CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.

Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....

Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na raisi kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....

Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.

Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......

Mzee shelukind nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wae waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......

Naona wanajf wameshaanza kujitokeza.....je tumuunge mkono january???

Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa janvini.....
Angalia hapo nilipobold kama mtu ni wa hivyo nafikiri he is not competent maana akisha pata atafuata atakayokuwa anatumwa na huyo na kwa maana hiyo hataweka interest za wapiga kula wake, bali za huyo aliyemtuma!! Hafai kwa sababu hiyo kwa maoni yangu, na pia kama katumwa na raisi nafikiri pia siyo sahihi huyo rais amepewa kuteuwa watu 10 sasa kwa nini kama anamtaka asimteuwe!!
 
Ndio FMES akija kugombea jimbo la Mvumi ambako Malecela aliwahikukataliwa[ kama Makamba alivyokataliwa Bumbuli] na akatanguliza kugawa hela za EPA kutoka kwa mafisadi papa ; kwavile wananchi sikuhizi hawadanganyiki watamkataa baada ya kuvila vijisenti vyake.!!

- Mara malafyale na kwamba mimi ni mtoto wa mfalme, kwenda vijini kudai mkia sijui wa ufalme, kepeleka Kyela wazungu mahomeless, mara kupeleka mafuta ya biodiesel, mara kusaidia shule ya msingi vipi unafikiri wabongo wanatoa ubunge kwa watu waliobadili uraia?

- Bwa! ha! ha!mi-foreigner bwana, ndio maana watu huko Tukuyu na Kyela hujilia tu hela zako mbuzi na hakuna wa kukupa ubunge, eti malafyale ndio nini wewe acha upuuzi huo wa kulilia mikia fanya kazi wewe! utaadhirika mjini hapa kama bado!Bwa! ah! ha!

Respect Malafyale Bwa! ha! ha!

FMEs!
 
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.

Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....

Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na raisi kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....

Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.

Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......

Mzee shelukind nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wae waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......

Naona wanajf wameshaanza kujitokeza.....je tumuunge mkono january???

Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa janvini.....

Uchambuzi wangu ni kuwa hili ni jungu tu. Kisiasa tunaita pre-emptive strike

omarilyas
 
- Duh! What a reporting!

es!
 
january ameshindwa kufika pake kwenye shule kama alivyoahidi,wadau wamekasirika na kutawanyika,hakutoa taarifa yoyote,inasemekana ameshtushwa na mapokezi mabaya,alikuwa amempa kazi mwenyeketi wa ccm vijana kumpigia kampeni na amekuwa akitumia pesa bila ufanisi,inavyoonekana ameingizwa mjini ....
 
Like father like son. Ni mzee Makamba mwenyewe aliyewahi kusema eti watoto wa viongozi ndio wanastahili kuchukua uongozi na kwamba kama baba yako ni mfagizi au kinyozi basi na wewe mtoto utaishia kuwa mfagizi au kinyozi.

Endapo tunaamini mtoto hurithi toka kwa baba, then huyu January pia hana sifa za uongozi kama ilivyo kwa baba yake. Na kama baba aliwahi kushindwa kwenye jimbo hilo hilo, sasa mtoto atawezaje? It's pure logic.
.
'Like father like son' na 'like mother like doughter' ni misemo too based on genetics lakini kuna mambo ya mutations, Wazazi ni wema kabisa wanakuja pata watoto mabaradhuli ajabu!. Pia inatokea wazazi wa ajabu kabisa wakapata watoto wema wa kushangaza.

Kwa January, naomba tumjudge on his own merit. Nimemsoma kwenye thead ya 'the next generation leaders na kumuona akichat na Obama siku JK alipokwenda kujikomba pale White House, mimi binafsi kijana huyu namkubali kama ninavyomkubali Nape. Hawa ndio generation itakayokuja kuibadili CCM.

Japo siipendi CCM, its a fact 2010 ni CCM tena, then better have better CCM than bank on the waste.

I can see hope for change in him!, japo mtoa hoja katoa hoja na kiroja juu yake!.
 
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.

Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....

Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na raisi kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....

Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.

Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......

Mzee shelukind nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wae waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......

Naona wanajf wameshaanza kujitokeza.....je tumuunge mkono january???

Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa janvini.....

Wana JF tumuunge mkono au tumpinge haitasaidia mwisho wa siku mafanikio yake yatatokana na wananchi wa bumbuli wenyewe (wapiga kura) kuamua kama wanamuunga mkono
 
january ameshindwa kufika pake kwenye shule kama alivyoahidi,wadau wamekasirika na kutawanyika,hakutoa taarifa yoyote,inasemekana ameshtushwa na mapokezi mabaya,alikuwa amempa kazi mwenyeketi wa ccm vijana kumpigia kampeni na amekuwa akitumia pesa bila ufanisi,inavyoonekana ameingizwa mjini ....

........Kwanza kabisa January inabidi ajue kupata ubunge si kitu cha siku moja, watu huwa wanajiandaa muda mrefu tu.
Muhimu ajitahidi kuwa jirani na watu wa jimboni mwake. Awe mpenzi wa kutembelea tembelea watu wa jimboni mwake, atoe misaada kwa sana bila kujulikana kwamba anataka kugombea ubunge.Baada ya muda sasa ndio ajitokeze kugombea huo ubunge.
Ubunge uliokuwa rahisi kupatikana ni wa kuteuliwa.
 
Ubunge uliokuwa rahisi kupatikana ni wa kuteuliwa

na wa kulala bila nguo bagamoyo'sharti ukubali masharti best
 
Acheni longolongo...Inaelekea january ni tishio sana maana akitaka kufanya kitu lazima watuw atake kumpinga kamavipi na wewe basi nenda kagombee kwenye jimbo lenu kani kuna mtu aliyekatazwa...waachieni wananchi wa Bumbuli huko Soni hii issue siyo kukaa na kumdiscuss Next generation leader!!...

Inamaana leo FMES akitoka akasema anagombe jimbo la chamwino mtamkataa kwa sababu ni mtoto wa Malecela?....
Habaniwi mtu hapa..it seems the main point still haijaingia kwa your head..
Any way...watu kama nyie lazima muwepo tu,ila tutawanyoosha tu kwa hoja za msingi.
Kama kweli January katumwa na Rais kuchukua Jimbo me narudi kuleee kwenye sababu 51 za kwanini JK asigombee tena na ku add hii sababu.
 
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.

Acha uwongo! mtu kwenda kwao ndio kujinadi?

Pili hebu jifunze KISWAHILI kabla ya kuja kutuandikia madudu yalojaa errors zisizoeleweka!

Hivi kwa mtu mwenye nafasi yake na aliyezaliwa kwenye familia ya Mwanasiasa na ambaye anafanyakazi ya Kiserikali kweli aende Nyumbani kwao bila kukutana na watu tena kwa nafasi yake itakuwa sawa?

January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.

Uwongo mwingine ulioegemea kwenye UDINI!

rudi tena kwa huyo anayekupa hizi taarifa kisha utuletee FACTS badala ya kuleta stori ya Kuunganisha.

Pili ukweli ni kuwa hakusubiri watu kuswali bali yeye mwenyewe aliswali na baada ya hapo waumini walimuomba kama ana lolote la kusema na akasema kuwa nafasi hiyo si yake bali ni ya Imam na baada ya Imam kuinsist na kwa mila na desturi za watu wa Pwani Mdogo kwa Mkubwa hakui na hubishi hivyo alisimama na kusalimia waumini mle ndani

Na pia alisema wazi kuwa SALAM ZAKE ZISITAFSIRIWE KAMA KAMPENI yeye kaja kuswali kama waislamwengine na mindhali leo ilikuwa Ijumaa sasa tatizo liko wapi?

Unazungumzia Piki Piki..hivi le mtu Kama ES au Mwanakijiji au Pasco akienda Kijijini kwao akatoa Computer au Baiskeli ndio atakuwa ana kampeni? kama kutoa kusaidia kwenu ni kampeni basi wengine tusingejenga zahanati na shule mbili tatu ili wananchi wapate matunda ya sie wengine kutafuta na kutumia nafasi tulizopata kuwanufaisha!

Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.
[/QUOTE]

Once again umerudi na WAISLAM! lakini pamoja na hayo kutoa au kuchangia ujenzi ni jambo la kawaida...na kwa Musilam ni sawa ni kutimiza moja kati ya NGUZO 5 za uislam na pili tofauti ha huyo aliyekutuma hapa kuleta huu UDAKU, JM katoa kuchangia elimu bosi wako yeye anatoa kwa Ajili ya KIMADA WAKE pale mtaa wa ALLY KHAN!!!
Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....
Umesema amekumbwa na vikwazo vingi lakini ungeturahisishia ukatupa orodha ya Vikwazo...kwa utaratibu ufuatao:

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

Pili Mapokezi Mabovu yepi? Mbona Jezi na mipira zimechukuliwa? na si hivyo tuuuu infact jamaa wanalalamika kuwa JEZI za RANGI za YANGA zimekuwa nyingi kiasi cha kuwa wanataka Jezi rangi Mchanganyiko...sasa wewe hapa linalokuudhi nini?

Hivi unataka vijana waendelee ku piga NDIMU kuhu wako vifua wazi?

Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na raisi kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....

Ni wapi na lini JM kasema alitumwa na Rais?

Na ni lini Mzee Makamba alitimuliwa na na wananchi?

na ni lini Mzee Makamba alienda kumnaji JM?

Mjomba tuletee FACTS nasi tutakupa majibu

Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.
baseless allegations
Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......
If anything huyo aliyekutuma inaelekea hajakupa FACTS zote if anything cha ajabu hajakuambia jinsi gani naye habari zake zimeleak to the extent anachanganyikiwa. Mbona husemi kuhusu pesa za DAMU za watu alizokatiwa na zingine kaamua kuzificha kwa jamaa zake? acha hizo wewe!
Mzee shelukind nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wae waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......
You mean KIBONYEZO?
Naona wanajf wameshaanza kujitokeza.....je tumuunge mkono january???

Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa janvini.....

huwezi kupata uchambuzi wakati umeleta UTUMBO

lete facts au mwambie jamaa yako akupe facts then njoo

this in short IMEFAIL
 
- Mara malafyale na kwamba mimi ni mtoto wa mfalme, kwenda vijini kudai mkia sijui wa ufalme, kepeleka Kyela wazungu mahomeless, mara kupeleka mafuta ya biodiesel, mara kusaidia shule ya msingi vipi unafikiri wabongo wanatoa ubunge kwa watu waliobadili uraia?

- Bwa! ha! ha!mi-foreigner bwana, ndio maana watu huko Tukuyu na Kyela hujilia tu hela zako mbuzi na hakuna wa kukupa ubunge, eti malafyale ndio nini wewe acha upuuzi huo wa kulilia mikia fanya kazi wewe! utaadhirika mjini hapa kama bado!Bwa! ah! ha!

Respect Malafyale Bwa! ha! ha!

FMEs!

Bado sijajua hasa dhamira ya FMEs hasa alipotumia jina langu la Malafyale kwenye article yake hii na Bulesi alikuwa na maana gani?

Je anahisi kuwa Bulesi kabadili jina na ndiye huyo huyo sometimes hapa huwa anatumia jina la Malafyale au?

Naomba ufafanuzi wa ni kivipi jina langu la Malafyale limetumika mara kadhaa kujibu article ya Bulesi?

Nasubiri jibu mkuu FMEs!
 
........Kwanza kabisa January inabidi ajue kupata ubunge si kitu cha siku moja, watu huwa wanajiandaa muda mrefu tu.
Muhimu ajitahidi kuwa jirani na watu wa jimboni mwake. Awe mpenzi wa kutembelea tembelea watu wa jimboni mwake, atoe misaada kwa sana bila kujulikana kwamba anataka kugombea ubunge.Baada ya muda sasa ndio ajitokeze kugombea huo ubunge.
Ubunge uliokuwa rahisi kupatikana ni wa kuteuliwa.

Nakuunga mkono Pretty,swali kwa wakazi wa Lushoto kwa mheshimiwa January liwe rahisi tu "Kabla hujaja kugombea Ubunge Lushoto ilikuwepo na itaendelea kuwepo,ULIIFANYIA NINI LA MAANA LUSHOTO KABLA HUJAAMUA KUGOMBEA hadi tukuamini kama UTATUFANYIA MEMA ZAIDI UKIPEWA RIDHAA YETU YA KUWA MBUNGE"?

Majibu yake hapo mkiona yanafaa hasa AKIONYESHA YALE MEMA ALIYOWATENDEA BASI MPENI KURA maana hapo kuna matumaini kuwa ATAYATENDA MEMA ZAIDI MKIMPA UBUNGE!

Akishindwa kuonyesha KWA VITENDO YALE ALIYOWATENDEA KABLA HAJAAMUA KUGOMBEA UBUNGE(sio kujibu kwa maneno)mumtimue arudi Dar kuendelea na kazi nyingine!
 
Acha uwongo! mtu kwenda kwao ndio kujinadi?

Pili hebu jifunze KISWAHILI kabla ya kuja kutuandikia madudu yalojaa errors zisizoeleweka!

Hivi kwa mtu mwenye nafasi yake na aliyezaliwa kwenye familia ya Mwanasiasa na ambaye anafanyakazi ya Kiserikali kweli aende Nyumbani kwao bila kukutana na watu tena kwa nafasi yake itakuwa sawa?

Uwongo mwingine ulioegemea kwenye UDINI!

rudi tena kwa huyo anayekupa hizi taarifa kisha utuletee FACTS badala ya kuleta stori ya Kuunganisha.

Pili ukweli ni kuwa hakusubiri watu kuswali bali yeye mwenyewe aliswali na baada ya hapo waumini walimuomba kama ana lolote la kusema na akasema kuwa nafasi hiyo si yake bali ni ya Imam na baada ya Imam kuinsist na kwa mila na desturi za watu wa Pwani Mdogo kwa Mkubwa hakui na hubishi hivyo alisimama na kusalimia waumini mle ndani

Na pia alisema wazi kuwa SALAM ZAKE ZISITAFSIRIWE KAMA KAMPENI yeye kaja kuswali kama waislamwengine na mindhali leo ilikuwa Ijumaa sasa tatizo liko wapi?

Unazungumzia Piki Piki..hivi le mtu Kama ES au Mwanakijiji au Pasco akienda Kijijini kwao akatoa Computer au Baiskeli ndio atakuwa ana kampeni? kama kutoa kusaidia kwenu ni kampeni basi wengine tusingejenga zahanati na shule mbili tatu ili wananchi wapate matunda ya sie wengine kutafuta na kutumia nafasi tulizopata kuwanufaisha!

Once again umerudi na WAISLAM! lakini pamoja na hayo kutoa au kuchangia ujenzi ni jambo la kawaida...na kwa Musilam ni sawa ni kutimiza moja kati ya NGUZO 5 za uislam na pili tofauti ha huyo aliyekutuma hapa kuleta huu UDAKU, JM katoa kuchangia elimu bosi wako yeye anatoa kwa Ajili ya KIMADA WAKE pale mtaa wa ALLY KHAN!!!
Umesema amekumbwa na vikwazo vingi lakini ungeturahisishia ukatupa orodha ya Vikwazo...kwa utaratibu ufuatao:

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

Pili Mapokezi Mabovu yepi? Mbona Jezi na mipira zimechukuliwa? na si hivyo tuuuu infact jamaa wanalalamika kuwa JEZI za RANGI za YANGA zimekuwa nyingi kiasi cha kuwa wanataka Jezi rangi Mchanganyiko...sasa wewe hapa linalokuudhi nini?

Hivi unataka vijana waendelee ku piga NDIMU kuhu wako vifua wazi?

Ni wapi na lini JM kasema alitumwa na Rais?

Na ni lini Mzee Makamba alitimuliwa na na wananchi?

na ni lini Mzee Makamba alienda kumnaji JM?

Mjomba tuletee FACTS nasi tutakupa majibu

baseless allegations

If anything huyo aliyekutuma inaelekea hajakupa FACTS zote if anything cha ajabu hajakuambia jinsi gani naye habari zake zimeleak to the extent anachanganyikiwa. Mbona husemi kuhusu pesa za DAMU za watu alizokatiwa na zingine kaamua kuzificha kwa jamaa zake? acha hizo wewe!
You mean KIBONYEZO?

huwezi kupata uchambuzi wakati umeleta UTUMBO

lete facts au mwambie jamaa yako akupe facts then njoo

this in short IMEFAIL[/QUOTE]

Game Theory siku hizi umekuwa msemaji wa January Makamba? Au Game theory ndiye January Makamba akitumia jina hailo hapa JF?

Kama Game Theory sio January Makmba na kama sio wala msemaji aliyetumwa na January kumzungumzia haya madai hapa JF please tunakuomba nyamaza na muache January Makamba mwenyewe ajibu haya madai mazito yanayokiuka hata katiba ya CCM ya kuanza kampeni mapema!

Tunamuhitaji January mwenywe ajibu haya kama alivyokuja Mwakalinga kujibu zile tuhuma,kama Game Theory hamna uhusiano na January na kama hajakuteua kuw amsemaji wake huna haki wala wajibu wa kumzungumzia!

January come foward to clear this mess!
 
Nakuunga mkono Pretty,swali kwa wakazi wa Lushoto kwa mheshimiwa January liwe rahisi tu "Kabla hujaja kugombea Ubunge Lushoto ilikuwepo na itaendelea kuwepo,ULIIFANYIA NINI LA MAANA LUSHOTO KABLA HUJAAMUA KUGOMBEA hadi tukuamini kama UTATUFANYIA MEMA ZAIDI UKIPEWA RIDHAA YETU YA KUWA MBUNGE"?

Majibu yake hapo mkiona yanafaa hasa AKIONYESHA YALE MEMA ALIYOWATENDEA BASI MPENI KURA maana hapo kuna matumaini kuwa ATAYATENDA MEMA ZAIDI MKIMPA UBUNGE!

Akishindwa kuonyesha KWA VITENDO YALE ALIYOWATENDEA KABLA HAJAAMUA KUGOMBEA UBUNGE(sio kujibu kwa maneno)mumtimue arudi Dar kuendelea na kazi nyingine!

kwani kumchagua mtu lazima awe amekutendea mema?kwa mtindo huo, rushwa na takrima hazitaisha
 
Sina maana kuwa awatendee mema individuals;nina maana kuwa kachangia nini kwenye kuleta maendelea kwenye jimbo la Lushoto kabla hujaamua kugombea!

Au tunachangua tu Mbunge bila kujua kwanza alikuwa ana mchango gani kuhakikisha jimbo lake lina piga hatua kimaendeleo?
 
Mto wa Malima,Kawawa,Mwinyi wote wabunge!naye January anataka kijiunga na hii elite group!Ndio bongo ya sasa
 
NO NO NO NO NO NO. Huu hauwezi kuwa uchambuzi makini. Tusianze majungu hapa JF. Leteni facts. Mtoa mada anasema je! tumuunge mkono January Makamba. hapo ndipo naanza kuona kupotoka kwa mawazo. Kwani sisi wote wana JF tupo katika jimbo hilo, au sote tuna msimamo sawa wa kutazama mambo? Hapana, hapo sikubaliani!!

January Makamba, kwanza ana umri gani? Je! Ni chini ya miaka 18?. Kama si chini ya miaka 18, ni mtu mzima sasa. Baba yake kuwa Katibu Mkuu wa CCM haimaanishi kwamba anayoyafanya baba yake, Mzee Makamba, na January atayafanya. No No No wapendwa!!. Ila kama ameanza kutoa rushwa na mambo mengine machafu, hapo kweli wananchi wamchuje!. Lakini, tusifike mahali tukaanza kusema watoto wa viongozi waliopo nao ni wabaya, hata kama baba zao wame prove failure!!.

Nadhani, nimwonye January , kama kweli ameanza huo uchafu, ulioelezwa na mtoa mada, basi, atajichafulia bure. Watanzania wengi tumevua miwani, tunaona vyema. Lakini kama ni majungu, asonge mbele, apeleke changamoto.

Kwani muda wa kujinadi umefika? Kama amefanya hivyo bila shaka amekosea na anahitaji kuelimishwa kuwa ampe nafasi mbunge wa sasa amalize kazi zake, kuanza kuingia katika muda huu ni kumvuruga aliyepo ili aache kutekeleza ahadi zake. Januari ajiamini kuwa wakati ukifika watampima kulingana na mikakati yake, na wananchi wa Bumbuli wana haki ya kuamua
Kwa sasa nawashauri wana Bumbuli wamuelimishe Januari kuwa muda haujafika asiwe na pupa
 
Sina maana kuwa awatendee mema individuals;nina maana kuwa kachangia nini kwenye kuleta maendelea kwenye jimbo la Lushoto kabla hujaamua kugombea!

Au tunachangua tu Mbunge bila kujua kwanza alikuwa ana mchango gani kuhakikisha jimbo lake lina piga hatua kimaendeleo?

Una maana huu moyo wa kujitolea uwe ni kwa malengo ya kuwa kiongozi baadae, je asiye na mali ya kutoa/ kulipia shughuli za maendeleo ndo iwe ndoto kwake kutengeneza rekodi ya kusema wakati anagombea?
 
Back
Top Bottom