Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Congo (1) vs Serengeti Boys (0): Serengeti Boys yashindwa Kufuzu Fainali za Afrika

Wote mlionitangulia kuchangia kwenye hii post mamamaye zenu!!
 
Jamii forum inaanzakupoteza mvuto uzi wa poli huu ni kuvutana tu mara tumefungwa mara tumefuzu wengine tupo mashimoni habari zote tunapata hapa haya mwenye habari kamili naomba
 
Niliyaona haya mapema. Wiki nzima TFF na WATU WA MPIRA wako busy kujadili TIMU ZA KARIAKOO ktk wiki ambayo TAIFA (Serengeti boys) wapo VITANI.
 
Watafuzu kama best looser kama wamefungwa
 
muwe mnapenda kufanya uchunguzi kabla ya kupost humu, serengeti boys ilifungwa 1 - 0 kwa aggregate ya 3-3, hayo matokeo yaliyopostiwa hapo siyo latest, kwakuwa yanaonesha half-time results
 
Baada ya mwaka hao watoto watakapo potelewa hawajulikana
Hili mkuu ndio tatizo
Yaani kuendeleza vipaji ni tatizo kubwa saana.
Airtel,Cocacola wamjitahidi saaan kuibua vipaji,lakini TFF inashindwa ku pick from there as starting point,maana wanakuwa wameishatafuniwa wao no kumeza tu.

Pongezi sana madogo,waacheni wakubwa Zenu wa Mchangani
 
Mpaka ccm itoke madarakani ndo Timu zetu za Taifa zifanikiwe bila hivyo mtalia sana!!!!!!!!!!!!!!!
 
Basi hapa serikal.itasifia weee kana kwamba walikua na mchango sanaa...haya mamb tulitakiwa kwa wakat huu yawe ni mamb ya kawaida ..anyway hongera wadogo zang japo ata mimi sijawah kuwasapot kwa lolote zaid kuwatakia heri tu
 
Back
Top Bottom