Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
fireworks from the fans.....................
police interfere.............
play continue indefinitely till ccm concedes defeat..................
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa
KURA:
CHADEMA -
CCM -
CUF -
Operesheni zimehamishwa toka gesti hausi mpaka kwenye vyumba vya kuhesabia kura....
And the winner is...........................................:nono::nono::nono:
Nimesikia issue kule kwa mramba ni kwamba kapitwa kwa kura mbili na hataki kukubali.....Selasini kampiga chini
Wakuu, jamaa wanazungusha... Hawasomi... Nipo hewani tu
hahahahah chama cha dovutwa UPDP?Aaaa Mkuu, mbona chama changu hakipo hapa wakati na sie tulisimamisha mgombea... lol...
Hawa jamaa wanaweza kusababisha vurugu zisizo za lazima; wana-delay makusudi tu
pICHA yako kali mkuu. Safi sana...Naona wanleta mchezo
wanazungusha antena? wanasomea wapi? Traventine?
Hivi kutangaza matokeo inachukua siku saa nzima!!!
Dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa
KURA:
CHADEMA -
CCM -
CUF -
Umenifurahisha sana nasikia chama chenu kilijitoa au si kile cha Dovutwa?Aaaa Mkuu, mbona chama changu hakipo hapa wakati na sie tulisimamisha mgombea... lol...