Hua inafurahisha sana mki assume Kenya inaanguka.
BRT yenu mlijengewa na pesa za world bank,
2. Hivi unajua kua drop-off, pick up station za LRT zinajengwa sahii tunavyoongea kupitia rehabilitation ya MGR , by next year probably kutakua na light rail Nairobi nzima, we kama halo uki assume hatuna LA kufanya
View attachment 736085 View attachment 736086 View attachment 736087
Utaambiwa mradi umegharimu $500Million.
Good work.. i know the Architect
Post yako ina acknowledge Kenyan BRT is the best. Labda hukusudia kuweleweka hivo, lakini ulivyo andika ianaashiria kinyume na nibkwa sababu kuelewa kimombo inawapiga chenga. Elimu yenu ni duni mno kiasi kwamba ni vigumu mtu kuamini kuna chuo kikuu hata moja Tz.Naona umekuwa na hasira.
Mikenya mijanja sana, Wametengeneza BRT bila kutumia hela tena Ndefu zaidi ya Kilomita hamsini na kuipiku Tz in just a single day. Patia Nyang'au heshima zake. Tanzania will forever be in our shadows.Vitu vingine unaishia kucheka tu
ila nibora watengeneze chahovyo wao
Sisi wakitutangulia kitu
huwa tunatengeneza Bora kuliko wao
Ila wao sikuzote nikutengeneza cha hovyo kuliko chetu
ONLY BRT
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]With this kind of brt, even somalia can manage
Do you run IFMIS?You are such a liar. But not even a bright one, You think kenya operates without a budget? and that any money can come out of Treasury without going through IFMS..Danganya toto
You are mis-representing facts, This is the old railway and maitenance has always been going on over the years.Do you run IFMIS?
In the mean time....
Phase 1 : Nairobi commuter rail. Rehabilitate existing line which is about 100km within Nairobi metro ,remodel old stations
Current progress
View attachment 736332 View attachment 736333 View attachment 736334
Phase 2, purchase modern locos, build 20 stations blah blah blah
Phase 3, extend the line to new routes, build new stations
you killed bro.You are the one who don't understand any thing, that's why even you call your primitive flyovers interchange after hearing that Tanzania is going to have three levels interchange. BRT is a world wide known public system of transportation, it has its own standard, just visit any country with BRT will see the same design. BRT needs well organised country to have it, thats why not many countries though would wish to have but don't have so far, it is very expensive also. Kenya will not be able to have it in near future, just continue drawing those lines on your roads and lebel BRT, then celebrate your nonsense achievements, stupid country.
Acha vituko, usizidi kutuchekesha tulicheka sana jana, ninyi mnaonekana kituko duniani, mnadhani kujenga light railway au BRT ni mchezo?, Kama mlishindwa kupata $600M kwa ajili ya green field terminal, mradi ambau rais alikwisha launch kwa shangwe lakini ukautiliwa mbali, mtapata wapi $1.5B ya light railway train au $1.2B ya BRT, endeleeni kuagiza kopo za rangi toka Bogota mchore hizo barabara, that is the best you can do.Do you run IFMIS?
In the mean time....
Phase 1 : Nairobi commuter rail. Rehabilitate existing line which is about 100km within Nairobi metro ,remodel old stations
Current progress
View attachment 736332 View attachment 736333 View attachment 736334
Phase 2, purchase modern locos, build 20 stations blah blah blah
Phase 3, extend the line to new routes, build new stations
you killed bro.
hahahaha... nilibanwa tu na majukumu comrade. ila nilifatilia mjadala wote kwa ukaribu...na hata sasa nado nafatilia.Aisee sijakuona kwenye UZINGUZI WA BRT YA KISASA NAIROBERY.
Hivi kwa Kenya kufahamu sana Kiingereza ndo ishara ya kupiga sana vidato ee!?Post yako ina acknowledge Kenyan BRT is the best. Labda hukusudia kuweleweka hivo, lakini ulivyo andika ianaashiria kinyume na nibkwa sababu kuelewa kimombo inawapiga chenga. Elimu yenu ni duni mno kiasi kwamba ni vigumu mtu kuamini kuna chuo kikuu hata moja Tz.
Ebu onyesha yenye kingo katika nilizoweka! Pamoja ni kuniita nyang'au, sitashuka kwenye kiwango chako. Ninaishi hizo picha zilipopigwa. Napanda hayo mabasi unayoona, na natumia hizo barabra kila siku.picha ulizoweka zinakusuta..unataka kutuambia kwenye picha ulizoweka hujaona kwamba barabara za BRT zimewekewa kingo. Stupid Nyang'au
LDC...hebu Google hio halafu unitag ukielewa maana yake na pia uangalie kama utapata likiwa na uhusiano wowote na Kenya.Hivi kwa Kenya kufahamu sana Kiingereza ndo ishara ya kupiga sana vidato ee!?
Sasa kama na Kiingereza chenu hata kuotesha ulezi hamjui njaa inawakung'uta na sisi na kiswahili chetu tunaotesha ulezi tunakula tunashiba, nani mjanja?