Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Mbona tumachanganyana jamani?MAJONZI...Serengeti Boys imetolewa, awali tulipata taarifa kwamba imefuzu na mitandao yote ya LiVE SCORE kama unavyoona ukiwemo wa Caf ilionyesha TUMEFUZU, Pia TFF walisema tumefuzu lakini mwisho tena kumekuwa na mabadiliko ya taarifa kwa Wacongo wamefunga bao katika dakika ya 90+2 katika dakika 4 za nyongeza. TUWAOMBE RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Rudi Lumumba kawadanganye!Hongera JPM umeanza na mguu mzuri kwenye soka!!
Heko Nape!!!!
KUMRADHI WANAJAMII FORUM KWA TAARIFA TATANISHI HII NI KUTOKANA NA ERRORS UPDATE.MASAHIHISHO YA TAARIFA.Tz U-17 Imefanikiwa kusonga mbele kwenye mashindano ya Afrika kwa kuwalazimisha sare ya tasa na congo-brazaville.
HONGERENI VIJANA WETU.
Unatia aibu.
Anatafuta kick
ni mturukana kutoka Uganda.
Nadhani mnaona aibu sasa. Mata.ko kweli nyie woteWewe ni mtz kweli?
Utusamehe ndugu ila sijaona aja ya kutumia abuse languangeNadhani mnaona aibu sasa. Mata.ko kweli nyie wote
wametolewa mkuuUnatia aibu.
Achana na hao niamini MimiSasa tumwamini nani wengine 0-0 wengine 1-0
Acha uongoWamefuzu Matokeo 0-0
Acha uongoSi kweli vijana wamefuzu kwa kutoka droo
Tatizo Nape alijiingiza kwenye haya mashindano!!Mwanzoni vijana walikuwa wanashinda kimya kimya tu.
Zilipoanza mbwembwe vijana wakaanza kucheza na jukwaa...Ndio basi tena!!Ukoo wenye gundu,leo ndoa kesho talaka
Acha uongo