au sijui tuiite MAKAMBAPHOBIA (maana naona hata dada yake Bi Mwamvita has always been on firing line from some members wa JF )

Tunajua kuwa tangu Mwinyi aingie Madarakani na kuanguka kwa ukomonisti mambo mengi yamebadilika Tanzania na kumekuwepo kwa tofauti kubwa sana za kijamiii na if anything Tanzania ya leo si ile yenye tofauti kati ya WAJAMAA dhidi ya MABWANYENYE bali ni naweza kusema kuwa tunachokiona hapa ni division is between a narrow, self-serving and - increasingly corrupt Political Class and the mass of ordinary wananchi au WALALAHOI na kuelewa how modern day Tanzanian politics zinavyofanya kazi ni muhimu kujua Sinificance ya OLD ESTABLISHMENT ya the SYKES,NYERERES,BOMANIS, RUPIAS and so on hivyo tusijidanganye na I will say it...today it is impossible to grasp how power operates without understanding the nature of this Political Class in Tanzania.


Lets face it, hii Political Class yetu ni metropolitan na ni Dar-based. Hivyo its obvious kuwa members wake wana perceive life through the eyes of a member of Dar es Salaam's affluent middle classes ambao wengine wanashinda humu JF. Na hii inawabadilisha kuwa separate, privileged elite kama the SHELUKINDOS, ambao wako isolated from the aspirations and the problems of provincial, rural Tanzania....na mbaya zaidi ni kuwa as standards of decency, morality and education spiral ever downwards kwenye majimbo na mikoa mbali mbali Tanzania, we are rapidly acquiring an electorate kama ya aliyeleta hii thread ambayo ni incapable of rational thinking beyond anything that does not put UDINI au UZUSHI kwenye kujenga hoja zao!


Lets face it sasa hivi we are ruled now by this elite of time serving self-advancing bureaucrats and placemen. Kundi hili la Akina SHELUKINDO ndilo lina form the same social class, have the same values, the same goals and aspirations (money and power). Sasa kama kuna watu wapo ambao wanataka kubreak hii circle be it ni MNYIKA or JANUARY MAKAMBA or ZITTO then beit sie wengine tushachoka lakini kwa mtizamo wangu ni kuwa hawa old SHELUKINDOS, KIGODAS, RUPIAS they are exactly the same, pigs swilling in the same trough.


By the way I'm not sure how DIRTY huyu SHELUKINDO wants to play it kwani naona gloves are off na its just a matter of time watu waka chose sides ili tujuane ni akina nani wanataka CHANGE na akina nani wanataka kuendelea hili kundi la WAZEE walioishiwa
 
Kwanza sio kweli kumpinga January Makamba kama hafai kuwa Mbunge wa jimbo lolote la tz ni wivu wa kisiasa kama ambavyo baadhi ya wana JF akiwemo Game Theory anataka kuonyesha!Kumpinga mtu kwa points endelevu ni haki ya msingi na ya kikatiba tena ya kila MTZ ili mradi asitumie lugha zisizofaa!

Kwa maono yangu,inaonekana Game Theory na FMEs mnaujua sana utendaji wa kijana January Makamba hadi mkafikia kusema kuwa "juhudi zake" mnazithamini sana lkn sijaona sehemu hata moja mkizitaja hizo juhudi zake ni zipi na zina manufaa gani kwa maendeleo ya watz!!

Kwa mfano hadi sasa sasa kwenye articles zenu zote za kumtetea Kijana January bado hujanionyesha kwenye nafasi yake kama mshauri wa Rais wa Jamhuri wa TZ kafanya nini kuwaletea maisha bora watz na jimbo analolimezea mate la Bumbuli?

Kama hamna lolote la maana alilofanya kwa miaka yote 5;ama alilobuni au kushiriki kuwapa maendeleao waTZ hasa wana Bumbuli tutaamini vipi sasa akija kuwa mbunge ndiyo atacharuka na kuwa eti "creative" zaidi ya wabunge wengine"mizigo" wa CCM?

Kitu kingine ambacho tunatakiwa tukijue hapa ni kuhusu vijana wanaotakiwa kuingia ndani ya Bunge.Ni kweli tunahitaji vijana wagombee ubunge lkn sio kila kijana anafaa kuwa mbunge.Kumbuka kuwa Masha au Ngeleja ni vijana lkn wameshindwa kufanya kazi;sawasawa na January Makamba aliyeshindwa kufanya kazi ya ushauri wa Rais ili uwe na manufaa kwa watz wakiwemo wana Bumbuli.

January atuambie,kwa nafasi yake ya ushauri wa Rais kawafanyia nini watz?Haya maneno kama ni modern intelluctual wa chuo maarufu USA haina uhusiano wa kuja kuwa effective kuwahudumia watz kwani hata Chenge au Balal nao walisoma vyuo maarufu USA!

Tunataka rekodi ya uchapa kazi wa January Makamba kama mshauri wa Rais kwa miaka hii 5 ya utumishi wake,lkn hivi hivi kwa maneno yenu akina Game Theory na FMEs "sidanganyiki ng'o"
 
Nyote humu mnapiga kasia pasipo na maji. Siasa za Tanzania ni kama food chain na beneficiary wa mwisho ni mwanasiasa. Labda mniambie nyie mpo upande gani; wa wanasiasa au wavuja jasho??
 
Talk about GT or let say FMES hawa ni watoto wa vigogo wapo hapa kuendeleza status quo. Don't say I said it.
 

kaka gt umemaliza kila kitu.tumesikia wenye masikio na wenye macho tumeona.january makamba ndio turufu ya lishoto 2010.
 

Tatizo mleta hoja au aliyeaanzisha thread hakuwa na facts za kutosha na matokeo yake na nyinyi mkaingia kwenye huo mkumbo au mtego ule ule wa kupinga January not based on merits bali on ENVY na yule mleta thread alikuwa anainsist on UDINI na hilo ndilo tulilokuwa tunalipoint out

Sasa ni kosa la January kuzaliwa na Mzee Makamba?



Another generalization bila hata kuuliza na hii ni mbaya sana toka kwako kwani unajenga hoja based on ASSUMPTIONS sasa inamaana kuwa hata post yako nzima ushaiharibu kwani msingi wake ni weak. unless unijibu yafuatayo:

1) Ni wapi FMES kakuambia kuwa anajua sana utendaji wa January?

2) Ni wapi nimekuambia namjua sana January

3) Ni Wapi nimesema neno kuhusu Juhudi za January?


If anything huyu bwana Kaenda kwao na kama utaona kwenye post zangu za nyuma utaona kuwa what I support not only ni January bali ni VIJANA wote regardless of the ir political affiliation wapewe nafasi na its about time wazee wakakaa pembeni kuwapa nafasi


Je wewe hilo hulitaki na sababu zako ni zipi?


Kwa mfano hadi sasa sasa kwenye articles zenu zote za kumtetea Kijana January bado hujanionyesha kwenye nafasi yake kama mshauri wa Rais wa Jamhuri wa TZ kafanya nini kuwaletea maisha bora watz na jimbo analolimezea mate la Bumbuli?

With a lot of time on your hands now you’re being bounced out of the house! Get your facts right kisha ujibu maswali yafuatayo:

1) Hebu nionyeshe ni wapi nimeandika hiyo " ARTICLE'' ni gazeti au jarida gani nililoliandiakia kumtetea January

2) Pili ni wapi nimesema kuwa January anagombania Ubunge Bumbuli

3) Ni wapi January kasema anagombania ubunge Bumbuli

4) Ni wapi FMES kaandika the so called article ya kumtetea January

5) Ni wapi January kasema analimezea mate jimbo la Bumbuli?

6) Ni wapi na lini January kateuliwa kuwa MSHAURI wa rais?


Kama hamna lolote la maana alilofanya kwa miaka yote 5;ama alilobuni au kushiriki kuwapa maendeleao waTZ hasa wana Bumbuli tutaamini vipi sasa akija kuwa mbunge ndiyo atacharuka na kuwa eti "creative" zaidi ya wabunge wengine"mizigo" wa CCM?

Umeshindwa kuestablish facts sasa umerukia kwenye assumptions and innuendos!

PLEASE concentrate your efforts on THE SYSTEM not individual witch-hunts against JM. Doing so is going to turn out to be extremely COUNTER-PRODUCTIVE kwa sababu huna facts ambazo zingeweza kukusaidia kujenga hoja

Hivi nani kakwambia JM ni mshauri wa rais? au anafanya kazi ya ushauri wa rais?


January atuambie,kwa nafasi yake ya ushauri wa Rais kawafanyia nini watz?Haya maneno kama ni modern intelluctual wa chuo maarufu USA haina uhusiano wa kuja kuwa effective kuwahudumia watz kwani hata Chenge au Balal nao walisoma vyuo maarufu USA!

another lost rant!

Tunataka rekodi ya uchapa kazi wa January Makamba kama mshauri wa Rais kwa miaka hii 5 ya utumishi wake,lkn hivi hivi kwa maneno yenu akina Game Theory na FMEs "sidanganyiki ng'o"

Inaonekana wewe ni miongoni mwa wale ambao hawajaui wanachokiongea na wala huna FACTS za kujenga hoja sasa unategemea watu waje wakusemee humu kisha ndio unajenga hoja

Kakusanye data kisha urudi otherwise stand on the sidelines maana huna jipya
 
Talk about GT or let say FMES hawa ni watoto wa vigogo wapo hapa kuendeleza status quo. Don't say I said it.

- Duh! wote ni lazima tuimbe wimbo wako, tukijaribu kutoa mawazo tofauti na wewe basi ni watoto wa vigogo, what a Great thinking by a Great Thinker1 Bwa! ha! ha! ha
!


es!
 
- Duh! wote ni lazima tuimbe wimbo wako, tukijaribu kutoa mawazo tofauti na wewe basi ni watoto wa vigogo, what a Great thinking by a Great Thinker1 Bwa! ha! ha! ha!
es!

Angalia hapa chini:

Humu ndani mmmoja kati ya makamanda wetu hapa JF ni WILLIAM MALECELA ambaye if anything regardless whether mnakubaliana naye au hamkubaliani naye lakini we always judge his views lakini si kwa sababu ni mtoto wa Mzee Malecela.

It has got nothing about great thinkers or whatsoever. The truth and only the truth will set this country free.
 
 


- Wakuu naona mjadala umewaka moto, inapendeza sana, sisi wengine ngoja tuangalie kwa pembeni tu, ndugu yangu GT saafi sana naona unasimamia unachoamini, keep it up!

- Mkuu Wacha, mimi ndiye William Malecela, vipi kuna tatizo hapo?

Ahsante.

William.
 
Angalia hapa chini:



It has got nothing about great thinkers or whatsoever. The truth and only the truth will set this country free.

- Kumtukana Januari kwa sababu ni mtoto wa Makamba ndio the truth, na baadhi ya Great Thinkers kushauri kwamba hana haki kisheria kugombea ubunge kwa sababu baba yake ni Mkamba ndio the truth hito ya ku-set this country free! Duh! Great Thinkers sometimes bwana inatia kinyaa sana!


- Muacheni kijana Januari agombee ubunge ni haki yake kikatiba kama mwananchi, kama wewe ulivyonayo kama na wewe ni raia wa Tanzania kama mimi na yeye! na wewe, au?

es!
 

Unaweza kunionyesha nilipomtukana January Makamba?
 
Hakuna shaka kuwa kila mtanzania anayo haki ya kushiriki katika siasa katika Taifa letu Tanzania hivyo kwa January naye ni safi tu kufanya hivyo
 

Vipi mbona hot au wafikiri alias name zimetupiga chenga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…