Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa

we nenda kavue samaki ziwa victoria siasa si levo zako!!

ona sasa unachoongea
 
Sidhani kama wataweza hilo
kwan Wakongo na warundi wanaelewa fika kua rwanda inasapotiwa na US,Uk na ufaransa kutibua amani huku wakiiba madini ya mabilioni….

Pia historia inaomesha Rwanda ,Uganda na waasi wa enzi hizo wa mobutu waliwahi kuiangusha serikali ya kingshasa
 
Wanataka kuchafua hali ya hewa EA
 
Ni jambo jema sana
 
Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Subutu arushe mabomu tanzania labda km kashachoka kutawala huyo anapgana na vikosi vya huko huko border na anapgwa kama mwizi
 
Hivi yule mzee wa kofia pana walishazinguana na Mr slimu ule urafiki wa kufanana pua na kimo umeishiaje
Mapema sana washatibuana, mr Slimu bado ana itikadi za msituni ambazo ukombozi kwanza hivyo hana urafiki na mtu usio na maslahi

Kashazinguana na kila mtu kuanzia m7 mpk jirani yake
 
Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Wewe ndg unataka kutuhamisha kwenye mada.
 
Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Kumaamee hao Rwanda hizo ghadhabu zao hawatothubu kurusha hata risasi moja bongo,, kwani hawajasahau ule mziki wa afande mwakiborwa kule Congo na wale viande wao wa m23
 
Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Hiki ni kichekesho, bonyeza nyota kitakuwa cha kwako.

Movie zinakudanganya, yani aache kupigana na adui zake atumie zana za vita kupiga asiye na shida naye? Afu adui ampige na nini?

Kingine usichojua Rwanda hathubutu hata siku1 beto na Tz, atapigwa na ile Rwanda tutaichukua tutaiunga na mkoa wa Kigoma, itakuwa ni wilaya, tutaiita "Mbususu" kutokana na urembo wa wanawake wa Kigali
 
Huwa naona vijana wanatamani kuoa vibinti vya Ki2c nadhani huo ndio utakuwa wakati sahihi wa kujinyakulia hawa wakimbizi watarajiwa ikiwa ni kweli vita itapiganwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…