Anacheza lini mkuu?hapana kaka...
CafCAF au Ligi?
Hicho sio kikosi cha kwanza cha Zambia, bali ni timu ya Taifa kwa wachezaji wa ndani tu, kikosi kamili unaweza kukipata kwenye link hii AFCON 2019 Qualifiers: Zambia head coach Vandenbroeck confirms squad for Mozambique clashKwenye hicho Kikosi cha Chipolopolo mbona sioni jina la Chama au Triple C au macho yangu?
Ahsante kwa msaada wako.Hicho sio kikosi cha kwanza cha Zambia, bali ni timu ya Taifa kwa wachezaji wa ndani tu, kikosi kamili unaweza kukipata kwenye link hii AFCON 2019 Qualifiers: Zambia head coach Vandenbroeck confirms squad for Mozambique clash
Katika top 20 ya national team hakuna mchezaji wa Nkana, bali kuna Triple C wa simbaHicho sio kikosi cha kwanza cha Zambia, bali ni timu ya Taifa kwa wachezaji wa ndani tu, kikosi kamili unaweza kukipata kwenye link hii AFCON 2019 Qualifiers: Zambia head coach Vandenbroeck confirms squad for Mozambique clash
Kwaiyo kocha wao wa ZAMBIA hana akirii ee ndio mana akampa vice captain yeye nakuwaacha hao akina mijichama kibao?We!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Hapo gongo wazi amekuelewa kwamba hao nkana hawana hata mchezaji mmoja anayecheza zambia national teamHicho sio kikosi cha kwanza cha Zambia, bali ni timu ya Taifa kwa wachezaji wa ndani tu, kikosi kamili unaweza kukipata kwenye link hii AFCON 2019 Qualifiers: Zambia head coach Vandenbroeck confirms squad for Mozambique clash
Mkuu hapo nimekuelewa, asante!Hicho sio kikosi cha kwanza cha Zambia, bali ni timu ya Taifa kwa wachezaji wa ndani tu, kikosi kamili unaweza kukipata kwenye link hii AFCON 2019 Qualifiers: Zambia head coach Vandenbroeck confirms squad for Mozambique clash
Sijui kama unakumbuka historia ya Simba vs Mufulira Wonders. Historia ina kawaida ya kujirudiaWe!!!we!!! kule zambia ndio soka lilipozaliwa afrika. Chama angekua kiboko kuliko aliowaacha kule wasingekubali kuja kucheza mchangani huku...kule kuna mijichama iliyokubuhu
Timu inakula mwewe..Manara anawadanganya njaa njaa..Bado wapo wanapiga magoti Manji arudi. Njaa sio mchezo. Hata Sumbawanga wamekwenda kwa mafungu wapate gate collection.
Hii dharau itawaponza. Simba atafia Kitwe. Dar itakuwa sare yoyote.Ki Msingi hii Round ni kama tushapita tu,
Kuokoa Muda na Fedha CAF wangetupangia tucheze na timu ingine ya raundi ijayo
Hawa wasomali hawajawahi shinda hizo goli ndio maana kinawauma sana kuona mnyama kapiga mtu nanewanateseka sana haswa na matokeo ya uswatini..
Hapa harudi anatafuta na udongo kabisa ndimu haitoshiHata kusoma tarehe inakushinda ilikuwa tarehe 29 July 2018. Hivi julai ndio mwezi wa sita kwa kiswahili.
Wacha ubishi wa kijinga. Ukweli hauwezi kubadilika kwa kubadilisha tarehe.
CHAMA ni vice captain wa Chipolopolo.
Hupendi kachukue ndimu upunguze kichefuchefu.Katafute link nyingine.
Nani ateseke kwa mikwara ya dakika moja. Haa Mbabane hata Mbao anawapiga.kwani unateseka?
Yawezekana wewe ni mdogo , huko nyuma Nkana red devils wamewahi kuwatoa Simba mara mbili. Kwa hiyo mechi hii ni mbaya zaidi kwa Simba kuliko NkanaNakuamini Mnyama wangu SIMBA SC najua huwezi kuniangusha Nkana wameingia pori lenye mnyama mkali sioni ni wapi watatoka kujiepusha kuliwa na SIMBA
Kila la kheri chama kubwa Simba sc [emoji123][emoji123][emoji123]