Habari za leo!
Mimi naitwa Hussein, nafanya biashara ya kusupply Kuku na Cutups zake kwenye mahoteli na mabucha ya mjini.
Katika kila kilo nafight kupata margin ya Tsh 500-1000, kwa Sasa nna zungusha Kuku 50, kwa siku. Orders zinazidi kuongezeka kila siku namshukuru Mola.
Kwa Sasa nazungusha capital ya 1.5M ambapo roughly kila siku nalaza elfu 18 Kama Faida baada ya kutoa gharama zote.
Naomba connection nipate Pikipiki ntafanya kwa Mkataba niirudishe hela, au mtu mwenye capital ya 2.5M anikopeshe 1M. Kila mwezi ntamrudishia Laki 1, then ntamshika mkono kwenye hii business nnayofanya Mimi, anaweza fanyia kokote ndani ya dar, mm ntamsaidia kwenye masoko.
Naomba kuwasilisha.