Congo DRC, imekuwa kubwa jinga, Tanzania tusijiingize!

DRC ni failed state.
A weak DRC means business kwa washindani wetu.Kenya na Rwanda wanataka kuibypass Tz SGR.Rwanda akiimiliki EASTERN CONGO the game is over!!!Soko lote la BURUNDI NA DRC LITAANGUKIA KWA KENYA,UGANGA NA RWANDA.

📌📌📌Tz ilitakiwa iwe imeshaplani kusimika kibaraka wetu hapo DRC.Na kuwa ready kulitetea soko la CONGO at any cost.
 
Na Rwanda pia.

Pia subiri afe hiyo PK kama hamjauana kule.
Labda hujawahi kufika Rwanda ya Kagame, ni Amahoro na Ikivuguto, lakini chuki zako dhidi ya Watutsi zinakuziba macho.
 
Uwezi kua na jeshi imara kama kwenye ajira undugulization unazidi, kwenye vita unadhani kuna kijana atakuja kwa morale ndo kinacho tokea congo,
 
Hakuna mtu anapigania utaifa wa nchi nyingine.
Ukipigana na adui wa taifa la kigeni ndani ya nchi hiyo ya kigeni, basi huo ni umamluki.
Watu wa DRC hawana uzalendo na nchi yao, hawako tayari kufa kuitetea nchi yao mpaka kwa kiwango cha rais wao.
Sasa wewe kiherehere cha nini?
 
Tz na SA ni makubwa jinga wameaibika sana kwenye uwanja wa vita.M23 imeonyesha udhaifu mkubwa sana wa hizi nchi za kipropaganda.

Tz iache kupigana kisandakalawe tuanze kupigana kwa mikataba tena minonominono.Vijana wakiingia ground wanajua wameenda mzigoni for one thing and thats business.

Huu uzalendo uchwara wa kipindi cha Kusaka uhuru.Haukutusaidia kitu bado mpaka leo tunajifanya MAPAN- AFRICANISTS.Tutakuja kustuka kumekucha.Its now or never!!!
 
Labda hujawahi kufika Rwanda ya Kagame, ni Amahoro na Ikivuguto, lakini chuki zako dhidi ya Watutsi zinakuziba macho.
Watu wengi humu tena wenye uelewa wa kutosha wanawazungumzia nyinyi kwa tabia zenu na hulka zenu zilivyo mbaya.

Yeyote mpenda haki hatowapenda nyinyi kwa ideology yenu. Yaani hamna tofauti na wayahudi jamii ya ashkenazi.

Huo ni upuuzi! Unataka nikufumbie macho? Na ili iweje? Hali ya kuwa mnajaribu kuvuruga amani ya huu ukanda?

Unataka niwapende kwa huo ushetani wenu?
 
Mbona hiiingelei Idiolojia ya HUTU POWER ambayo mnataka kuileta hapa Tanzania?
Hata siijui hiyo!

Labda idadavue hapa!

Hebu iweke!

Na kama nyote mna akili sawa, nyote mnabidi muondolewe kwenye hii nchi.
 
Hata siijui hiyo!

Labda idadavue hapa!

Hebu iweke!

Na kama nyote mna akili sawa, nyote mnabidi muondolewe kwenye hii nchi.
Kwamba Africa ya Mashariki yote itawaliwe na Jamii za Kihutu au kwa kusaidiana na jamii nyingine zenye Idiolojia ya chuki dhidi ya jamii za Kifugaji.
 
Pole sana ndugu yangu,yanayotokea Congo yalitengenezwa wakati wa utawala wa Mabutu, na huku Tanzania Kikweta na Magufuri wakatengeneza, na Samia naye anaendeleza,maana yake kupeana vyeo kichawa na kuwakumbatia wanamuziki,wasanii ambao kazi yao kusifia tu utawala,
Mfano leo hii Rwanda akituvamia,wataenda kupigana CCM na machawa wao,wengi wazarendo ambao wanaitwa wapinzani watabaki kushangilia ili CCM ianguke
 
Kwamba Africa ya Mashariki yote itawaliwe na Jamii za Kihutu au kwa kusaidiana na jamii nyingine zenye Idiolojia ya chuki dhidi ya jamii za Kifugaji.
Kama wana mawazo kama hayo nyote nyinyi watutsi na wahutu ni manyang'au.

Nyote mnabidi muondolewe kwenye hii nchi mpelekwe makwenu mkapigane wenyewe.

Kiu za damu zikiwatosha mtachagua namna ya kuishi.

Mkiona kuuwana ni bora haina shida uwaneni tu!

Sisi tutawafungia mipaka.
 
Dawa yake ni kumrudisha Mwami wa Rwanda ili atawale Himaya yake aliyonyang'anywa na Wazungu kipindi cha Mwami Rwanda Kingdom ilikiwa sehemu yenye AMANI na UPENDO kwa Wahutu na Watutsi.
 
Dawa yake ni kumrudisha Mwami wa Rwanda ili atawale Himaya yake aliyonyang'anywa na Wazungu kipindi cha Mwami Rwanda Kingdom ilikiwa sehemu yenye AMANI na UPENDO kwa Wahutu na Watutsi.
Kwa hiyo maeneo karibu na ziwa Victoria na mto Kagera mpewe?
 
Lame excuses!
Kama kijana mdogo anaitwa Capt Ibrahim Traore , wa Bukina Faso, anafanya maajabu, hata kuwatimua wakoloni na vibaraka wao, huyu Tshisekedi, Kubwa Jinga sijui anakosea wapi
 

Ulitaka TZ ifanye nini kwa faida ipi hasa? Wakati mna huo ushawishi mlipata faida gani hasa zaidi ya kuchukuliwa poa tu.

Congo ni kubwa jinga, utamsaidia hadi lini? Kama hawezi kujisaidia acha aliwe. TZ tukienda kule nasisi tukale tu sio kumsaidia mtu asiyeweza kujisadia toka uhuru.

Hata Congo, Rwanda, Uganda na Burundi wapige collabo tutapiga wote kama ngoma tena kwa mgambo tu.
 
🤣🤣🤣
 
📌FAIDA UTAIONA M23 WAKISHAISHIKA KINSHASA.HIYO MILORI YENU NA SGR ITAKUWA INAISHIA MPAKANI.NA BAADAE MIZIGO ITAKUWA INAPITIA MOMBASA.

📌MIAKA NENDA RUDI MMEKUWA MKITEMBEA NA HISTORIA.WALIOKUWA NA HUO MOYO NA WAMENYOOKA WASHASTAAFU AKINA MWAKIBOLWA.NYIE ENDELEENI KUJITEKENYA MTACHEKA NA KUSAGA MENU.

Tena kuliko kuungana na Znz bora tungeungana na DRC na kuwa linchi likubwaa kama Urusi au USA💪.DRC wana kitu cha kuoffer in return.
 
Mkuu unatafuta kipigo, maana ninyi watusi mnatafuta kisago.
Kama mnafikiri mna mshipa, geuzeni M23, njoo Ngara tuanze mziki.
Ukimya si udhaifu, na huyo bwana anayewa host anajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…