CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

Thibitisha Mungu yupo.
 
Nimemkimbia Zurri wapi?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Maswali alikuliza huko nyuma ukazunguka tu kichaka hukujibu... Usiniambie niquote au nikupe namba ya post maana uzi upo na unaweza pitia mwenyewe ukaona ulipokwepa.


Ndiyo naweza. Vipi wewe unaweza kuthibitisha kuwa hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alikufata Pm ndo akakupa huo ushauri,,Mkuu hiki ulichokifanya sio sawa,,,mwanaume wa kweli hawezi kuwa hivyo amekufata kwa siri umekuja kumuanika hadharani siku nyingine utakosa wa kukushauri kwa mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko nyuma wapi kusiko na link, quote wala post number?

Mbona unaandika kama ngumbaru asiyejua kusoma, kuandika na kuhesabu katika zama hizi za internet hyperlink?
 
Huko nyuma wapi kusiko na link, quote wala post number?

Mbona unaandika kama ngumbaru asiyejua kusoma, kuandika na kuhesabu katika zama hizi za internet hyperlink?
Mkuu, unapaniki?

Sina haja ya kukuletea post number au quote... Wacha uvivu rudi ukasome ujibu maswali uliyokwepa.

Pia jibu nilichokuuliza hapo usikwepe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha mkuu katoa utetezi wa ajabu sana kunasibisha neno safi (takata) na takatifu, clean na holy hata kama ndiyo kutaka kuonekana wewe ndiyo mtabe ila siyo kwa kiwango hicho
Haha...

Jamaa huyu Kiranga anaonaga yeye ni mtabe na watu humu wamemjaza kichwa kuwa ni mtabe kumbe hamna lolote..

Akiona unamshinda hoja, anapaniki na anakuja na misamiati migumu migumu kuonesha kwamba kasoma na anajua vitu kumbe ziro tu kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamusi Kuu ya Kiswahili

Baraza la Kiswahili la Taifa. Longhorn Publishers Limited. Toleo la 2015.

Ukurasa wa 977

Takata

Kitendo cha kitu kama nguo kuwa safi bila hata uchafu kidogo.

Safi, kuwa safi

Takatia, takatisha, takatika n.k
Kamusi toleo la tatu la Taasisi ya taalum ya lugha ya kiswahili(TATAKI) iliyokuwa ikiitwa Taasisi ya uchunguzi wa kiswahili(TUKi) ambayo ndiyo chombo pekee chenye kutoa kamusi za lahaja sanifu ya kiswahili ambayo inatambulika duniani kote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujuma zenu juu ya Kiranga si sawa kabisa

Mtu kila siku anatoa ushahidi kuwa kakulia katika familia ya kikristo

Utaratibu wa kila siku wa kikristo nyumbani kwao ulikua kama Pumzi_(kama asemavyo mwenyewe kwenye ubora wake)

Leo mnaona ajabu kwa yeye kutumia kaneno kadogo tu

Tena kwa kujilazimisha ili mtu amuelewe ishakua Tabu.!

Tena Kiranga ni mtu na moyo mwema kabisa atakupaje ushauri mtu wa mapokeo haya ya kidini bila vielement vya maneno ya kidini.! Jamani kuweni waungwana

Kiranga anapenda kucheza kama reptilia majini yumo nchi kavu yupo_shida inaanzia hapo

Dhana kama hii ikitumika kuthibitishia uwepo wa chanzo fulani anaona ni contradiction

Ila Mimi siungi mkono mumemhujumu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua ww hujui maana na scope ya mantiki. Vitu vingine mvisomage kwanza msiwe mnaparamia kila kitu kwa kujifnya ma-all knowing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatuthibitishiaje kwamba upeo wako wa kufikiri uliotumia hapa ni zaid kuliko unaotumiwa na mwanamantiki yeyote??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…