Kwahiyo mama hakuwa kwenye kundi lolote?Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo;
1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na coverage zikaongezeka sana, yani hadi waombolezaji waliozimia huku mikono ikiwa imeshikilia viroba vya vitoweo.
2. Kwamba msiba unafuatiliwa na watu karibu bilioni 4, sio kauli ya bahati mbaya, message ni kwamba huyu mtu ni mashuhuri sana na italazimika uenzi metendo yake(Offcorse nawateule wake) la sivyo wananchi wanyonge na dunia haitakuelewa.
3. Nyani wanafurahi kufa kwa Bwana shamba bila kujua kesho watakula wapi; hoja hapa wala sio wapinzani, ni kundi lisilofaidika na cheo kipindi Mzee akiwa hai, ndio limepigwa dongo, kwamba hata kama mnafurahi lakini hata hicho kidogo mlikipata kwa ubavu wake.
4. Waraka mrefu wa mema ya JK(Unaozunguka mitandaoni), unaonesha kwamba tunataka kuanza upya, kujenga nchi kwa usawa, ila pia unajibu vitisho vya team iliyokuwa inasifia mambo bila takwimu lakini pia kujibu mapigo kwamba nani atasaidia kujenga miradi mingine
5. Mimi ni Rais lakini mwenye maumbile ya mwanamke, ni kujibu vitisho kwa ujumla wake, lakini pia kuonesha kwamba akiamua anaweza kufanya hata kuzidi mtangulizi wake.
Turudi kwenye makundi ya CCM;
Kundi lililofaidi lakini lenye wasiwasi
Wamo kina Kabudi, Pole pole, Bashiru, Majaliwa na team tano tena 2020; hasa walioshinda bila kupingwa na kura za kwenye mabegi kama kule Kawe... hali yao ni ngumu kuliko maelezo.
Pia wamo waliomnanga JK vibaya mno akiwemo Madelu.
Kundi la waliotengwa licha ya uwezo wao na utendaji wao;
Wamo kina Muhongo, Januar, Nape na Kina Kimei.
Kundi la kuunga Juhudi mkono ;
Kina Covid 19, Katambi, Waitara , Silinde, Mollel na wengine, hawa hawajui nini mustakabali mama akitulia kwenye madaraka hivyo dawa ni kujiunga na kundi la kina Majaliwa.
Swali la msingi hapa; nani anataka kumtisha Rais Samia, au wanatumia umaarufu wa Hayati kutaka kumtisha asifanye lolote mambo yaende business as usual?
Hongera kwa uzi mzuriEwala, well said my friend!!!!
Kuna kundi fulani hivi ambalo ni la hovyo sana lilikuwa chini ya Rais wetu marehemu, walikuwa wakijiona kwamba wao ni wao na hiki kikundi kilikuwa kinamharibiwa hata Mh. Rais.
Kweli kabisa, ili Mama Samia aongoze vizuri lazima hili kundi litokomezwe kabisa, otherwise itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kusimama.
Halafu inatakiwa pia watu waelewe kuwa Magufuli alikuwa binadamu kama wengine, alikuwa na mapungufu kibao ambayo si ajabu aliwaathiri badhi ya watu kwenye chama, Serikalini n.k pamoja na kuwa kuna mengi mazuri pia aliyafanya.
Kwahiyo ukizingatia kuwa group dynamics zipo, hata nae mama Samia atafuata njia yake sio lazima afuate kila kitu cha Magufuli.
Kwahiyo hebu tumpe uhuru Samia, na watu kwenye chama acheni kumtisha Mama Samia, acheni kuibomoa CCM jamani.
A post of the year!Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo;

Njia rahisi ya kuwakomesha endapo watamvuruga ni kuruhusu mchakato wa katiba mpya kuendelea na kupatikana na pia kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi...kuruhusu free democratic movement...kuchunguza matumizi ya serikali ya awamu ya tano...kuwawajibisha wezi kama wapo...kutafuta suluhu za hoja za muungano na kukaa mezani na ZanzibarNa siyo hivyo tu.
Kama mvutano huu ni juu ya "Umakamu", si huyo atakuwa Makamu Rais, au atakuwa ndiye rais mwenyewe?
Au hata Uenyekiti watamnyang'anya mama?
Na hata wakimnyang'anya uwenyekiti, bado anaweza kuwavuruga na lichama lao hata wasijue wanakokwenda.
Sioni sababu yoyote ya kelele zote hizi.
4. Waraka mrefu wa mema ya JK(Unaozunguka mitandaoni), unaonesha kwamba tunataka kuanza upya, kujenga nchi kwa usawa, ila pia unajibu vitisho vya team iliyokuwa inasifia mambo bila takwimu lakini pia kujibu mapigo kwamba nani atasaidia kujenga miradi mingineNchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo;
1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na coverage zikaongezeka sana, yani hadi waombolezaji waliozimia huku mikono ikiwa imeshikilia viroba vya vitoweo.
2. Kwamba msiba unafuatiliwa na watu karibu bilioni 4, sio kauli ya bahati mbaya, message ni kwamba huyu mtu ni mashuhuri sana na italazimika uenzi metendo yake(Offcorse nawateule wake) la sivyo wananchi wanyonge na dunia haitakuelewa.
3. Nyani wanafurahi kufa kwa Bwana shamba bila kujua kesho watakula wapi; hoja hapa wala sio wapinzani, ni kundi lisilofaidika na cheo kipindi Mzee akiwa hai, ndio limepigwa dongo, kwamba hata kama mnafurahi lakini hata hicho kidogo mlikipata kwa ubavu wake.
4. Waraka mrefu wa mema ya JK(Unaozunguka mitandaoni), unaonesha kwamba tunataka kuanza upya, kujenga nchi kwa usawa, ila pia unajibu vitisho vya team iliyokuwa inasifia mambo bila takwimu lakini pia kujibu mapigo kwamba nani atasaidia kujenga miradi mingine
5. Mimi ni Rais lakini mwenye maumbile ya mwanamke, ni kujibu vitisho kwa ujumla wake, lakini pia kuonesha kwamba akiamua anaweza kufanya hata kuzidi mtangulizi wake.
Turudi kwenye makundi ya CCM;
Kundi lililofaidi lakini lenye wasiwasi
Wamo kina Kabudi, Pole pole, Bashiru, Majaliwa na team tano tena 2020; hasa walioshinda bila kupingwa na kura za kwenye mabegi kama kule Kawe... hali yao ni ngumu kuliko maelezo.
Pia wamo waliomnanga JK vibaya mno akiwemo Madelu.
Kundi la waliotengwa licha ya uwezo wao na utendaji wao;
Wamo kina Muhongo, Januar, Nape na Kina Kimei.
Kundi la kuunga Juhudi mkono ;
Kina Covid 19, Katambi, Waitara , Silinde, Mollel na wengine, hawa hawajui nini mustakabali mama akitulia kwenye madaraka hivyo dawa ni kujiunga na kundi la kina Majaliwa.
Swali la msingi hapa; nani anataka kumtisha Rais Samia, au wanatumia umaarufu wa Hayati kutaka kumtisha asifanye lolote mambo yaende business as usual?
Super glue KINANA N TEAM wanarudishwa na watavigandisha vipande vipande hivyo ili nchi irudi kama ilivyokuwaNchi imegawanyika pakubwa mno
Kwani mama Samia ndo anamchagua makamu wa Rais?Hauna akili, kwa hiyo Bashe hizo hela kaenda kumuonga mama Samia ili achague makamu wa rais?
nyumbu ni lini mtapata akili!?
Kwa kuua watu sawaCCM ya Magufuli ni Jasiri sana, Magufuli alikuwa ana maono ya mbali kuwa karibu na Jeshi
Sababu ndio hiyo! Wanagombea madaraka yasiwaponyoke baada ya kiongozi wao kufaNilikuwa nataka kuanzisha uzi juu ya Huyu Veronica France
Ni kwa nini anawatuhumu wale jamaa kwa nguvu kiasi kile?
Why those guys wameacha kuwatuhumu upinzani wanatuhumiana wao kwa wao!!
Yes hakuna mkamilifu tatizo kubwa la Magu alikuwa anaamini yy hakosei na ndio maana alikuwa akiongoza kwa style ya one man show! Ccm ni muhimu kuondoka mamlakaniEwala, well said my friend!!!!
Kuna kundi fulani hivi ambalo ni la hovyo sana lilikuwa chini ya Rais wetu marehemu, walikuwa wakijiona kwamba wao ni wao na hiki kikundi kilikuwa kinamharibiwa hata Mh. Rais.
Kweli kabisa, ili Mama Samia aongoze vizuri lazima hili kundi litokomezwe kabisa, otherwise itakuwa ni vigumu sana kwa Mama Samia kusimama.
Halafu inatakiwa pia watu waelewe kuwa Magufuli alikuwa binadamu kama wengine, alikuwa na mapungufu kibao ambayo si ajabu aliwaathiri badhi ya watu kwenye chama, Serikalini n.k pamoja na kuwa kuna mengi mazuri pia aliyafanya.
Kwahiyo ukizingatia kuwa group dynamics zipo, hata nae mama Samia atafuata njia yake sio lazima afuate kila kitu cha Magufuli.
Kwahiyo hebu tumpe uhuru Samia, na watu kwenye chama acheni kumtisha Mama Samia, acheni kuibomoa CCM jamani.
Watz wengi ni wajinga ndio maana wamebatizwa jina la wanyonge wangejua mtiti uliokuwepo mpaka mama Samia kutangaza Kifo akiwa Tanga wasingeongea ujinga so hao niwakuonea huruma tuKuna watu huwa hata mkisoma hamuwezi kuelewa chochote. Hata wewe Ni mmojawapo.
Hujui kinachoendelea kutokana na uwepo wa Rais mpya. Uko ktk mazoea yale ya kibongo bongo, uvivu wa kufikiri, uvivu wa kutafuta habari, kuupuza.
Unasikiliza taarifa za lile dubwasha? Hilo limeshakuwa pumbavu!!Eti naskia kuna kundi la wana CCM hawakutaka Mama aongoze nchi na wakawa wanataa kupindua katiba ila JWTZ likaingilia kati na haikutaka kuwepo ujinga!
Nimeskia tu vibarazani, sijui kama watu walikuwa wameshiba tu hawana stori ama vp
Hakuna matatizo yoyote matatizo yalikuwepo wakati wa jiwe na angedelea kuwepo Hali ingekuwa mbaya zaidi kwakuwa kazima basi hamna madhara yoyote maana hamna chenu tena inabidi mtulie mupewe ukweliFanyeni siasa zenu ila kutajataja wasukuma muache please. Tafadhari sana mtailetea nchi matatizo.
....ni habari ya vyeo waliokuwa kwenye makwapa ya Magu walikuwa na nyodo sana maana kazi yao ilikuwa kumuabudu tu ilitosha sasa hivi kwa mama hawana hakika kama watakumbukwa! wanaona now ni zamu ya waliokuwa benchi so chakufanya wanamwaga Ugali na mbogaNilikuwa nataka kuanzisha uzi juu ya Huyu Veronica France
Ni kwa nini anawatuhumu wale jamaa kwa nguvu kiasi kile?
Why those guys wameacha kuwatuhumu upinzani wanatuhumiana wao kwa wao!!
mtu anazungumuzia kitu kingine unajibu kingineNyomi La Maombolezo Limekukera Mpaka Umelianzishia Uzi....! Waache WaTz Wamuomboleze Mpendwa Wao...!
wewe wasema kuna mtu anajiita veronica France amemtanda kigogo huko anaenda Mbali zaidi nakudai ni january nawenzie,,,, chakufanya usipanic kisome kitabu hiki taaratibu maana kina krasa nyingi sanaWewe ndo unataka kumtisha au unataka kucheza na akili zetu. Wamtishie nini na kwanini? Acha hizo tumalize msiba
Mkuu unaposema chetu unamaanisha?Hakuna matatizo yoyote matatizo yalikuwepo wakati wa jiwe na angedelea kuwepo Hali ingekuwa mbaya zaidi kwakuwa kazima basi hamna madhara yoyote maana hamna chenu tena inabidi mtulie mupewe ukweli
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Ukitaka Muua Mbwa, Mpe jina bayaNilikuwa nataka kuanzisha uzi juu ya Huyu Veronica France