Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE

Mkuu Samahani sijakuelewa,Hizo kampuni hapo sakina ndio zinatoa ajira nchi za kiarabu?naomba ufafanuzi
 
Boss zikitokea nafasi zingine tofauti na kazi za ndani naomba nishtue
Boss zikitokea nafasi zingine tofauti na Kaz za ndani naomba nishtue.. mfano Kaz za viwandani na zinginezo
 
Nakuomba inbox boss
 
Sijasoma uzi ila jana nilimsikiliza balozi wa tanzania uingereza alisema watanzania bado tuko nyuma kwenye fursa za kimataifa .

Na hata waliozipata wengi wao ni watu wazembe wazembe wavivu
Sasa yeye si ndio ingekuwa kaziyake hiyo kusaidia mbona analeta mipasho..kama yupo UK alikuwa anazungumzia watanzania gani mbona kuna mafuliko ya wazanzibar hapo.
 
Nakupataje ndugu nahitaji hii kazi
 

Mkuu imenibidi niirudie hii comment Yako...hapo nipo posta ya dar es salaam...mkuu🤣🤣🤣


Hapo nikiwa kwenye treni yetu ya mwendo Kasi nikiwa naelekea morogoro...!


Hilo jengo unalo liona hapo nyuma lipo Kijijini kwetu igunga...tuliwahi kumuweka mh Samia Suluhu Hassan...

Tujifunzeni kuishi maisha yetu harisi...sio Kila anae toa fursa humu mtandaoni ni tapeli😂😂😂

Nimeamua nikujibu kwa vitendo ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…