Connect Dot: Nani anataka kumtisha Rais Samia na umaarufu wa Hayati Magufuli?

Mtt
 

Kweli mkuu watu hawajui wanaongea tu kwa mihemko.
 
Una akili za facebook
 
Tena huyu Ngosha atasahaulika mapema sana huyu mama yetu akianza shughuli zake....
 
Kura hizo za ndani zimenunuliwa tayari na kundi la mafisadi ambapo kura moja ya mjumbe wa sisi iliuzwa kwa shs. 20,000,000!!!
Ukiulizwa ushahidi, utasema kigogo kasema[emoji23].Kwa hatua mliyofikia kigogo anaweza hata kuwashika matako bila shida yoyote[emoji23].
 
Watu wamekaa pale vingunguti mvua kuuubwa inanyesha,wananyeshewa,hiyo ilikuwa saa 9 polisi mwili unapita SAA 11 kuelekea airport, kumbuka mvua inapiga kubwa sana,watu wapo tu barabarani,unapita msafara wa mama samia,watu wanatandika nguo zao
Halafu unataka kuleta siasa wakati sisi wenyewe tuna macho na tunaona,mzee alipendwa aisee
 
Mama Samia asipokaa imara itakuwa jina tu.. watu wapo serious na mipango yao.
Kizuri ninacho kipenda hadi sasa ni kwamba ana taarifa nzuri tu ya watu wenao hangaika na hiyo mipango yao tena ana taarifa iliyo jaa vyema ni seala la mda tu.
 
Nyomi La Maombolezo Limekukera Mpaka Umelianzishia Uzi....! Waache WaTz Wamuomboleze Mpendwa Wao...!
Korea kusini walifurika kumuomboleza dikteta wao Kim Jong 11 alivyofariki, hiyo siyo hoja ya msingi. Hata simba aliyewasumbua wanakijiji siku akiuliwa wanakijiji watajaa kumuona mtesi wao. It is not a big deal
 

nyerere alisahaulikaje mkuu!!!

au umemsahau wewe.
 
Kupendwa kapendwa ila usipumbazwe na tabia ya Watz linapokuja suala la mikusanyiko na mahaba.

Muulize lowasa alivyodekiwa barabara, Tl na waliogoma kurudi makwao wakakaa nje ya hoteli yeye akiwa hotelini.
 
Kupendwa kapendwa ila usipumbazwe na tabia ya Watz linapokuja suala la mikusanyiko na mahaba.

Muulize lowasa alivyodekiwa barabara, Tl na waliogoma kurudi makwao wakakaa nje ya hoteli yeye akiwa hotelini.
Lowasa alipendwa sana na watu wake lakini akaja akawasaliti,ni kweli walimpenda sana na Mimi ni mmoja wao..vilevile kwa lissu,watanzania wana upendo wakikupenda lakini ukiwatibua wanatibuka,mf kwa sasa hii issue ya kifo cha magu lissu achange karata zake vizuri la sivyo atajiharibia kisiasa..mark my words
 
Kwani hao wenye "njaa" sio watu? naona umekurupuka kuni quote hata hujanielewa, huko chini ndio sijakuelewa kabisa ulichoandika na samahani zako sijui za nini!.

Next tym punguza maneno mengi hit the target, full stop.
 
Nakwambia hivii, Watz si watu wa kutilia maanani linapokuja suala la mikusanyiko na kuonyesha mahaba. Watazimia, watalia, watapandwa presha, watapiga yowe ila we chukulia kawaida tu, dont expect anything in long run.
 
Sasa kigogo,lissu na chadema wao wanataka nani awe makamu?!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…