Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Imekuaje tena jamaniiiiiiii????????????????????
 
Tz U-17 Imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Afrika kwa kuwalazimisha sare ya tasa na congo-brazaville.
HONGERENI VIJANA WETU.

Nadhani wewe ni UKAWA ...mmezoea kukurupuka kwa kujipa matumaini yasiyokuwepo....ni jambo baya kutumia mtandao kutuma habari za uongo na zinazogusa hisia za mamilioni ya watu...ulichoandika ni uongo...Serengeti boys imelala 1-0 na hivyo kutolewa kwa goli la ugenini...
 
Mbona wanasema hata katibu wa TFF.... Amedhibitisha kwamba tumetolewa... Kwenye dakika Tisini wakaongeza dakika mbili..... Ndani ya hizo dakika ndo tukafungwa goli moja....
 
Tumepigwa kimoja, kwa hiyo Magoli ya ugenini yametufanya tushindwe kufuzu. Inasikitisha
 
Tumefungwa moja. Tumetolewa kwa magoli ya ugenini. Hakika mechi ya kwanza ni kujutia
 
Wamejitahidi hata hivyo pongezi kwao..lugha ya mpira tunasema wabebakwa lakini kwa tabu sana
 
Mbona wanasema hata katibu wa TFF.... Amedhibitisha kwamba tumetolewa... Kwenye dakika Tisini wakaongeza dakika mbili..... Ndani ya hizo dakika ndo tukafungwa goli moja....
Sijui kwa nini ila nahisi wewe uko Sahihi.....tumetolewa.!
 
Tz U-17 Imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Afrika kwa kuwalazimisha sare ya tasa na congo-brazaville.
HONGERENI VIJANA WETU.
Hebu Acha uongo!
Kichwa cha mwendawazimu tumefumuliwa!!
 
Jamani mbona sielewi. TV 1 naangalia sasa hivi hapa wanasema tumetolewa kwa goli moja.ukweli niupi?
 
Back
Top Bottom