Consession na lease agreements zinapoandaliwa muda huu, watendaji serikalini wakumbuke maana ya usiri kazini (confidentiality)

Mlipewa muda mwingi sana wa kutoa mawazo yenu mpaka mkaweza kwenda mahakamani kule Mbeya na mahakama ikagundua kuwa hamna hoja za maana zaidi ya kuwa ni uanaharakati tu mwingi.

Unaweza kuthibitisha kwa ushahidi kamili wenye kueleweka mahakamani aina ya rushwa iliyomo kwenye suala hili la DP World?, zaidi ya kuwa ni mihemko tu na jazba zisizo na msingi!.
 
Kila kheri na waarabu wenu.
 
Nyie mbwa koko na hizi nazo zitavuja vichwa vyenu mavi tupu tangu lini mavi yakaacha kunuka na kusambaa harufu yake
 
Nyie mbwa koko na hizi nazo zitavuja vichwa vyenu mavi tupu tangu lini mavi yakaacha kunuka na kusambaa harufu yake
Maoni yako yanaonyesha wewe ni kijana wa chuo aidha UDOM au DUCE bado umejawa na mihemko mingi kichwa akijatulia bado.
 
Kwa hiyo tuuzwe kimya kimya? Mungu yupo mjue. Msisahau hilo. Uwekezaji tunautaka ila kwa vigezo vipi? Tumetoa Loliondo ujue hatutaki kurudia humo.
 
Kwa hiyo tuuzwe kimya kimya? Mungu yupo mjue. Msisahau hilo. Uwekezaji tunautaka ila kwa vigezo vipi? Tumetoa Loliondo ujue hatutaki kurudia humo.
Unao ushahidi wa kujitosheleza wa bandari kuuzwa?, usiziamini hizi kelele za wabaguzi wanaojiita watanganyika ni uzushi na upuuzi mtupu.

TICTS alikodisha bandari kwa miaka 22 leo hii anapewa DP World, hakuna kiongozi mwenye uthubutu wa kuuza nchi.

JPM aliijenga SGR kwa trilioni 17 pesa ya walipa kodi, ni pesa nyingi sana na lazima irudi. Pia tukumbuke kuwa huko DRC na Rwanda kuna mzigo wa mamilioni ya tani unaosubiri kuboreshwa kwa usafirishaji na kuboreshwa kwa huduma za bandari.

Kwa ufupi kuwepo kwa SGR kungekuwa ni upotezaji wa pesa nyingi za walipa kodi iwapo pale TPA tungekuwa hatujajiongeza kwenye utoaji wa huduma kisasa zaidi.
 
Walioandika na kusaini mkataba wa gas sio hawa wa mkataba wa DP World, usipende sana kukariri masuala yanayofanywa na serikali mengine yanajumuisha utaalam wa kina.
Kwani serikali huwa inashindwa kwenye kesi za kuvunja mikataba mingi? Ni mkataba upi ambao unatunufaisha kama taifa ambao serikali ya ccm imeungia ukaleta tija?
 
Kwani serikali huwa inashindwa kwenye kesi za kuvunja mikataba mingi? Ni mkataba upi ambao unatunufaisha kama taifa ambao serikali ya ccm imeungia ukaleta tija?
Mkataba wa kwanza kuleta tija ni huu wa DP World pale TPA. Unakwenda kufutilia mbali upigaji na kuongeza mapato ya serikali na kupunguza muda wa meli kuhudumiwa.

Mkataba wa pili kuleta tija ni ile iliyoingiwa na TCAA inayowezesha ndege zetu kutua katika viwanja mbalimbali vya kimataifa.

Mkataba wa tatu kuleta tija ni ile ya manunuzi ya ndege zote zilizokuja ambazo zinaruka kila kona ya dunia na kuilindia heshima Tanzania kimataifa.

Kuvunja mikataba na kulipa pesa nyingi kuna sababu nyingi ikiwemo uwezo mdogo wa baadhi ya wanasheria na tabia ya kutaka rushwa kwa maana ya uwepo wa mtandao kati ya mawaziri, makatibu wakuu na wanasheria wa wizara na taasisi mbalimbali.

Lakini huwezi kulinganisha hasara zinazopatikana na zile faida za kitaifa tunazopata.
 
Because i have an education and know English i did read the IGA myself. In there i found some articles which I, with no law degree education won’t endorse. Like how could I endorse changing my laws just to benefit one person?. Or how would I give all concession right to all trade corridors, new investment zones and other trade benefits to one person?. West Africa is fighting systematic slavery from France and the terms are the same. We should contract with the world in equal footing. We don’t sell ourself for a penny just because the buyer is an arab, white or chinese. We don't oppose investment, we oppose the term of the investment. We as the owner of this country and not the ruling class has a right to speak and direct them when they are acting as the owners while they are just caretakers “ custodians”
 
Sometimes ego is what brought people down. We are going under because of our stupid ego. Government can’t do every business. We need to be pick and choose in picking where to invest our precious resources.
 
Kila mtu ana maoni yake na anajipa umuhimu na uhalali wa kutaka kile anachokiwazia ndio kisikilizwe na kupewa kipaumbele,

Mwisho wa yote wanasheria wanahitaji maoni kama ya kwako katika uandaaji wa hii mikataba katika hatua ambayo michakato ya biashara kwa sasa imefikia.
 
Kuna muda whistle blowing inasaidia sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…