Nadhani sasa mmenielewa nilichoandika hapo juu...hao ndo aina ya watu eti uwe nae business partner sababu wanahela afu wewe una idea. Narudia tena wengi wa walionapesa isiyokua kwenye biashara hawana akili ya biashara na mtazinguana tu...imagine hapo anataka na mali isiyohamishika kama dhamana sababu yeye anachoona ni win lose situation tu...yeye awin wewe upoteze. Tafuta mtaji kidogokidogo achana na hawa watuRiba 440% we kiboko
Kumewahi kuwa na wazo kwamba, kwa nini isiwepo bank ya ideas, mawazo yasajiliwe COSOTA huko yapate hati miliki alafu wenye pesa wanapotaka kufanya biashara na hawana ideas waende hiyo bank ya ideas wawekeze kwenye mawazo, so inakuwa 50/50 kwenye mgawanyo wa faida. au hata kama ni 40/50, ndo waarabu huko wanachofanya, wakikuta una rasilimali ya mafuta kwako, mnagawana faida na mwekezaji..Nadhani sasa mmenielewa nilichoandika hapo juu...hao ndo aina ya watu eti uwe nae business partner sababu wanahela afu wewe una idea. Narudia tena wengi wa walionapesa isiyokua kwenye biashara hawana akili ya biashara na mtazinguana tu...imagine hapo anataka na mali isiyohamishika kama dhamana sababu yeye anachoona ni win lose situation tu...yeye awin wewe upoteze. Tafuta mtaji kidogokidogo achana na hawa watu
Safi mkuu una mtazamo mzuri na hesabu zako na ushauri ni mzuri sana tuta pambana na Idea zetu taratibu tuta inuka ipo siku maana wenye pesa zao wana angalia Short Term revenue hawajui investment na kupata faida ina chukua muda maana mpaka mtengeneze strong customer base it takes time hata kama huduma zenu ama bidhaa zenu ni nzuri mna hitaji kujulikana kabla ya kutengeneza faida lakini wenzetu hawajui hizoNadhani sasa mmenielewa nilichoandika hapo juu...hao ndo aina ya watu eti uwe nae business partner sababu wanahela afu wewe una idea. Narudia tena wengi wa walionapesa isiyokua kwenye biashara hawana akili ya biashara na mtazinguana tu...imagine hapo anataka na mali isiyohamishika kama dhamana sababu yeye anachoona ni win lose situation tu...yeye awin wewe upoteze. Tafuta mtaji kidogokidogo achana na hawa watu
These people think biashara is so ffckng easy...na ndio aina ya partners nilowazungumzia hapo juukuwa serious bas mkuu bajaj milion 7 hesabu yake kwa siku 20k tena kwa mbinde
uko wapi mkuu nkuunge na mtu chapu mfanye kazi yeye anakiwanja.NAMTAFUTA MTU NIMPE PESA AWEKE DHAMANA YA ISIYOHAMISHIKA KILA SIKU AWE ANANIPATIA 30 000 KWA KILA SIKU KWA KIASI CHA MILIONI MBILI NITAKAZOMPATIA MKATABA MIEZI SITA kwa wanaojua kuzungusha fedha fasta pekee
30000.kwa kila siku...hamna kikomoo HAPANANAMTAFUTA MTU NIMPE PESA AWEKE DHAMANA YA ISIYOHAMISHIKA KILA SIKU AWE ANANIPATIA 30 000 KWA KILA SIKU KWA KIASI CHA MILIONI MBILI NITAKAZOMPATIA MKATABA MIEZI SITA kwa wanaojua kuzungusha fedha fasta pekee
Mkombozi ni vicoba na saccos tu na ule mchezo wa kuchangiana kama mtaji mdogo sana na unataka kukuza mtaji haraka ila sio kutafuta business partner. Labda partner nae awe mnapambana pamoja ila wale waliokaa tu anataka hela imzalishie mtaumizana tu sababu asilimia kubwa biashara inaweza kufeli kuliko kuexcelSafi mkuu una mtazamo mzuri na hesabu zako na ushauri ni mzuri sana tuta pambana na Idea zetu taratibu tuta inuka ipo siku maana wenye pesa zao wana angalia Short Term revenue hawajui investment na kupata faida ina chukua muda maana mpaka mtengeneze strong customer base it takes time hata kama huduma zenu ama bidhaa zenu ni nzuri mna hitaji kujulikana kabla ya kutengeneza faida lakini wenzetu hawajui hizo
Unaijua biashara? Huyo mwenye kiwanja kama unamjali usimpe hiyo habari, vinginevyo mwambie ahesabu kakipoteza na wewe ndo utakua mchawiuko wapi mkuu nkuunge na mtu chapu mfanye kazi yeye anakiwanja.
nlkua sijasoma vzury boss hii ni biashara kichaaaaUnaijua biashara? Huyo mwenye kiwanja kama unamjali usimpe hiyo habari, vinginevyo mwambie ahesabu kakipoteza na wewe ndo utakua mchawi