Tz U-17 Imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Afrika kwa kuwalazimisha sare ya tasa na congo-brazaville.
HONGERENI VIJANA WETU.
Wote wapuuuzi tuSimba Na Yanga sawa Na CCM Na Chadema
Sijui kwa nini ila nahisi wewe uko Sahihi.....tumetolewa.!Mbona wanasema hata katibu wa TFF.... Amedhibitisha kwamba tumetolewa... Kwenye dakika Tisini wakaongeza dakika mbili..... Ndani ya hizo dakika ndo tukafungwa goli moja....
Hebu Acha uongo!Tz U-17 Imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Afrika kwa kuwalazimisha sare ya tasa na congo-brazaville.
HONGERENI VIJANA WETU.