Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Hakuna jipya hapo! Jezi za wananchi ndiyo habari ya mjini kwa sasa.
hivyo viatu sasa..sijui walikuwa hawajui au ndo hawajui kuwa hawajui..viatu vichafu na rangi kama maharage ya rosekoko a.k.a combact [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Wachawi wako kila corner sio lazima wapae na ungo
 
Ziwe nzuri au mbaya ila njoo apa Makoroboi Mwanza niku uzie 9000 kwa bei ya jumla.
 
Tukiachana na jezi kali za mnyama Simba,haki ya Mungu Hamisa ni mkali huyu mtoto aisee.
Haha umeniwahi mkuu, tena na uzi wa mnyama umemfanya awe wa [emoji91][emoji91] balaa ..
 
Nawashangaa sana watu wanaoshangaa na kushadadia eti jezi za Simba SC zilivuja, wakati ni jambo la kawaida tu. Huko Duniani ambapo soko la mpira lilipo, jezi zao huwa tunafahamu zinakuwaje kabla hata hazijathibitishwa. Ni kawaida hata sioni cha ajabu hapo.
 
Back
Top Bottom