Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Nadhani sasa twatakiwa kujipanga nao wasije wakachakachuliwa bungeni!
 
Ongera jj mnyika, hayo ndo mabadiliko

vipi kawe kwa dada yetu halima mdee
 
Asante Sana kwa ushindi wa kishindo mnyika, nenda ukatufanyie kazi
 
Anasema anawaahidi vijana waliomsaidia kwa kuacha hata kazi zao na kumuunga mkono, anasema wajiamini nao wanaweza kuwa kiongozi kama yeye alivyobahatika.
 
mnyikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 


Hatufahamu matokeo ya kinondoni, tetesi chadema tuna kura za kutosha kushinda, hakuna organizer kushinikiza people power to prevail!!!!
 
Malaria Sugu yu wapi jamani

Isije akawa anasaidia kuchakachua kura za Urais wakati sis tunashangilia huku. Wakuu mlioko bongo jitahidini kulinda kura za Rais wetu mtalajiwa Dr. Slaa!!
 
Hii inamaanisha hata CUF wangeungana na CCM, bado kijana angewahundumula!:doh::doh::doh:

hommie hizi lugha zipo kwenye CV yako? au ndo zile zisizo rasmi hazina istilahi:doh:
 
Atawatetea wananchi katika masuala ya ardhi
 
Anasema anawaahidi vijana waliomsaidia kwa kuacha hata kazi zao na kumuunga mkono, anasema wajiamini nao wanaweza kuwa kiongozi kama yeye alivyobahatika.


Mkuu chonde chonde......hebu do ze nidiful kwa kwenda sijui oysterbay wanakotangazia matokeo ya mpiganaji Mdee
 
Jamani Mnyika ameshatangazwa mshindi greeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeet CHADEMA Greeeeeeeeeeeeeeeeeet Tanzanians esp those who voted 4 Chadema
 
Viva John Mnyika. Leo nitalala, juzi na jana nilishiriki kulala na nyie huko Loyola kupitia Runinga hadi nikawa nandondoka usingizi. Sina la kusema, shinikizeni na kawe, ukonga na segerea, pengine hayo mawili ya mwisho Chadema, ingekuwa ssm si wangeshatangaza?
 
Wamebana weeeeeee lakini mwisho wameachia tumepata kamanda huko mjengoni...
 
Bravo Mnyika now tunategemea ahadi zako.....Bravo CHADEMA
 
Saaaaaaaaffffiiiiiiiiiii saaaaaaaaaaaannnnnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ha ha ha ITV Masakoa anasema eti hajui mshindi ni nani? ha ha ha hajui ni nani alikuwa anazungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…